Search results

  1. A

    Tetesi: Rais Samia, kama kuna upendeleo huu wa kielimu kwa Wasichana utaliangamiza Taifa

    Hapa kwangu mabweni manne makubwa na ya kisasa yote ya wasichana! Bweni moja tu la wavulana na wavulana wamewekwa 20 tu kati ya vyumba mia moja ambavyo vyote ni tupu! Mabweni ya wasichana yamejaa wasichana zaidi ya mia na hamsini, ukiuliza why wavulana wanaendelea kutokea day (nyumbani)...
  2. A

    Umeshawahi kusaidiwa nini na mganga ukaona kabisa mganga wako fundi?

    Dawa ya kupoozesha jino tu!! Hapo salute Nampa mengine yote [emoji2781]!!
  3. A

    Tazama kipande cha video kutoka ISS jinsi jua linavyozama

    Jiografia niliyoisoma na mifano mizuri yote niliyooneshwa kuthibitisha kuwa jua liko stationary na dunia ina move ilikataa kunasa kwa brain yangu hadi nazeeka. Nimeendelea kuamini ninachokiona ni sahihi kuliko nilichokaririshwa: Dunia Iko stationary na jua na all luminaries bodies in sky zina...
  4. A

    Mzazi hana uwezo wa kukulaani wala kukubariki

    Huyu jamaa ni sehemu ya laana tupu maana ni juzijuzi alipiga kelele sana na huo uzi wa baraka za Baba but leo anajinusa vidole mwenyewe kwa kujipinga tena Kwa miandishi mingiiii!!! Nadhani anakaririshwa sehemu huko kwa secret societies si bure [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  5. A

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Ilala Jiji Dar es salaam Mimi nije Mwanza Ilemela. Idara secondary, masomo History & Kiswahili Nicheki inbox Kwa mawasiliano zaidi
  6. A

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mzee baba nakuja FANYA tufanye! Njoo inbox [emoji392] tupange.
  7. A

    Hivi Mungu yupo au ni mipango ya watu kujipatia ajira na pesa?

    Yatafute majibu ndani ya nafsi yako tu mkuu utayapata Kwa wakati wako na utaridhika nayo.
  8. A

    Ya Scandinavia yanaweza kujirudia kwa Esther coach?

    Mkuu mshana hebu nifafanulie kiasi mzee mimi ni mteja sana wa Dar lux na nilipenda kutokana na customer service bora sana! Sasa mwezi huu nimeenda ofisi yao ubungo kukata tiketi na kulala hapohapo ili kesho yake nianzie hapo safari ya Mwanza, customer Care haijachange kivile ila sasa: Hawana bus...
  9. A

    #COVID19 Ummy Mwalimu: UVIKO-19 bado upo, ni muhimu kupata chanjo

    Si achanje tu yeye kwa niaba yetu wenye nchi jamani!!
  10. A

    Yanahitajika mageuzi ya haraka sana CHADEMA, chama kinapoteza ladha

    Acha na wenzako watapike povu zao Mzee, mbona wewe ukiandika mapovu yako mareefu si tunayasoma tu hivyohivyo!
  11. A

    Wasukuma Wanazaliana Sana, Inahitaji Affirmative Action juu ya Uzazi wa Mpango dhidi yao

    Huenda wewe huna kizazi Kwa hiyo ndani ya andiko lako kuna ka harufu ka wivu na roho chafu!
  12. A

    Wasukuma Wanazaliana Sana, Inahitaji Affirmative Action juu ya Uzazi wa Mpango dhidi yao

    Sasa ombi lako lipi hasa tukusaidie ni wasukuma wabanwe wasiendelee kuzaliana au wasukuma ni wachawi sana waogopwe?
  13. A

    Ni vitu Gani huvipendi katika Movie zilizotafsiriwa kwa Kiswahili?

    Yaani binafsi sipendi ile kutafsiri yenyewe! Napenda subtitles !
  14. A

    Siku ya Mwisho wa Dunia itakuwaje kwa watakaokua Mars?

    Mimi ni wa mwisho kabisa kuamini kuwa kuna kitu kinaitwa Mars! Ninachojua Dunia ni tambarare, anga (space) yote ni the roof of the world jua, nyota na mwezi vyote ni kwa ajili ya ku illuminate Dunia! Period
  15. A

    Mustakabali wa Watoto wetu uko shakani

    Daaaaahh [emoji24][emoji24][emoji24]
  16. A

    "The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa Duniani!, Unahukumiwa kwa Matendo Yako!

    Andiko refu balaaa!! Anyway ni kawaida yako kwahiyo huu ni kama msahafu mpya niachane na kweli ya Biblia? ( Mi ni mkristo) Maana Biblia inasisitiza Jina la Yesu lina nguvu nikiliamini, haijasema jina la Mandela, Nyerere, Mayala, au Mkapa!!
  17. A

    MEDUSA: Shetani mwenye kichwa cha nyoka. Je, ni kweli damu yake ilitumika kufufua wafu?

    Tafuta movies hizi A. ATTACK OF TITAN B. THE WRATH OF TITAN (attack of Titan 2)
Back
Top Bottom