Search results

  1. paul milya

    Ndivyo alivyoonekana Ng'ombe huyu mwenye uwezo wa kukamuliwa!

    Ng'ombe huyu ana uwezo wa kukamuliwa lita 30 kwa kutwa. Haya sasa wale wafugaji kazi ni kwenu. MSALABA IMEMPENZA SANA!
  2. paul milya

    Basi la kampuni ya Hood toka Arusha-Mbeya lapata ajali mbaya hapo Wilaya ya Mwanga

    Habari zilizonifikia kwa simu ni kwamba bus la kampuni tajwa limepata ajali mbaya baada ya kupasuka tairi ya mbele na limeua. Hz ajali kwa kweli zinatisha. === Picha====
  3. paul milya

    Loh! Majanga ni mengi huku tunakoelekea kuufunga mwaka 2013 tazama picha hiyo kwa umakini.

    Ndivyo nilivyomkuta huyo Ndugu leo asubuhi na mapema mtaa wa Sakina huku Arusha mjini post na Sakina Bar kwa juu kidogo tu akidaiwa kuangushwa angani na Wanamaombi wanaokesha kumlilia Mwenyenzi MUNGU usiku katika Kanisa moja mtaa huo.
  4. paul milya

    Mfalme wa nyika huyooooo!

    Mfalme wa nyika huyo jamani.
  5. paul milya

    Mbona kama ninamwona huyu member humu jamvini?? Hebu azunguke huku na atujuze haya...

    Siyo mwingine ni Malaria Sugu nimemwona humu na kitambo sana sijamwonaga kabisa! Huko ulipokuwepo umewaachaje? Malaria Sugu hebu pitia hapa utujuze ulipokuwepo! Copy; chama zomba Rejao Ritz pamoja na lile group lako! Kwi kwi kwi kwi kwi kwiiii Malaria Sugu bana!
  6. paul milya

    EDWARD NGOYAI LOWASSA atatoa maamuzi mazito kati ya tar 18/02/2013

    Habari ya jioni wadau wenzangu! Nimekuwa sionekani jukwaani kutokana mihangaiko ya hapa na pale! Hakika bandiko hilo hapo juu ni habari niliyopata toka kwa raia wa karibu kabisa na raia wa karibu kabisa na Waziri Mkuu mstaafu Edward Ngoyai Lowassa ya kwamba Mh huyu atafanya (atatoa) maamuzi...
  7. paul milya

    Wimbo wa Taifa!!!!

    Waganga wa kienyeji kweli ni wezi,Hanisi mmoja alikwenda kuomba dawa ili Mboo isimame,mganga akamwandikia WIMBO WA TAIFA akampatia. Jamaa akaulizia! Sasa hii ndiyo dawa? Mganga akamjibu,Wewe K **M* nini? WIMBO WA TAIFA UNAMSIMAMISHA HADI RAIS WA NCHI ITAKUWA HICHO KIMBOO HACHO:
  8. paul milya

    Edward Ngoyai Lowassa,Karibu ndani ya upinzani kwa moyo mkunjufu! Welcome sir!

    Kwa mtazamo wangu wa kuona na kusikiliza! Nimeona kabisa ya kwamba chama cha mapinduzi imemtema huyu member wao muhimu sana ndani ya chama cha chao cha mafisadi! Namkaribisha huyu Ndg EL ndani ya vyama vya upinzani na atimize ahadi hii ya chama kubwa ya upinzani VUA GAMBA VAA GWANDA na bila...
  9. paul milya

    Naombeni kujua zoezi hili la SENSA!

    Wajameni tangu zoezi la kuhesabu watu kumalizika Mi binafsi sijawahi kusikia idadi yetu tuko wangapi! Mwenye kujua hebu atuanikie hapa jamani! JF BOMBA!
  10. paul milya

    Hodi WanaJF wa Chit - Chat! Nawakubali haswaaaaa!!

    Wanajukwaa legwa nawakubali Wandugu ktk harakati ya hapa na pale hp jukwaani! Mi ni mgeni lakini ninafuraha kuwa nanyi pale mtakapo nikubali kwani nimekuwa naperuz kitambo na mpaka sasa nimeamua kukita ndani fluuuu! Tu pamoja Wakuu wote! Full Time!
  11. paul milya

    Hodi hodi hodi hodi jamani!!

    Nimekuwa mpitiaji kitambo!! Na sasa nimekuja rasmi! Naomba ushirikiano wenu wadau wenzangu! Thankx!!
Back
Top Bottom