Search results

  1. kantalambazi

    Sasa ni dhahiri kwamba Nape Nnauye anaumwa na anahitaji msaada wa daktari

    Akisubiri mpaka atoswe ataambulia manyoya tu bora ungemshauri asepe Sasa hivi manake mda huo atakua time barred already.Dynamics hazitamruhusu kupata u MP.
  2. kantalambazi

    Rais Magufuli, mimi kama Mtanzania nakuomba Radhi

    Weka takwimu kuthibitisha madai yako.
  3. kantalambazi

    CCM Kwanini mnataka Makamanda Edward Lowassa, Freeman Mbowe Na Frederick Sumaye Wajiuzulu Siasa?

    Wanakula kwa kufanya kazi na si kwa kushinda kutwa kwenye mikutano ya hadhara.
  4. kantalambazi

    CCM Kwanini mnataka Makamanda Edward Lowassa, Freeman Mbowe Na Frederick Sumaye Wajiuzulu Siasa?

    Umenukuu kwa maana ipi wakati umeni quote km wewe siyo kishoiya wa kiwango cha lami?
  5. kantalambazi

    Hapo mwanzo mtu alimuumba Mungu kwa mfano wake

    Ukisema hayupo ukamkuta yupo ndipo utakapokojolea chupi.
  6. kantalambazi

    Rais Magufuli, mimi kama Mtanzania nakuomba Radhi

    Wewe msahalifu sana, kwani uhaba wa madawa umeanza awamu hii, mbona hata kabla uhaba uliokuwepo tu?
  7. kantalambazi

    CCM Kwanini mnataka Makamanda Edward Lowassa, Freeman Mbowe Na Frederick Sumaye Wajiuzulu Siasa?

    Anayefikiria kua kuna watu hufikiria kwa kutumia makalio yeye ndiye akili zake ziko kwenye makalio na hufikiria kutumia makalio yake.Wewe ni mmoja wao kwa uliyoandika hapo juu.
  8. kantalambazi

    CCM Kwanini mnataka Makamanda Edward Lowassa, Freeman Mbowe Na Frederick Sumaye Wajiuzulu Siasa?

    Wananchi hawali mikutano ya hadhara.Hata hivyo mikutano ya hadhara imeruhusiwa kwa kila Mbunge kwenye Jimbo lake na wale wa Viti maalum kwenye mikoa yao.Kama hawafanyi hiyo mikutano ya hadhara basi ni kwa kutotaka kwao na si kweli kua wamekatazwa.
  9. kantalambazi

    Wahariri leo mmeonyesha uzalendo wa hali ya juu sana

    Siyo uzalendo wanaendeleza ligi na bashite tu hao kwakua Wana hasira naye.
  10. kantalambazi

    Ni kweli bilioni 10 zimejenga flat 20? Au tuna woga kuhoji gharama halisi?

    Weka figure unayodhani ni sahihi vinginevyo usizingue watu.
Back
Top Bottom