Search results

  1. W

    Wananchi wenye hasira wachoma pikipiki mbele ya askari

    Raia kumsaidia askari ni fadhila, sheria haisemi kuwa ni lazima. Askari akipigiwa simu, akipewa taarifa kuwa kuna Korea mweusi, panya road ama jambazi, askari asipoenda kuzuia uhalifu na kukamata wahalifu; askari huyo atakuwa amekosa kutekeleza jukumu lake kisheria, kiutaratibu na kimaadili...
  2. W

    Barua ya Evarist Chahali kwa viongozi na wafuasi wa upinzani (Hususani CHADEMA)

    Sijakuelewa, pamoja na mapungufu ya Chahali kama povu ulivyolitoa, wewe unapenda wa Tz tufanye nini. Je utawala huu unafuata haki na sheria ? Je Katiba inafuatwa na kulindwa? Maana umetoa povu na maovu ya Evarist, wewe unatakaje tuendekee kuburuzwa kwa kisingizio cha kununua ndege, SGR, na umeme...
  3. W

    Moyo wa Yesu unakaribia kupasuka kwa jinsi tunavyomtesa siku hizi

    Asante Baba Pd Amigu, nakujua kwa jinsi ulivyo na kipawa kikubwa cha utafiti, uchambuzi na ufundishaji wako. Hata hivyo ingawa umekifafanua lakini sisi ni "walei" ingependeza sana kama ungefafanua kipengere ambacho wapotoshaji hawa wanaosema siasa na dini havikai/haviendi pamoja wanakitumia...
  4. W

    Tujikumbushe namna mahakama zetu zinavyoingiliwa na watawala kisa wapinzani

    Eden hilo sasa lipo wazi saana kuwa Mahakama haiko huru. Kama ulivyotoa ule mfano wa Jaji Wambali kupanda cheo baada ya kubana haki, si muda mrefu kuanzia sasa, utasikia huyo hakimu mtu wa Ifakara, aitwaye Mteite, anapanda cheo kama shukurani kwa kusaidia ccm , na kumfunga mpinzani Sugu wa...
  5. W

    NEC: Hakuna sheria wala kanuni yoyote ya uchaguzi wa Rais, wabunge au madiwani inayotaka mawakala wapewe nakala ya kiapo

    Utata Mtupu !!! Kailima anasema, " Hakuna sheria wala kanuni yeyote ya Uchaguzi wa Rais, wabunge au madiwani inayotaka mawakala wapewe nakala ya kiapo," mtu huyo huyo kwa jinsi alivyo ndumila kuwili na mshabiki wa kisiasa (partisan) anasema mwishoni kwa kuwalaumu Chadema kuwa nakala hizo...
  6. W

    Baada ya Rais Magufuli kufanikiwa kuua upinzani vyama. Sasa kaibua upinzani Umma

    I don't believe what y're saying. Yaani kabisa wewe unaona yanayotokea sasa/leo ni kawaida!!! Ooh my God, are you really saying that what is happening today is normal and that it is like/same to what happened during the past? Do you really mean that. Nadhani kuna sababu mbili za kusema hayo...
  7. W

    Baada ya Rais Magufuli kufanikiwa kuua upinzani vyama. Sasa kaibua upinzani Umma

    Mbona sikuelewi yaani wewe maanake unatetea unyama unaofanywa na kutetewa na awamu hii. Hivi kweli wewe unaipenda Tanzania na Watanzania!! Ama ni mmoja wa wanyamlenge ambao bado wapo Tz. Watu wanateseka wewe unatetea watu kupuuzwa, kunyanyaswa na kuuliwa ! No Mkuu, kunywa maji, tulia...
  8. W

    Mauaji ya Kisiasa, hali ngumu ya Uchumi na Utabiri wa TB Joshua juu ya hatima ya Tanzania

    Mkuu, nimeisoma na kurudia kuisoma hii comment yako, naona ina ukweli. Katika utawala huu, ni lazima uncle P itakuwa ni mmoja wao. Kumbuka alionywa siku ile ktk mkutano na press kuwa jina la Mayalla wanapewa watoto wanaozaliwa wakati wa njaa. Kauli ile ina maana sana. Tangu pale uncle P hadi leo...
  9. W

    Tafakuri: Bosi wako anapokuambia "Halogeki" nini tafsiri yake ndani ya Utumishi wa Umma?

    Kididimo kwanza nilikuelewa lakini kwa statement yako hii hapa juu, sikuelewi. Maana wale wananchi walokuwa "wanasaidiwa" na RC ni Ndugu zetu, sheria ya utumishi na maadili ya utumishi yanatuhusu sote, RC mwenyewe ni kiongozi wetu sote, hata ukiwa mikoani ukija Dar huyo ndiye Kiongozi wako, na...
  10. W

    Tafakuri: Bosi wako anapokuambia "Halogeki" nini tafsiri yake ndani ya Utumishi wa Umma?

    Myahudi mweusi -blackjew hujamuelewa Kididimo. Pengine mada haikuwasilishwa uzuri, naona ipo mantiki kujadiliwa kidogo. Ni hivi, kwa nini Bashite akimbilie kujihami eti "mi silogeki" kwa nini amdhanie Afisa Ardhi mkoa, tena baba wa watu jina hata appearance alionekana ni mchaga, wengi tunaamini...
  11. W

    Tafakuri: Bosi wako anapokuambia "Halogeki" nini tafsiri yake ndani ya Utumishi wa Umma?

