Search results

  1. kashesho

    Kwa wale tunaoenda xmass december arusha na moshi tuambiazane viwanja vya kukutania

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza december inakaribia wa mikoani tunaenda kupumzika kidogo vijijini. Kwa wale wakwetu kaskazini tujuzane viwanja vya kukutana. Bata linaanzia njia panda
  2. kashesho

    upweke

    Mmejichimbia wapi watu wa dar sinza maeneo ya kijiweni karibuni tugawane umasikini tubadilishe mawazo
  3. kashesho

    Nawatakia Kwaresma Njema

    kwa wale wakristo nachukua fursa hii kuwatakia kwaresma njema ambayo kwa Wakatoliki imeanza leo Jumatano ya majivu...
  4. kashesho

    likizo hii ndefu na upweke

    habari wana jf kuanzia alhamisi ni holiday yaani 8/8 kama sio sikukuu ya Idd, ijumaa nayo uwezekano mkubwa wa kuwa sikukuu pia kwa wale wenzetu waislam. sasa likizo hiyo ya siku nne nitakuwa mpweke maana nilisaka mwenza hapa jf nikakosa je ni sehemu ipi tulivu naweza nikakaa peke yangu na...
  5. kashesho

    Angalia hii picha:tunaweza kujitoa kiasi hiki kwa wengine?

    UNAWEZA KUJITOA KIASI HIKI KWA MWINGINE? Picha hii ilipigwa Rio de Janeiro Brazil.Mpiga picha alimpiga huyu baba wakati akivua viatu vyake na kumpa binti ambae ni mtoto wa mtaani.Binti huyo alikuwa akitembea peku. Je tunaweza kujitoa kiasi hiki kwa wengine?!
  6. kashesho

    Ambaye yupo tayari

    nipo single natafuta wa kuanzia nae tarehe 14.2.2013 mpaka milele awe mwanaume mkristo kuanzia miaka 38 na kuendelea kama yupo tayari anipm msg zote zitajibiwa
  7. kashesho

    hapa sio kujidhalilisha?

    hawa wanapima uzito wa kitu gani?
  8. kashesho

    msaada wa kutoka damu

    habari wana jf nilikuwa ninaomba ushauri au mwenye kujua tatizo la kutoka damu puani huwa linasababishwa na nini? nina dada yangu ana tatizo la kutoka damu puani ila hilo tatizo halijaanza muda mrefu sana ni kama siku ya kumi sasa..naombeni ushari wenu je? ni kukosa vitamini fulani mwilini au ni...
  9. kashesho

    hodi hodi naingia

    nawasalimu wana jf kwa ujumla mimi mgeni naomba kupokelewa
Back
Top Bottom