Search results

  1. K

    Lipi lilikuwa lengo lao kutushinikiza tuingie kwenye mfumo wa vyama vingi?

    Ni kuuendelea kututawala wametumia divide rule
  2. K

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Edward Hoseah

    Nadhani tusiwe watu wa kukosoa tu kila jambo. Nadhani kwa mtazamo wako ulitaka JPM afanye kile unachowaza wewe lakini kuna different approach za kutatua matatizo kwanza unaanzia chini endapo wa chini atasema alitumwa na wajuu then unaweza kumuwajibisha na huyo aliyemtuma endapo kutakuwa na...
  3. K

    Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

    Nimesoma comment za watu wengi wengi wanaonyesha kuwa na hasira na jk lakini nasikitika kusema baadhi yenu ndio mliomchagua Kwa kishindo 2005 Kwa imani ya maisha bora Kwa kila mtz. Vivyo hivyo kesho mtaenda kumchagua el Kwa imani ya mabadiliko na promise ya el ya kufuta umaskini kumbukeni el na...
  4. K

    James Mbatia aizika rasmi NCCR - MAGEUZI vijana wazalendo njia panda

    Kuna nyakati tumeichukia ccm hats tukaifananisha ccm na ukoo wa panya swali nalojiuliza hivi panya akibadili makazi hujeuka na kuwa paka ambaye sasa atakamata panya?
  5. K

    Escrow: Kijana wa Kitanzania aweka utu wake rehani kuhakikisha CCM haishindi uchaguzi 2015

    maswali ya msingi ambayo jk alitakiwa kujibu leo 1, ni kwanini ktk kipindi cha miaka7 ambayo account ya escrow ilifunguliwa tanesco haikufanya jitihada zozote kumaliza swala lake na IPTL? 2 kwanini vip ilipouza hisa zake rugemalila aligawa pesa kwa watu je nini kilikuwa kati yao 3, ni...
  6. K

    Hivi ni kwa nini ndoa za siku hizi migogoro ni mingi kuliko furaha?

    Mkuu nakubaliana na wewe kwa uliyo yasema kwa ujumla lakini kwa kuongezea inawezekana pia tatizo lingine linalojitokeza kwa hivi sasa ni kukua kiuchumi kwa wanawake ikumbukwe kuwa katika siku za nyuma mwanamke alimtegemea mwanamme kwa asilimia mia baba ndiye aliwajibika karibu kwa kila kitu...
  7. K

    Jakaya Kikwete apongezwa kukutana na UKAWA

    sioni umuhimu wa JK kukutana na ukawa kwa wakati huu wanaompongeza either ni vipofu au ni wanafiki
  8. K

    Ngono Kabla ya ndoa

    Kidini huwa hairuhusiwi kufanya ngono kabla ya ndoa ni mpaka pale mtakapokuwa mmeowana ndio mnapewa izini ya kushiriki unyumba na ndio maana hata yusufu alinuia kumwacha mariam wakati alipokuwa amemposa na kabla ya ndoa yao akaja kugundua kuwa ni mja mzito. Hata hivyo malaika wa bwana...
  9. K

    Dk. Kitila Mkumbo ajitambulisha rasmi ACT

    Hii ndiyo demokrasia ya africa watu siku zote wanatafuta madaraka na si kuwatumikia wananchi wako tiari kwa lolote hata kumwaga damu za wengine ili wapate madaraka. Naamini kitala na zito hawatakuwa na jipya kama wengine waliopita. Je ni lini waafrika tutabadilika kimawazo na kuanza kufikiria...
  10. K

    Hotuba ya Pieter Willem Botha aliyekuwa Rais wa Afrika ya Kusini ya Makaburu

    Unajua kusema kweli hawa jamaa ni wabaguzi lakini ubaguzi wao kwetu umetokana pia na historia yetu mbaya na kweli tusipokuwa makini watatumaliza je si kweli wanatupa silaha tuuwane? je si wametuletea gonjwa la ukimwi na kwa kuwa sisi tunapenda sana ngono linatumaliza? Kondomu tunazotumia na pedi...
  11. K

    UKAWA kupoteza Imani ya Wananchi na kuvurugika endapo wakiendelea kuwa 'kondoo'!

    Yawezekana haya yakawa maoni binafsi na yasiwe ndiyo mtazamo wa watanzania walio wengi. Kwa ujumla unapofanya utafiti hasa wa kukusanya maoni huwa inategemea umetembelea maeneo gani na katika maeneo uliyotembelea je wahusika uliokutana nao ni kina nani na wanamwelekeo upi sasa baada ya...
  12. K

    Ushahidi Watz tuna IQ Ndogo!