    Mkuu Kididimo, Mimi nimekuelewa. Wasioelewa ni wale ambao hawakufuatilia kiki za Bashite za kujidai anawasaidia watu walodhulumiwa nyumba, viwanja, mashamba n.k. Dar. Unajua ukiangalia haraka haraka utaona Bashite anawapenda watu wakazi wa Dar. Lakini tulia kidogo uone anavyotekekeza ndipo...
  12. W

    Siyo Utoto mitandaoni, Mr Slim is pretty dangerous!

    Hivi huyu jamaa huyu Jestkilla kwa nini muda mwingi namuona anamtetea saaaana Mr. Slim!! Tena anatetea saana. Eti Mr. Slim hana mpango na Tz. Nimwambie hakuna nchi itakuwa kimya na kumuamini jirani yake kihiivyo. Kazi kubwa kwa vijana wa usalama nchi zote huifanya wakati wa amani. Mimi siwaamini...
  13. W

    Lazaro Mambosasa aondolewe Dar es Salaam

    Hata kama atapandishwa cheo lakini sisi wananchi tumesema tumetoa maoni yetu kuwa Kamanda Mambosasa hafai na awajibike kwa kujiudhuru ama aondolewe katika nafasi hiyo. Haiwezekani uhai wa Mtanzania umekatishwa kwa amri yake (maafisa wake) halafu anasema hawezi kufuatilia kwa sababu kuna...
  14. W

    Kinondoni na Siha, tusikubali ujinga huu! hata Mwl. Nyerere alikataa ujinga wa CCM, 1995 akachagua upinzani!

    Magalemwa; upo sahihi kuwa wakati mwingine unapata Uchaguzi mgumu kama vile unalazimishwa kuwa mjinga. Mfano kuna diwani mmoja huko Tunduma ambaye mfanyabiashara mdogo pale mjini, Ccm kwa ktumia dola (TRA) alibanwa akapewa alternatives 2. Ajiudhuru na kuhamia Ccm ama abakie CDM lakini apewe bill...
  15. W

    Kinondoni na Siha, tusikubali ujinga huu! hata Mwl. Nyerere alikataa ujinga wa CCM, 1995 akachagua upinzani!

    Msemaji Ukweli umetoa nadharia potofu kwamba ' ni ujinga kumwambia mwingine ni mjinga." Nadharia potofu kwa sababu kila mtu anajua kuwa wapo watu wajinga. Na ujinga ni kutokujua jambo fulani. Ujinga siyo dhambi na kuwa mjinga siyo kosa. Kosa ni kujifanya mjinga. Ukijifanya ni mjinga unapanda...
  16. W

    Maswali ya hovyo yanayoulizwa na wabunge wa Chadema bungeni!

    mitale na midimu na mtoa mada jingalao; hamjamuelewa Mhe. Minja. Kwanza niwafahamishe kuwa Mhe. Minja ni mwandishi wa habari wa muda kidogo. Nionavyo mie, Mhe. Minja alitaka kulifahamisha Taifa kupitia Bunge kuwa Ccm waliiba kura kwa kutumia Dora. Maana kwa kutumia akili ya kawaida tu kama...
  17. W

    ELIMU BURE: Hivi ndivyo Polisi hutrack na kunasa watu kwa njia ya Mtandao.

    Mnajua nyie vijana mie mnaniudhi sana, nyie hamjui tu. Nimewaona hapa hawa vijana wangu Edwardc8, halafu huyu faru joni na deonova, hawa wanataka kutugea ELIMU, sasa kuna watu wana kimbele mbele wanaharibu maneno. Jamani watu hao hawalipwi wanataka kutoa elimu bure kwa nini tusiwaheshimu kwa...
  18. W

    Watanzania wanaomtumia matatizo yetu Mange Kimambi kwa kujificha ndiyo njia ya kuyatatua kweli?

    Kuna huyu anajiita MLAU, hivi wewe unaishi Tz kweli ! Hiyo unayosema tukiwa na matatizo tuyaseme, unayasemea wapi. Uliona video wakati wa uzinduzi wa flyover Ubungo, Mkuu alisema "tena ukisema sema ndiyo kabisaa , nakataa." Kule Bungeni mangapi na mara ngapi yamesemwa tena na Wah. Wabunge...
  19. W

    Majaji kwenda Ughaibuni likizoni: Rais ametoa tahadhari, hakukataza!

    Mkuu Kihava umesema sahihi. Leo hii hakuna separation of powers. Mtu mmoja anajiona ni kila kitu. Hovyo kabisa. Jaji ni mtu wa kuheshimika sana kutokana na nafasi yake katika Jamii. Hivi leo unamnanga Jaji hadharani kama vile, wapi heshima yake. Kesho Jaji huyo akiketi kiti cha juu mahakamani...
  20. W

    Mungu ametoa funzo kupitia kwa marehemu Kingunge Ngombale-Mwiru

    Angalia huyu anayejiita "nusu hela" maneno gani haya !! Jamani Dar inaye Kardinal na Maaskofu wengine wawili, isitoshe wapo mapadre wengi tu, hamjiulizi kwa nini sherehe ile ya mazishi ya mzee wetu Kingunge iliendeshwa na Katekista? Sasa watu wanatoa mapovu na kujitoa ufahamu hadi kufuru. Looo...
Back
Top Bottom