Search results

  1. Mkuu rombo

    Vijana wawili wafariki dunia kambi ya 824 Kanembwa JKT

    temprallay closed for more investigation
  2. Mkuu rombo

    Walimu waanza kuripoti 824

    aiseee babayangu walimu wameshaanza kuingia kikosin hapa kanembwa kikos kipo wilaya ya kibondo mkoa wa kigoma kazi imeanza kwao
  3. Mkuu rombo

    Jwtz

    Heshima kwenu wana JF kwa wale vijana wote wanaopenda kujiunga na jeshi la wananchi tanzania alimaharufu kama JW nafasi zinatoka mwezi wa kwanza mwishoni ama mwezi wa pili mwanzoni...hapa hakuna haja ya kupitia jkt ni moja kwa moja JW so vijana kaendi mkao wa kula nawasilisha hoja
  4. Mkuu rombo

    university of dar es salaam 43 graduarion ceremony

    venue ni mlimani city aiseeee babayangu ali ya hewa ni wastani baridi kwa mbali na sasa ni prof mkandala anamkaribisha mgeni rasmi
  5. Mkuu rombo

    Mwanafunzi wa darasa la tatu auawa kikatili

    aiseeee babayangu nawasalimu wanajanvi heshima kwenu, Mwanafunzi wa darasa la tatu katika shule ya msingi Kizega wilayani Iramba Bi. Mariamu Alphonce mwenye umri wa miaka kumi ameuwawa kikatili kwa kukatwa shingo na kucharangwa kwa panga sehemu mbalimbali za mwili wake na kaka yake bwana...
  6. Mkuu rombo

    Udsm ajira nje nje

    aiseeeeeeeeeeeee babayangu mshindwe nyinyi sasa nadhani aionekani vizuri ,, TEMBELEA UDSM MATANGOZO...
  7. Mkuu rombo

    Ingekuaje ????

    aiseeeee babayangu ingekuaje huyu angepita kwenye mchuja wa kumpokea obama then wagonganishe macho na watoto wa obama unahisi nini kingetokea
  8. Mkuu rombo

    kijijini kwetu

    aiseeee babayangu hayo ndio mambo ya kumuona obama kijijini kwetu
  9. Mkuu rombo

    MWEKUNDU tutagombana kwa hili

    aiseeeeee babayangu MWEKUNDU huyu mtoto wa obama tutagombana mi nakweshimu sana,,, mimi na wewe ni marafiki wa muda mrefu sana.kwa hili urafiki wetu utakufa hapa hapo nishaongea na mtoto na yeye kanizimia mtoto wa kichaga hapa tulipo...
  10. Mkuu rombo

    Nimempenda binti yake obama

    aiseeee babayangu salamu nyingi ziwafikie wanaJF jana nimemwona binti yake obama live bila chenga aiseeeee si mchezo mtoto katulia chuchu saa 6 mchana nimetokea kumpenda sana,ngozi nyororooooo,macho gololi hips za wastani,nywele singasinga azijaguswa na masai.yerewiiiiiiiiiiii mwenye namba...
  11. Mkuu rombo

    Rais Jakaya Kikwete mbona unangangania IGP Mwema

    Sisi ni askari wajeshi la polisi nchini Tanzania, tunaomba Mh.Rais Jakaya Kikwete amuondoshe madarakani,mkuu wa jeshi letu Inspekta Jenarali IGP Saidi mwema katika uongozi wa jeshi la polisi. kusema kweli tunashindwa kumwelewa Mh.Rais Kikwete kwa uamuzi wake wa kumwongezea mkataba Afande...
  12. Mkuu rombo

    Kitu chenye ncha kali & kishindo

    labda nijitambulishe kwa mara ya pili mkuu rombo aiseeee babayangu sisi watu wa mkuu rombo tumekaa chini na kutafakari kwa kina sana kuhusu hiki kitu chenye ncha kali na kitu chenye kishindo kikubwa tunashindwa kukielewa hasa ni kitu cha aina gani hilo la kwanza pili waziri mkuu ametowa...
  13. Mkuu rombo

    Vijana wetu wanafanya nini vyio vikuu ???

    Aiseeee babayangu ni jambo la kuchekesha kama si kusikitisha, kijana wa nyumba ya jirani yetu hapa mkuu rombo amepata nafasi ya kufika chuo kimoja wapo kikuu ( jina nlifadhi kwa heshima) hapa tanzania. Alirudi kusherekea chrisimac na mwaka mpya hapa kijiji rombo katika harakati za kuongea nae...
  14. Mkuu rombo

    leo mtakuwa wapi wana jf

    aiseeeeeeee babayangu, wana JF heri ya chrismass nimetoka kanisani narudi nyumbani kujumwika na ndugu jamaa na familia kwa ujumla siku ya leo ni siku ya kepekee sana so leo sito kunjwa mbege hata kidogo embu tiririka leo utakuwa wapi, utafanya nini,hauto fanya nini, utaenda wapi etc wana...
  15. Mkuu rombo

    hali ya hewa hapo ulipo

    salamu sana wakuu siku ya leo huku mkuu rombo juwa limekuwa kali sana kuna vumbi la kufa mtu embu 2pe update za hali ya hewa hapo ulipo nawasilisha update za leo leo asubui hapa rombo baridi ilikuwa kali sana cha kushangaza ilipo fika saa 5 juwa limewaka na kuwa kali sana hapo ulipo...
  16. Mkuu rombo

    H.e.Thabo Mbeki ndani ya UDSM

    Aiseeeeeee babaangu nimefanikiwa kuudhulia special lecture ya rais Thambo Mbeki, nimepenya mpaka siti za mbele Nkuruma Hall kufatilia kongamano kwa makini nitawapa update zote wakuu nikitoka nawahi basi nirudi kwetu Mkuu Rombo.
  17. Mkuu rombo

    marefa kugomea mechi za chelsea

    habari wana jf habari nilizozipata hivi punde kunauwezekano marefa wakagomea mechi zote za chelsea ligi kuu ya england sasa hapasijui itakuwaje redio ya mkulima kutoka mkuu rombo source bbc salim kikeke na chals hilari
  18. Mkuu rombo

    Kova chonde chonde

    wakuu nimefatilia tarifa za habari za stesheni mbalimbali kuna habari moja imeonesha jinsi kamanda kova na jeshi la polisi lilivyo2mia akili za kiitelejensia na kufanikiwa kuwakamata wakenya 3 wakisafirisha pembe za tembo kwenye jeneza lililofunikwa kwa bendera ya taifa kuelekea tarekea...
Back
Top Bottom