Search results

  1. Kitu Kizito

    Spika Ndugai: Nyani wanashangilia kifo cha mkulima wa mahindi wanasahau mwakani hawana pa kula

    Kwamba hao nyani wakirudi tena wataikosa Tanzania!? Vere irelevanti comparison.
  2. Kitu Kizito

    TANZIA TLS wamlilia Wakili Ojare

    Chama cha mawakili Tanganyika (TLS) kimepata pigo baada ya aliyekuwa mwanachama cha Chama hicho wakili Loomu Ojare kufariki dunia ghafla akiwa kazini. Ojare alifariki dunia na kuzikwa nyumbanj kwake mapema skku kadhaa zilizopita baada ya kuugua ghafla akiwa kazini na hivyo kuacha pengo kubwa...
  3. Kitu Kizito

    Natabiri CHADEMA lazima isambaratike...

    Unataka kuniambia Polisi, Speaker, na Serikali ya CCM wanabaka Katiba kupambana na kivuli? Nilifikiri wangekuwa wamerelax sasa na kuweka nne na sio kihangaika kuliko "walioisha" Miaka mitano siasa wamefanya CCM peke yao, wamewafunha magerezani, Wamemunua watu wao, wamefanua kila ujinga lakini...
  4. Kitu Kizito

    Kati ya Maendeleo na Demokrasi kipi kiwe kipaumbele cha Tanzania?

    Hili swali linaweza kuulizwa na taahira tu! Kajifunze kwanza Demokrasia na Maendeleo ujue tofauti au ufanano wake ndipo urudi kuuliza. Tafuta kitanu cha Nyerere, Freedom and Development kitakupa mwanga
  5. Kitu Kizito

    UK court approves Barrick Gold's takeover of Acacia

    Katika zile trilioni 425 jamaa wanagharamia usd 300mil tu ambayo mwanzo walidai ni kishika uchumba.. Wamegeula Hakuna kesi ya kusikilizwa Tanzania, tutanyongewa huko kwaabeberu. Bisheria vyetu vipya ni mpaka madini yaishe Hakuna kujisajili soko la hisa la Tanzania.. Ile 30% ya hisa kwa...
  6. Kitu Kizito

    UK court approves Barrick Gold's takeover of Acacia

    Asiyejua kusoma hata picha aangalie...
  7. Kitu Kizito

    UK court approves Barrick Gold's takeover of Acacia

    Mkiweza lutafsiri mrudi tena... Hata kile lishika uchumba hakipo..ndio sehemu ya malipo ya mavuno. Kilichotokea ni Acacia kufichwa ndani ya Barick.. Kuibiwa ni pale pale !! Waliosaini milataba ya kuibiwa ndio hao hao leo wanataka waonekane malaoka... Hakuna cha Noah wala kivuli chake.. Wajinga...
  8. Kitu Kizito

    Fatma Karume: Sheria inayokataza mapenzi ya jinsia moja imepitwa na wakati

    Manesi wana rekodi wa wamama wanaoingiliwa kinyume na maumbile.. wengi sana Mbona hao hawawi kero?
  9. Kitu Kizito

    Kama wabunge wa upinzani nao wanatafuna fedha za mfuko wa jimbo nani atakua kimbilio letu sisi wananchi

    Heche alimwambia nisikilizi nikujibu.. Akanyang'anywa mike
  10. Kitu Kizito

    TBC: Kongamano la watanzania waishio Marekani. Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Kabudi mgeni rasmi

    Nilishindwa kumsikiliza kwasababu ilikuwa inarushwa na TBC nami situmii hiyo television ya propaganda za hovyo
  11. Kitu Kizito

    ARUSHA: Askari auliwa kwa risasi na askari mwenzie kisa wivu wa mapenzi

    MASHUHUDA WAELEZEA ASKARI MAGEREZA ALIVYOMUUA MWENZAKE _________ ASKARI magereza Faustine Masanja amemuua askari mwenzake Ombeni Mwakiyani kwa kumpiga risasi kichwani. Kamanda wa mkoani hapa, Charles Mkumbo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo lililotokea leo majira ya asubuhi wakati wakiwa...
  12. Kitu Kizito

    Mke wa Lissu ataka kuwajua waliotumwa na aliyewatuma kumuua mume wake. Wana mpango gani tena?

    Katika wapuuzi niliobahatika kusoma maandishi yao wewe ni mpuuzi zaidi.. ungejitolea kwa ajili ya majaribio ya chanjo za ebola na ulimwi angalau ungekuwa na faida! Heshimu ambacho hakikuhusu? Unachoshwa na nani? Umeshindwa kutafuta sabuni ukajichua landa uwe busy usichoshwe? Next time kaa...
  13. Kitu Kizito

    Mke wa Lissu ataka kuwajua waliotumwa na aliyewatuma kumuua mume wake. Wana mpango gani tena?

    Mke wa mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu, amesema angependa kuwajua watu waliomshambulia mumewe, aliyewaamuru wafanye shambulio hilo na sababu za kufanya uovu huo. Mke huyo ambaye pia ni wakili, Alicia Magabe anasema kuwafahamu watu hao ni muhimu kwa kuwa familia haijui kwa...
  14. Kitu Kizito

    Baada ya "Vuta Nikuvute" sasa mwili wa Mzee Ndesamburo kuagwa Uwanja wa Majengo badala ya Mashujaa

    Unagombea we we na nani? Waulize wala rambirambi huwa wanapenda maiti wazifanyie nini?
  15. Kitu Kizito

    Hotuba za Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    1. Ujinga 2. Ubinafsi Na Ufisadi 3. Ubepari 4. Ukabila Na Usehemu 5. Ubinafsishaji Holela Wa Mali Za Umma 6. Kuongozwa Kwa Rimoti Na Nchi Matajiri 7. Ubabe Na Vitisho Katika Uongozi 8. Umangimeza Na Ukiritimba 9. Usiri Wa Mikataba Na Makampuni Ya Kigeni 10. Rushwa 11. Uchu Wa Madaraka
  16. Kitu Kizito

    Mbunge wa Rombo Joseph Selasini Kusherehekea Mwaka Mpya Kwa Kupanda Miti na Wananchi Wake

    Mbunge wa Rombo Mh Joseph Selasini (CHADEMA) ataongoza mamia ya vijana na wanajamii wengine katika uzinduzi wa kampeni ya upandaji miti jimboni humo kesho January 1, 2017 katika eneo la Mamsera. Zaidi ya miche 1000 ya miti imeandaliwa kuoteshwa maeneo mbalimbali ya Jimbo la Rombo katika...
Back
Top Bottom