    NI kweli Linaweza kuwa swala la IQ lakini si kwa watanzania tu bali ni waafrica wote kwa ujumla. Tafiti zilizowahi kufanywa na wanasayansi kuhusiana na ni race ipi yenye IQ kubwa na ipi yenye IQ ndogo zilionyesha kwamba wazungu ndio wanaongoza kwa kuwa na IQ kubwa wakifuatiwa na waeshia then...
  13. K

    Mkutano wa Mwigamba na vyombo vya habari

    Nimesikitishwa sana na haya yaliyotokea arusha naanza kupata mashaka kama ukombozi wa kweli tuliokuwa tunautafuta kupitia CDM utapatikana. Ninasema hivyo kwa kuwa kilichotokea arusha ni ishara mbaya kwa chama ambacho kimekuwa kipenzi cha watu wengi na sasa inaonekana dhahiri kuna vita ya...
  14. K

    Baada ya ripoti ya TANAPA kutaja majina ya wabunge 4 CCM kujangili meno ya tembo, Namshauri JK...

    Nimeipenda hiyo nukuu mkuu "HERI NGAMIA KUPENYA KATIKA TUNDU LA SINDANO KULIKO USHAURI WAKO KUTEKELEZWA NA JK". Kweli haya mambo ya uchama au kusema ni mwenzetu hatuwezi kumchukulia hatua kwa kuwa tutachafua sifa ya chama chetu yametucost sana. Ndio kama hivyo sasa tembo wanaangamia lakini...
  15. K

    Serikali ya CCM ndio kiini cha madawa ya kulevya nchini. "Halima Mdee afunguka"

    Siku zote dunia au serekali hasa hizi nchi za kibepari huongozwa na watu wachache wenye maslahi yao. Ni katika ujamaa uliotukuka au uliokamili tu taifa litaweza kuongozwa kwa maslahi ya umma lakini katika ubepari hilo ni gumu. Chukulia mfano wa taifa kama marekani wakati Obama anapigina ili...
  16. K

    Ni kweli nchi inataka mabadiliko, lakini kwa tabia hizi ...!

    Maandiko yanasema amdharauye mwenzake huyu ni mjinga kabisa hana akili wewe ukisema mwenzako kaposti utumbo je hoja yako ya msingi ni ipi hasa ili tuilinganishe na ya mwezio then tuseme wewe uko sahihi na yeye hayuko sahii jifunze kuheshimu wengine kumbuka kuwatendea wengine yale unayotaka...
  17. K

    THE Paradox of Rich Poverty: Africa isn't Poor but Poorly Governed

    Interesting but two things has to be done 1. We need first to change our mind set we have been told by our leaders that we are poor and we belive so. So we need to chnage our mind by beliving that we are not poor we are capable of changing our lives 2. One of the major problem in africa is...
  18. K

    Waziri Muhongo na dharau kwa wawekezaji wazalendo

    Msimlaumu sana muhongo nadhani muhongo ni mtumwa wa kifikra japo ni msomi. Nadhani kwa kuwa labda amesoma katika nchi zilizoendelea akaona maendeleo ya nchi hizo pasipo kuelewa kuwa maendeleo hayo yaliletwa na wazawa wa nchi hizo yeye anafikiri kuwa mzungu ni kila kitu na yamkini yeye kama yeye...
  19. K

    Majibu ya Reginald Mengi juu ya Gesi kwa Profesa Muhongo

    Pole sana bwana mengi na watanzania wote kwa ujumla hakika wakati Muhongo anachaguliwa niliposoma profile yake ilinikuna sana nikazani tumepata kiongozi hasa alipokabidhiwa widhara ya Nishati na madini na akaingia kwa mkwara wa kuchapa kazi kufa na kupona nikasema tunaye mtu kumbe ilikuwa kiini...
  20. K

    CCM yafisidi Katiba Mpya, Mbunge wao aunga mkono wapinzani

    Binafsi Nashangazwa na yanaoendelea bungeni siamini kile nancho kiona lakini nakiri dhahiri kuna udhaifu mkubwa katika kiti cha spika kwani mbona enzi ya samuel sita hatukuyaona haya bunge lilikuwa zuri lilijadili mambo kwa uwazi na uhuru kuliko hili la hivi sasa. Laiti kama inawezekana...
Back
Top Bottom