Search results

  1. W

    Mauaji ya walinzi wa Bonite: Mengi atangaza milioni 50

    very good idea....tunataka watu wenye mawazo mazur kama ww keep it up
  2. W

    Tishio Al-Shabaab, Polisi wabuni njia mpya Uwanja wa Ndege

    we Acha ufala unakua kama hanith...au huna mke ndo Maana unaongea upuuzi humu. askari akiwa kazini ndio apapase wake za Watu kwan imeshindikana nini kuwepo askari Kike!!? mpuuzi we....kama huna cha kuchangia funga domo lako
  3. W

    Hongera Tv Imaan na Radio Imaan

    Napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza chombo cha habari Tv na Radio Imaan kwa kazi kubwa wanayoifanya ya kuelimisha jamii,mfano mzuri ndani ya siku tatu hizi wamekuwa wakikemea vikali kuhusu upotoshaji kwa jamii juu ya hiki wanachoita sikukuu ya wajinga na madhara yanayotokana na upotoshaji huo...
  4. W

    natafuta watengenezai mihuri hapa dar

    Tanzania Sign writers posta ...ngoja nkuchekie contacts
  5. W

    Hongera sana TV Imaan Tanzania kwa kupata kibali

    startimes...kwa morogoro na Dar pia kwa dish utaipata...
  6. W

    Hongera sana TV Imaan Tanzania kwa kupata kibali

    haujui halaf unajifanya mjuaji....uliza kwanza!!! walichopewa awali ni CP(construction permit) ambauo inakuwa go ahead ya kuandaa studio na kurusha matangazo ktk test siganl wakat unasubir kibali cha moja kwa moja ambacho sasa kimepatikana na neno test signal litaondoka kwenye display ya Tv Imaan.
  7. W

    Hongera sana TV Imaan Tanzania kwa kupata kibali

    Hatimaye mamlaka ya mawasiliano Tanzania jana imetoa kibali kwa Tv Imaan, television ya kwanza ya Kiislam inayorusha matangazo kwa lugha ya kiswahili. Hongereni Tv Imaaan Tanzania ''Elimu Bila mipaka" sasa safar ndio inaanza tunamuomba Allah akilinde chombo chetu.
  8. W

    TBC kwa nini mnapiga mziki tu usiku!

    mnapata tabu bure kuangalia hizo TV ngoma...angalien Tv Imaan mpate faida!
  9. W

    Jamani! milegezo mbona aibu kubwa hii!.

    wangekuwa wasafi tungesema wapo kwenye biashara sasa hizo boxer na singlend ni nyeusiiiiii....na hayo makalio mpaka yana ukurutu..dah ni shida!
  10. W

    Kukimbiza Mwenge Kumepitwa na Wakati!

    ni namna ya kutengeneza 10% tu upuuzi mtupu!
  11. W

    Harusi ya Vicky Kamata ni mil 96

    ndoa kufanyika kwa gharama kubwa haimaanishi ndo wataishi kwa amani na upendo...wataoana kwa gharama kubwa lakin wataachana bila hata sent tano.
  12. W

    Mfanyabiashara ampiga risasi polisi, ajiua

    Angekua padri wangesema waislam...watu wakikosa akili bwana!!!!!
  13. W

    Hali ilivyo kuwa mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jana katika kesi ya Shekh Ponda

    Bora hata ungekaa kimya tungejua pengine unajua,sasa kama unajua sheria kesi ya ponda ni ya kunyimwa dhamana??to upuuzi wako hapa
  14. W

    Pinda: Waislamu waendelee kusimamia kuchinja

    tutolee uozo wako hapa,chuki dhidi ya muislamu umezaliwa nayotoka tumboni kwa mamako, hakuna KAFIRI mwenye mapenzi na Muislam hata kidogo acha unafki wako!
  15. W

    Kanisa lanusurika kuteketea kwa moto Zanzibar asubuhi ya leo...

    Kwani mnaakili nyie mpaka mshindwe? si hivi mnaweza sasa then mnacngizia waislam ili wachapike...washenz tu!
  16. W

    Tamko la Jukwaa la Wakristo mkoa wa Mbeya (TCF)

    yan hapo ndo tunapoendea sasa...patanoga tu just wait!!
  17. W

    Police Central (Dar) inaungua mida hii

    Yan kama mioto ya asili tuliyosomaga darasa la sita
  18. W

    Jamani tuwe Makini.... Hii Habari imenisikitisha Sana

    kwahiyo hiyo siku utakayopanga ndo hautakufa?acha ubwege nawewe ajali siku yoyote hata muende mmojammoja kama imewafikia siku yenu mtakufa tu!!
Back
Top Bottom