Search results

  1. T

    Tusisubiri Mtetezi suala la Pensheni atoke nje ya wafanyakazi!

    azimio hili litekelezwe haraka. sijasikia CCM wala upinzani wakipinga hili. CCM ni majambazi wabakaji wa hali waliozoeleka, kwa nini wapinzani nao wamsaliti? Ndiyo maana wanasiasa ni wajinga na hawastahili kuaminiwa. bora awe mbwa kuliko mwana chama wa ccm , chadema, cuf au nccr. Wote wezi...
  2. T

    Tusisubiri Mtetezi suala la Pensheni atoke nje ya wafanyakazi!

    Kwa kuwa wawakilishi wetu fibuka, tucta, tamico , trawu, chodawu, talgwu na wengine wamesaliti wafanyakazi wote wa nchii kwa kitendo chao cha kukukabali sheria dhalimu ya kupoka mafao ya wafanyakazi na kuyahonga kwa serikali, basi naomba wafanyakazi wote tujitoe kwenye vyama vyetu. Vyama hivi...
  3. T

    Kikwete unatia aibu sasa

    NIMEONA HABARI YA MTOTO KWA RAIS KIKWETE KUPATA UWAKILI KISHA RAIS AKAFANYA SHEREHE YA KIFAMILIA IKULU TENA AKITUMIA NEMBO YA TAIFA/SERIKALI/STATE KWENYE KADI YA MWALIKOAMBAYO INAMAKOSA YA KITOTO NA KISHENZI. MFANO SEHEMU YA RSVP IMEANDIKA " Jibu kwa Vazi Rasmi". ikarudiwa tena " jibu kwa...
  4. T

    Kagame Oyeee, Kikwete Ziii

    Kikwete is the worst president I have ever heard of. Hi actions are like those of a celebrity not a states man. He does not know who a president is despite being one. Look!!!! The Rwandese Revenue authority has returned lorries carrying fake fuel/aduletrated fuel from Tanzania and fined them...
  5. T

    Kagame Oyeee, Kikwete Ziii

    Mkubwa Mpeni sifa yesu, nini usichoelewa? Labda ni lugha ya kiingereza ngumu kwako? Angalia uthubutu wa kagame ku dhibiti hata majenerali wa jeshi wa ngazi za juu wanapopotoka. Huyu Mkuu wa soka na jenerali wa jeshi alitaka kwenda SA bila ruksa, akakamatwa. Hapa Mafisadi kina chenge...
  6. T

    Kagame Oyeee, Kikwete Ziii

    Rwanda arrests football head on way to World Cup Brig-Gen Jean Bosco Kazura (Photo from Ferwafa - ferwafa.rw/fed) Jean Bosco Kazura served in Sudan's Darfur region The head of Rwanda's Football Federation, Brig-Gen Jean Bosco Kazura, has been arrested for travelling to the World Cup in...
  7. T

    Polisi dar waua tena

    Naomba muache kukimbilia kuwalaumu polisi. Kwenye hii issue, huyu mtu aliyeuwawa alikuwa na genge la watekaji nyara. Walikuwa wamemteka baba wa mtoto. Kwa hiyo Polisi walikwenda pale kuokoa mtu ambaye ametekwa na hili genge. Huyu muhuni akaanza kupelekeshana na polisi mwenye silaha. Nia yake...
  8. T

    Wapenzi wa Simba Sports Club nao wasusie IPP Media?

    Mr. Reginald Mengi is very stupid to allow this to go on at his media outlets. Part of duties its media outlets play is to inform and educate people. He is very silly. I was in shock when I came to know that they were not broadcasting or writing any thing "simba" for some lame reason. We are...
  9. T

    Samuel Eto'o learns not to lend his Bentley to teammates

    Mr. Reginald Mengi is very stupid to allow this to go on at his media outlets. Part of duties its media outlets play is to inform and educate people. He is very silly. I was in shock when I came to know that they were not broadcasting or writing any thing "simba" for some lame reason. We are...
  10. T

