Search results

  1. Halisi

    MAKONDA: Sitta aliniozesha na kunisomesha, aliniombea kila siku

    Kama ni ukweli lazima aseme sio kiki. Huu ni ukweli kwani Sitta alikua kama baba yake Makonda. Ni kweli alimsimamia mambo mengi sana na alimsaidia kufika hapo alipo.
  2. Halisi

    Ufisadi mkubwa umefichuliwa Pori la akiba la Selous

    Ame Taasisi ya Wanyamapori (TAWA) haina meno na inapigwa vita isianze maana haina fund na Tanapa wenye fedha ndio wana nguvu ya kuamua. Tawa ilikua iwe kama regulatory authority kwa sekta ya wanyamapori na Mwenyekiti wake wa bodi aliteuliwa Jenerali Semfuko, ambaye hajapewa meno hadi leo tokea...
  3. Halisi

    Ufisadi mkubwa umefichuliwa Pori la akiba la Selous

    Hiyo hifadhi iko chini ya Tanapa? Gen. Waitara ana kazi kubwa sana ya kusafisha hilo shirika maana kuna mambo ambayo yanafunikwa na nadhani asikubali kujiharibia heshima yake kwa kuwaacha wahusika wa kweli bila kujali nasaba zao na wakubwa.
  4. Halisi

    Mh Rais mteue Allan Kijazi wa TANAPA kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii

    Usituingize kwenye plan B ya Magembe na watu wake. Rais JPM anajua anachokifanya bila kujali Ikulu kuna Kijazi katibu mkuu wake. Hapa ataangalia tu facts za vyombo vyake kuteua anayemfaa. Na tusije kushangaa hata Jenerali Mwingine anakua Waziri wa Maliasili.
  5. Halisi

    Serikali: Tumetenga Sh. Bilioni 85 kupunguza deni la MSD. Uhaba wa Chanjo sasa umetatuliwa...

    Uko sahihi kuna zilizopangwa na kuna zilizotolewa. Zilizopangwa ni kuonyesha hata hapo baadae hakuna tatizo.
  6. Halisi

    Serikali: Tumetenga Sh. Bilioni 85 kupunguza deni la MSD. Uhaba wa Chanjo sasa umetatuliwa...

    Hoja hujibiwa kwa HOJA: Hivi karibuni kumekuwepo na taarifa katika baadhi ya vyombo mbalimbali vya habari vya ndani na nje ya nchi, ikiwa ni pamoja na mitandao ya kijamii vikizungumzia hali ya dawa nchini hasa kufuatia taarifa zilizotolewa na taasisi ya kiraia na baadhi ya viongozi wa vyama...
  7. Halisi

    Wanasiasa waloiba fedha za wawekezaji Arusha kutumbuliwa

    Gambo atawaweza waliojikita ndani ya mfumo?
  8. Halisi

    Wanasiasa waloiba fedha za wawekezaji Arusha kutumbuliwa

    RC wa Arusha Mrisho Gambo ameagiza kufanyika ukaguzi ukaguzi kwa matumizi ya Fedha walizopewa wafugaji kwa kipindi cha miaka mitano maana malalamiko ya matumizi mabaya ya fedha yamekuwa mengi. “Ikumbukwe kwamba Baraza Hilo la wafugaji la Ngorongoro linapewa zaidi ya TSH 2.5 Billion kila mwaka...
  9. Halisi

    Rais umepotoshwa: Polisi hawawezi kushinda jeshi la watu 45 millioni

    Jamani lets be serious.. hao milioni 45 unaowazungumzia wako wapi? Musitumie vibaya takwimu maana ndani ya hizo 45m yumo Magufuli, Majaliwa, Mwigulu, IGP Mangu na vijana wake nchi nzima; sasa hiyo idadi unayoitaja ni ipi? Uchaguzi wa mwaka huu pamoja na hekaheka zote za UKAWA, Chadema walipata...
  10. Halisi

    Taarifa ya Polisi Dar kuhusu wanaojihusisha na ‘UKUTA’

    Hapa kuna sinema ya Kinigeria inachezwa na huenda ikatoka siku mbili hizi
  11. Halisi

    Kigwangala achana na Dr Mwaka tembelea Mount Meru Hospital

    Hahahaaaa!!! Duh!!! Aibu sana hii
  12. Halisi

    Kigwangala yuko Wizara gani?

    Sasa alikua hajui kuwa zimeshanunuliwa na alisema hazina wachukuliwe hatua. Sasa anaambiwa alikua hajui kuwa zimeshatoka 1.6bn. Anasema hata hivyo hatua???? Tena hata bila kwenda ofisini kufanya verificatio
  13. Halisi

    Mbunge Salum Khamis Salum 'Mbuzi' (CCM) apewa mgodi hifadhini!

    Unaweza kukuta leseni ni ya shaba lakini wanachimba dhahabu na madini mengine. Lakini pia kwa historia baadhi ya wahusika wanahusishwa na ujangili wa tembo na hapo wanapotaka kuchimba kuna tembo wengi waliopata hifadho kutokana na ulinzi wa magemu wanaopata support ya helikpta za Wamarekani sasa...
  14. Halisi

    Mbunge Salum Khamis Salum 'Mbuzi' (CCM) apewa mgodi hifadhini!

    Pamoja na wizara kutoa kanusho lenye utata bila kueleza wazi hilo eneo wanalolitaja Mbunge hayumo?
  15. Halisi

    Kigwangala yuko Wizara gani?

    Uko sahihi. Kuwa daktari si kwamba wizara nzima yeye ni mjuaji wa kila kitu na hahitaji vikao, ushauri na ushirikishaji. Anapaswa ajue uongozi ni dhamana na ushirikishaji si one man show... anamuiga JPM bila kujua mwenzake ana mbinu na vyanzo vingi vya taarifa na ana vyombo vingi vinavyomsaidia
  16. Halisi

    Kigwangala yuko Wizara gani?

    Hilo nalo tatizo jingine. Anatoa matamko mara kwa mara na hata kujibu instagram na hata kuripoti instagram hatua alizochukua baada ya kusoma hoja instagram! Kuna mambo kweli anaweza kutumia nafasi yake kuwa social kufanikisha lakini umakini ni muhimu sana kwake. Mfano alipaswa kujua kwamba...
  17. Halisi

    Kigwangala yuko Wizara gani?

    #Repost @mangekimambi_ with @repostapp ・・・ Baada ya ile posti ya jana. Hiki ndo alichosema Kingwangwala. Aibu yani! Eti alikuwa hajui kuna upungufu wa chanjo nchini... [emoji23][emoji23][emoji23] imebidi nimecheke. Mange Kimambi Niko Marekani najua kuna upungufu mkubwa wa chanjo Tanzania Ila...
  18. Halisi

    Kigwangala yuko Wizara gani?

    Naibu Waziri wa Afya, Daktari kijana na mwanaharakati wa muda mrefu katika kutetea haki za madaktari (ameshiriki mengi) ametoa kauli akitaka maelezo kuhusu kukosekana chanjo na amefikia hatua ya kuhoji hatua zilizochukuliwa dhidi ya waliokwamisha ndani ya wizara na hata Hazina. Bahati mbaya...
Back
Top Bottom