Search results

  1. N

    Alichofanya Rais Kikwete Australia ni sahihi?

    Watanzania ndio waamini kuwa Kikwete ni fisadi
  2. N

    Kinabo wa CHADEMA tishio Kibaha Vijijini, arudisha rasmi ya fomu ya ubunge leo!

    Na Mwandishi Wetu, Kibaha HATIMAYE, Mjumbe wa Baraza Kuu Mstaafu na kada maarufu wa Chadema katika jimbo la Kibaha Vijijini, Kinabo Edward Kinabo, amerudisha fomu leo katika Ofisi za Chadema Jimbo la Kibaha Vijijini mjini Mlandizi, akiomba ridhaa ya chama chake ya kuwania ubunge wa Jimbo hilo...
  3. N

    Hivi ACT-Wazalendo kujaza watu mkutanoni ndio kukubalika?

    Kwa wale wapambe na wafuasi waaminifu wa Zitto Kabwe wanajitahidi sana kujinasibu kuwa Zitto Kabwe ni mwanasiasa tishio kwa Tanzania ya sasa. Hawaishii hapo tu, wanajaribu kuitumia mitandao ya kijamii kuwaaminsha Watanzania kuwa Zitto na genge lake watawasambalatisha UKAWA kwa kuwa mikutano yao...
  4. N

    ACT kujiunga UKAWA

    Ukawa Kikundi kitakatifu, ukawa sio pango la wasaliti, Zitto aogopwe kama ukoma
  5. N

    Friends Of Lowasa Ndani Mlandizi Jumamosi

    Wapambe Wa Waziri Mkuu Aliyejiuzuru Kutokana Kuhusika Na Ufisadi Wa Kampuni Ya Richmond Edward Lowasa Siku Ya Jumamosi Tarehe 28/02/2015 Saa 7:00 Mchana Watakuwa Na Kikao Na Baadhi Ya Makada Na Vijana Hapa Mlandizi, Kwa Mujibu Wa Ujumbe Mfupi Wa Maandishi Uliotumwa Kwa Walengwa Kikao Hicho...
  6. N

    Polisi wajeruhi raia kwa kipigo Rungwe mkoani Mbeya

    Jeshi la Polisi Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya limewajeruhi raia kadhaa kwa kipigo na kuharibu mali zikiwemo nyumba za raia Wilayani hapa, Pamoja na kujeruhi na kuharibu mali za raia hao wa Mamlaka ya mji mdogo wa Busokelo katika Kata ya Luangwa na Kata ya Ikama pia Polisi hao walipora fedha, nguo...
  7. N

    Rais Kikwete akanusha kumuokoa Ridhiwani katika kesi ya dawa za kulevya China

    Au Ndiyo Maana Ili Kutuzuga China Imeamua Kuwapa Watz Bakuli Za Bati Na Chupa Za Chai Zenye Picha Ya Jk?
  8. N

    Jaji Mutungi atumia Upenyo kurejesha UKAWA bungeni!!

    Habari leo au kabari leo
  9. N

    CHADEMA wamtelekeza mgombea Ubunge wao Chalinze

    mleta mada ni msen.e kwani Tendega mchaga? kakazwe mbele
  10. N

    Kikwete: Sina tatizo na uwepo wa Serikali tatu Tanzania!

    Huyo mzee mnafiki sana
  11. N

    Muhtasari wa Kikao cha MM na viongozi wa ACT Kigoma ujiji

    chama laghai ni kile kilichosababisha kila mtanzania kudaiwa Tsh.600,000/= kutokana na kukua kwa deni la taifa
  12. N

    Picha: CCM yaambulia aibu ya mwaka Mlandizi

    Mkutano huo ulikuwa wa ngazi ya wilaya na ulipangwa kuhutubiwa na mwenyekiti wa wilaya ndugu Hamisi Kanesa, na hilo jina la stend ya mzenga ndiyo kiwanja maarufu kiliopo hapa Mlandizi mjin na madiwani wote wa halmashauri hiyo walihudhuria
  13. N

    Picha: CCM yaambulia aibu ya mwaka Mlandizi

    Katika hali ya kushangaza jana katika mkutano wa CCM wa kutoa taarfa wa utekelezaji wa ilani ya CCM kwa wananchi ulioandaliwa na uongozi wa CCM wilaya ya Kibaha Vijijini uliofanyika viwanja vya stend ya Mzenga ambao wananchi waliususia na kuwalazimu Mwenyekiti wa CCM wilaya hiyo na katibu wake...
  14. N

    Habari na Picha: Mwigulu Nchemba afungua kampeni jimbo la Kalenga kwa kishindo.

    Ccm ndipo mwisho kwa kumtuma chizi Mwigulu
  15. N

    Viongozi wa CHADEMA Iramba wakamatwa na polisi

    Unauliza maswali kama unaliwa vile. kwanini nawe usiema we mama
  16. N

    Ujumbe huu kwa wafuasi wa CHADEMA, please read

    Hata wakinamama sasa wanandevu?
  17. N

    Ujumbe huu kwa wafuasi wa CHADEMA, please read

    Nakubali kazi ya ccm ni kutenda tumeona walivyomtenda Kolimba,walivyomtenda Kigoma Malima, walivyomtenda Nyerere, walivyoitenda Epa, waliyotenda katika mkutano wa kufunga kampeni za chadema Arusha, walivyomtenda Mwangosi, walivyomtenda Kibanda, walivyowatenda wananchi wasio na hatia katika...
Back
Top Bottom