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    Tatizo la kuchagua kiongozi asiye na mwelekeo, uelewa , wala kujua nini la kufanya hata katika maisha yake mwenyewe ni hili tulionalo kwa rais kikwete. Ndugu huyu anaonyesha udini bila soni, mbaguzi , mkumbatia wezi, hana maadili (hata ya ndoa tu) na zaidi hana uwezo wa kuongoza. Ndiyo...
  11. T

    Bloggers waendeleza kejeli kwa Rais Kikwete

    Imean, ICANT BELIEVE THIS COUNTRY kwa kweli. Kuna Rais ambaye anatetea wahujumu nchi. Yeye ndo msemaji na mtetezi wao namba moja, na anafanya hivyo bila soni mtoto wa kiume wa Kikwere!!
  12. T

    Bloggers waendeleza kejeli kwa Rais Kikwete

    Yeye KIKWETE ndo anaukejeli URAIS. the person is a big let down and an embarassment to our country. Sijui alisoma nini? Umewahi kuona wapi Rais anakuwa WAKILI wa WEZI? The EPA fraudsters are happy that this guy is the president. I can believe this country.
  13. T

    The War Crimes Charges Against Al Bashir

    This s****d Membe is also crazy . How do you defend a person who has been killing your fellow black men indicriminately? Membe and ofhter fools are interested in protecting one person and careless about the plight of helpless millions dying at the hand os El Bashir. This is stupidity at is...
  14. T

    Ze Comedy Watinga Bungeni

    Nadhani watu waache ushabiki usio na maana kwanza. Tujadili issues kuhusu hili. Sheria za milki ubunifu zinaeleza wazi kwamba mtu anayetengeneza kitu kutokana na ubunifu wake ndiye mmiliki! Mara nyingi huwa mbunifu napoteza haki ya kutambulika kama mwenye 'mali' hiyo inayotokana na ubunifu...
  15. T

    Kifo cha David Balali: Kauli mbalimbali toka kwa watanzania

    HIVI HAMUONI HATA MEMBE MWENYEWE ALIISHIA KUKANUSHA KAMA MTU AMBAYE AMEFUMANIWA HALAFU ANADAI 'MBONA MMETUKUTA PEMBENI YA KITANDA CHA GUEST HOUSE TUKIWA TUMEVAA NGUO, HAKIKISHENI TULIKUWA TUNAZINI ' WAKATI HUO HUO UNASIKIA HARUFU YA KONDOM ZA CHOCOLATE CHUMBANI NA MASHUKA VURURUVURUVURU!!! NA...
  16. T

    Mkapa above the law?: Allegations

    Kikwete atatoka mchafu kuliko Mkapa. Nina wahakikishia kwa hili! Ni kwavile ameingia madarakani kwa rushwa na amekusanya genge la wala rushwa ambao wanamsaidia kuendesha nchi. yeye mwenyewe anauza sura tu( si unajua tena sura ya mauzo/mvuto kama Zagreb mutamu wa Acudo Impact). Kama nchi imefikia...
  17. T

    tuandike mazuri ya ballali kwa tanzania

    Domo Kaya We domokaya, Acha unafiki. Unahitaji ushahidi gani zaidi ya ule ulokuwepo mbele ya umma na wa kimazingira? Unataka kusema CCM walivunja Benk kuu kuiba pesa kupeleka uchaguzi? walioiba pesa za EPA walimshikia Bunduki? alisign kwa ridhaa yake akijua inayoumia ni nchi na si yeye...
  18. T

    Kifo cha David Balali: Kauli mbalimbali toka kwa watanzania

    CCM na serikali ya mabwanyenye mafisadi washamla mshikaki huyo!!! Ndo faida ya kutmikia chama cha siasa badala ya watu. yeye alikuwa anawaidia CCM na wao wamemtumia kama napkin au CONDOM!! ukishamaliza hufui condom. Unaitupa na uchafu wake. CCM wamemtumia balali kama CONDOM ili wasipate...
  19. T

    Whats JK reading ?

    Him being one african leaders may not be interested in reading books. He reads his stomach!!!!! or his gut. He is a typical politician who is satisfied and corrupted by power. As long as he is the President, no one can tell him anything. That was his aim. his aim was not is done with the...
Back
Top Bottom