Search results

  1. TOXIK

    Mohamed Mchengerwa Wizara 3 chini ya mwaka mmoja, ni bahati au mkosi?

    Alijitahidi kusimamia haki za ndugu zetu watumishi kwa nilivyokuwa namuona
  2. TOXIK

    Baada ya hizi ajira za TAMISEMI, Wanaume wenzangu mmejiandaaje na mapenzi ya Bluetooth?

    😂😂😂😂😂😂huna maana we jamaa, nimecheka sana hiyo ''aione kwenye jalada''
  3. TOXIK

    Karibuni tujadili kuhusu jiji letu pendwa la The Rock City

    Jibu la hekima kwa 'possible hater'
  4. TOXIK

    Kukosekana kwa Maji na Umeme na kupanda bei za bidhaa kunatia doa Serikali ya Rais Samia

    Kigamboni shimo la mchanga wiki ya pili kwenda ya tatu sasa,mara moja moja unakatika lakini haukawii unarudi,ni maboresho kwa upande wangu
  5. TOXIK

    Girlfriend kichefu chefu kweli. Ndio aende hatua ya uchumba huyu?

    Mkuu huyu sio demu.Ni changudoa anayejiuza proper.Usimwite demu.
  6. TOXIK

    Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    Juu ya ghorofa lililo kwenye kumi bora ya urefu Tanzania.Mji wote unauona,halafu wote tumelewa.Ile mechi sitakuja kuisahau.Walinzi walitubamba nikaongea nao kiume mechi ikaendelea.ile raha ya siku ile nawazaga inawezekana wanaotumia mihadarati ndio hujisikia hivyo.
  7. TOXIK

    Ananiita 'bestfriend' ila ananipiga vibomba sana, nimfanyaje?

    Nasisitiza.Kaa kimya kwa chochote isipokuwa yeye kuja akupe.Unapoteza muda bro.Kwanza sijui ni mtu gani aliyeiva kikanisa hajakujibu mpaka sasa. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. TOXIK

    Siasa za Humphrey Polepole zaiponza TRC. Safari za treni Dar - Kilimanjaro zaanza kupuuzwa, Wizara ya Uchukuzi yalaumiwa

    Mimi nadhani tujikite kwenye msingi wa kwamba kuna unafuu wa usafiri utapatikana.Tunatesekaga jamani.Ni kitu kizuri sana.Haya mambo ya kuangalia watu badala ya mafanikio hayanisaidia sana ninapokuwa na mke na watoto wangu Ubungo kondakta ananitajia elfu arobaini kwa kichwa,tena kwa dharau.Natoa...
  9. TOXIK

    Rais alipomwita Mtu MPUMBAVU na wananchi kushangilia: Inaonyesha tuna taifa la wajinga, wenye chuki na maskini wa akili

    Uko sahihi.Na utashangaa habari za nani kafanikiwa,kupitia njia ipi,hazitufikii lakini za nani amekwama,kwa njia zipi,zinatufikia.Hii ni problem.
  10. TOXIK

    Kikao changu na makampuni ya simu kuhusu kesi ya kuibiwa vifurushi

    Tujulishwe tu sahihi tunaweka wapi.Chap kwa haraka nikamilishe.
  11. TOXIK

    Kijana wangu kachaguliwa course ya PETROLEUM and CHEMISTRY UDSM lakini yeye anataka MD.

    Mwache akasomee kilichopo moyoni mwake kwakua sio kibaya.Hiyo ya petroli kuna watu wa first batch bado wapo mtaani.MD ajira/kujiajiri ina urahisi zaidi
  12. TOXIK

    Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Msekwa, Mangula, Msuya na Kinana: Mlifanikisha, mmetafakari hali ya sasa?

    Binafsi sijabahatika kuishi nikiwa na ufahamu kwenye utawala wa Mwalimu Nyerere.Lakini bwana..huyu mzee ninampenda kwelikweli..ninamuelewa vibaaaya.Lazima tufike sehemu tusiwe taifa la kuhamishahamisha magoli.Ikisemwa kitu kifanyike na kifanyike kweli taifa likiwa limetangulizwa...
  13. TOXIK

    Tatizo la kisaikolojia: Huu mwaka wa 25 napenda kukaa mwenyewe tu, wakizidi watu watatu natoka

    Sidhani kama unauelewa mzuri wa neno ulilotumia kuelezea phobia unayodhani jamaa anayo
  14. TOXIK

    JF members awards (no cash money) only recognition..!

    [emoji23][emoji23][emoji23]tena anachanganya na element kidogo za ucheshi
  15. TOXIK

    JF members awards (no cash money) only recognition..!

    "Most sarcastic" msaga sumu
  16. TOXIK

    Baba yangu ni mkatili. Ananifukuza na sina pa kulalamika, nabaki na huzuni

    Tough love.baba anakujenga.ni muhimu uchukue changamoto hii kiume,usimchukie.inawezekana haoni jitihada zozote upande wako za kufika pale anapokuona unaweza fika kimaendeleo.tafakari.
  17. TOXIK

    Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

    Kuna umuhimu wa kuhusisha wanasaikojia mambo yakikuzidi kimo.Nasikitikaga sana nikiona kwa mfano,kijana anapoteza miezi 36 ya maisha yake katika simanzi juu ya ajali za kimapenzi. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom