RC wa Arusha Mrisho Gambo ameagiza kufanyika ukaguzi ukaguzi kwa matumizi ya Fedha walizopewa wafugaji kwa kipindi cha miaka mitano maana malalamiko ya matumizi mabaya ya fedha yamekuwa mengi.
“Ikumbukwe kwamba Baraza Hilo la wafugaji la Ngorongoro linapewa zaidi ya TSH 2.5 Billion kila mwaka...
Naibu Waziri wa Afya, Daktari kijana na mwanaharakati wa muda mrefu katika kutetea haki za madaktari (ameshiriki mengi) ametoa kauli akitaka maelezo kuhusu kukosekana chanjo na amefikia hatua ya kuhoji hatua zilizochukuliwa dhidi ya waliokwamisha ndani ya wizara na hata Hazina.
Bahati mbaya...
TUME YA MUFTI WA TANZANIA
Kwa mamlaka niliyonayo kwa mujibu wa Katiba ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania(Bakwata)kipengele 82 (3) b, naunda tume yenye wajumbe wafuatao:
1. SHEIKH ABUUBAKAR KHALID……………………. MWENYEKITI
2. SHEIKH ISSA OTHMAN ISSA………………………..MAKAMU MWENYEKITI
3. MWL. SALIM AHMED...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe ametangaza jioni hii kusitisha usafirishaji wanyama hai.
Amesema wanasitisha hata usafirishaji wa chawa hadi hapo utaratibu mpya utakapotangazwa.
More info to come...
Majangili wajipanga
kuiyumbisha serikali
.Wapenyeza kwa wanasiasa na watendaji
.Watengeneza propaganda kujilinda
.Wakumbushia walivyoizima 'tokomeza'
.Wajihami 'utumbuaji majipu' usiwakute
WAKATI serikali kupitia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ikitangaza kupambana na majangili, imeelezwa kwamba...
SERIKALI mkoani Simiyu imesitisha mpango wa Mbunge wa Meatu, Salum Salum ‘Mbuzi’ kutaka kuchimba madini ndani ya pori la hifadhi ya wanyamapori linaloendeshwa kisheria na kampuni ya Mwiba Holdings Limited.
Zuio hilo lilitolewa mwishoni mwa wiki na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka, ikiwa ni...
MMOJA kati ya wabunge ndani ya Bunge la 11 yupo katika mtihani mzito akishutumiwa kushiriki katika kujipatia eneo la uchimbaji wa madini ndani ya eneo la hifadhi ya wanyamapori bila ridhaa ya wadau wakiwamo wanakijiji.
Taarifa zilizolifikia Raia Tanzania zinadai kwamba, Mbunge wa Meatu, Salum...
Tatizo la wizi wa kuaminiwa ni kubwa na baya linawaumiza wengi, lakini tatizo la polisi wetu kutumiwa vibaya na wenye pesa kugeuza kesi ya madai kuwa jinai kwa kisingizio ni wizi wa kuaminiwa nalo ni kero zaidi hasa kwa wananchi wanyonge na masikini ambao wanasumbuliwa na polisi na kuwekwa...
MKE wa aliyekuwa mgombea urais kutipia vyama vinavyounda umoja wa katiba UKAWA Regina Lowassa ameliongoza Baraza la Wanawake CHADEMA (Bawacha) mkoani Morogoro kufanya usafi katika Hospitali teule ya wazazi ya Mafiga.Mama Lowassa aliyeongonzana na Mwenyekiti wa baraza hilo taifa Halima Mdee...
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ya tahadhari ya mvua kubwa katika baadhi ya maeneo nchini kuanzia usiku wa tarehe 08-03-2016 hadi 09-03-2016.
Maeneo hayo ni pamoja na Dar es Salaam, visiwa vya Unguja na Pemba na mikoa yote iliyopo pwani ya Bahari ya Hindi ikiwamo Tanga...
Ufisadi wa 255m/-Bodi ya Tumbaku.
Ni kwamba,
Tanzania Tobacco Board TTB, yenye makao makuu yake Morogoro, iko chini ya Wizara ya Kilimo. Kwa kawaida, TTB ina utaratibu wa kuweka Bank kama Ficed Deposit 200m/- ili faida inayopatikana kila mwaka iwe inatumika kulipia viinua mgongo vya...
Taarifa zinasema saa chache zilizopita (saa 8 usiku) majambazi yamevamia kituo cha Polisi cha Ikwiriri, Rufiji mkoani Pwani na kuua polisi wawili na kupora bunduki. Hivi sasa hali ni tete na watu wamekusanyika huku polisi wakiongeza nguvu kusaka wauaji.
Kumekuwapo vikao vya wadau wa jengo la Ubungo Plaza, baada ya Wahindi wanaoendesha hoteli hiyo kutofautiana na menejimenti ya jengo la Ubungo Plaza.
Tayari wadau wa Ubungo Plaza, Shirika la Bima (NIC), NSSF na PSPF wamekutana kujadili hatima ya wamiliki hao ambao wanadaiwa kuingia katika...
Baada ya uongozi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kusaini mkataba wenye harufu ya kifisadi kuingiza utaratibu mpya wa kuwatoza wateja gharama ziitwazo 'Cargo Tracking System', uongozi huo leo umekimbia kikao kilichoitishwa na SUMATRA kujadili malalamiko ya wadau na SUMATRA imeamua kuendesha...
Mbunge wa zamani wa Tabora Mjini, Siraju Kaboyonga amefariki Dunia usiku huu jijini Dar es Salaam.
Kaboyonga ambaye ni Mwenyekiti WA SSRA anatarajiwa kuzikwa Dar Alhamis katika makaburi ya Kisutu.
Inna Lilah WA Inna Ilaihu Rajiun
Chama cha Mapinduzi (CCM) kinatarajia kufanya mabadiliko makubwa katika uongozi wake wa juu, ikiwa ni pamoja na kubadilisha baadhi ya viongozi wake wa juu ikiwamo wajumbe wa Kamati Kuu (CC) yake,*Fikra Pevu*imejulishwa.
Taarifa za ndani ya CCM zinaeleza kwamba, Mwenyekiti wa CCM, Taifa Rais...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Rished Bade kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
Taarifa iliyotolewa leo, Jumatano, Septemba 19, 2012 na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi...
POLISI ambaye alifyatua bomu kwa karibu na kusababisha kifo cha Mwandishi wa habari wa Channel Ten, Daudi Mwangosi, anatarajiwa kufikishwa mahakamani wakati wowote, Fikra Pevu limefahamishwa.
Taarifa za kutoka Iringa zimeeleza kwamba kushitakiwa kwa askari huyo, kunafuatia kukamilika kwa...
Nimeipenda hii nimeikuta Facebook, kwa kweli tunahitaji ukombozi kwenye media zetu, ili zitusaidie kukomboa nchi yetu inayokabiliwa na matatizo makubwa ya kisiasa, kiuchumi na kijamii.
"Natumia siku hii ya Mei 3, kuomboleza: Media ni kama kikosi cha uokoaji. Inapotokea gari la zimamoto...
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt Cyril Chami amejitetea kwamba yeye na wizara yake hawamlindi Mkurugenzi Mkuu wa TBS Bwana Charles Ekelege kama alivyotuhumiwa na baadhi ya wabunge mjini Dodoma katika kikao cha Bunge kinachoendelea sasa.
Dkt Chami amesema kilichotokea ni Wizara yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.