Search results

  1. trezguet

    Now ifike kipindi tuachane na suala la ZZK

    Wanajamvi ni dhahili kuwa sasa imefika kipindi suala la zzk liwekwe kapuuni then tuendele na mambo mengine ya msingi coz ipo wazi tunakaa humu ndani tunabishana na vijana wa lumumba kwa mambo yasiyo na mashiko. Mfano 1:huwezi sema zzk ni maarufu kuriko CDM.if yeye ni maarufu basi aanzishe chama...
  2. trezguet

    Msaada nahitaji research proposal

    Wanajamvi naombeni msaada wa reseach proposal kwaajili ya shule ni muhimu sana ikiwesekana kabda ya tarehe 20/12 niwe nshaipa kwa soft copy nitashukuru sana kwa mchango wenu
  3. trezguet

    Msaada kwa wale wenye report proposal

    Wadau wale walio na research proposal yeyote nzuri kwaajili ya shule nahitaji msaada kama wanaweza kunitumia soft copy ni muhimu sana
Back
Top Bottom