sijui hiyo symbol inamaana gani kwako au huko chadema , but kwa wale wajuzi wa lugha mfano ya kichina inasomeka as "jiu" ikiwa na maana number 9 "nine" .. ooh aim sorry! where are my manners forgot to ask you how many languages do you speak ...
mgomo wa madactari lilikuwa zito zaidi walikufa kina mama.. watoto.. na maskini... !! ulimboka mikononi ana damu ya watanzania.. kwa uchochezi alio fanya! ...
kumbe leo kulikuwa na hukumu ya hii kesi.. pro CDM wanadai sio muhimu hii issue haifai kuwekwa ... wamependa vibaya sana hawa watu! ..
i hope rose kamili atapata haki yake ...
ulimboka ni upepo tu ushapita.... hana jipya! amesababisha vifo vya watanzania wengi kwa ule uchochezi wake.... nashangaa ponda wamemkamata kwa uchochezi jhuyu ulimboka yupo mtaani ..
hahaha ... huyu jamaa alafu anataka kuja kuongoza nchi!.. while ku control hao wanawake wawili wakakaa wakayamaliza hawezi...
slaa ni more than mchekeshaji ..
Pro CDM wanaishi katika dnuia moja ya kufikirika.. i hope ipo siku mtaamka na kuona ukweli... CDM kamwe haiwezi kuja kuchukua nchi.. ni ukweli mchungu huu
dada u are so full of self now this is getting bored .. mara ohh! mi msomi.. wara ohh wamekosa elimu!.. mara ohh.. etcl .. tumeshapata pint yako kwamba weye ni msomi.. mstaarabu na mkristo safi.. give it a break.. will ya ..?!
Behind keyboard you can pretend & be any one/ anything ! but some people they just choose to be stupid ...
ninyi ndio mnatutaftia ban! tukiwajibu pumba mnakimbilia kwa mods
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.