Kulingana na ujuzi nilio nawo, tupo na Bible theory of creation na evolution theory. Maoni yangu ni kwamba tunafaa kuamini kama vile tunavyoelezwa katika hizo theory mbili. Kwakumaanisha hatufai kuongelea mambo ya Adamu na Eva wakati tunafundishwa mambo ya evolution na pia hatufai kuongolea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.