Search results

  1. steyn

    Mwakilishi pekee kutoka Afrika aliyekataa kupanda basi ni Rais Sahile Work Zewde wa Ethiopia

    Sijui Ule mmbasi uliwekwa bendera ya nchi gani?
  2. steyn

    'Vestiges' kwenye miili ya wanyama, ushahidi tosha kwamba hatukuumbwa, bali tuli-'evolve' kuwa tulivyo

    Kwa Hii Michanjo uwezekano wa Kuwa Mahoka ni Mkubwa Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
  3. steyn

    Serikali yaeleza kusikitishwa na uamuzi wa Denmark kufunga ubalozi wake

    Sijaona sababu ya Mahusiano mabaya kwenye BARUA yao, au tumejibweteka kwamba ni lazima kusaidiwa hata kama hatuna sababu ya Kusaidiwa? Au tuutangazie ulimwengu Tina Mgogoro wa hali ya Usalma ndani Ili waendelee kutupa misaada? Sababu ya Kusikitika na Kuwa na haofu ni nini ilhali wamesema...
  4. steyn

    Mwananchi: Hamza alikuwa na msongo wa mawazo kwa kupoteza milioni 400

    Anayekunya ndio mwenye Mchakato wa Kujichamba, Sasa ni Juu yake abaki na Samadi Akiisigina au aisafishe, Out of [emoji320]
  5. steyn

    Hayati Magufuli alikuwa na uelewa mdogo wa masuala ya dini, asilaumiwe

    Ni Kati ya waliopandikizwa ili kuua Legacy ya Magufuli na wanaotaka Hela za Mikopo ya huo ugonjwa wa Propaganda za Kiuchumi.Pumbavu Sana hawa wachumia tumbo
  6. steyn

    Maafisa uhamiaji Walivyomtesa mtuhumiwa, Je, Sheria inawaruhusu?

    Punguza upumbavu wa kujifanya una huruma,Huwezi kuidharau mamlaka zetu kwa upuuzi kama huu.Mijitu kama wewe mnatakiwa kupata elimu kwa zawadi hiyo hiyo unayoikosoa,Idiot
  7. steyn

    Kanali Lubinga: Membe anaweza kushtakiwa kwa kumshambulia Amiri Jeshi Mkuu. Akumbuke kuna Court Martial, aheshimu kiapo

    Lubinga kama lubinga 😂😂😂 Kila Mmoja ni Mtoto Kwa mama yake
  8. steyn

    Unyama : Waandishi wa Habari wanusurika kuuawa na polisi kwenye sakata la kumkamata Mbowe , Wapelekwa Hospitali ya wilaya

    Acha kufikiri kama hayawanj,kama angekuwa na nguvu unazoona wewe ndio astahili kuuawa.Nyie ndio mnafanya Chama kionekane cha hovyo.Kama huwezi jifikirisha kaimisha kichwa hata Kwa mkeo B-50
  9. steyn

    Mkutano wa Kimataifa wa Madini: Waziri mwenyeji Biteko anaongea Kiswahili bila mkalimani!

    Jibane wakati unaharisha,Utakera Majirani zako B-50
  10. steyn

    Ile route ya kupeleka nyama Dubai iliishia wapi?

    Rekebisha Mwandiko mkuu
  11. steyn

    Rais Magufuli amnyooshea kidole Mwele Malecela asema alitumiwa na mabeberu kutangaza ugonjwa 'hewa' wa Zika

    Wewe nadhani una shida ya Afya ya utambuzi? Kutangaziwa Jambo ambalo halikuonekana bado unajiuliza nani alifanya Kosa?uache Ukuku.
  12. steyn

    Rais Magufuli ‘aingia’ jimboni kwa Lissu

    Alipokuwa Mbunge wa Upinzani Hilo tatizo la Maji lilikuwa honekani sio,Ila sasa ndio inaonekana. Wabunge wa Upinzani Wana Vyanzo vyao tofauti vya Mapato kutatua changamoto za wananchi katika Majimbo Yao?
  13. steyn

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Unai mhuni Sana, Juzi na Watford amefanya unnecessary Sub,tukawekwa. Hana game plan huyu bwana,na Mlm akikwama hili uwezo Wako ni Mdogo Sana zaidi abebwe na Wachezaji wenyewe
  14. steyn

    Msaada tafadhali: Jiwe hili lina madini yoyote au ni jiwe la kawaida tu?

    Chupa hiyo,na huyo Mwenye kudai kaokota ni Janja Janja Tu
  15. steyn

    Simu imetowesha amani katika familia yangu. Naitegemea 90% katika kazi zangu za kila siku

    Mwanamke kuchepuka ni kuua ndoa na mwanaume kuchepuka ni kulinda ndoa yake. Endelea kuilinda Nyumba Mzee Suala la Wivu Kwa wanawake ni Kawaida Sana,
  16. steyn

    Msaada LAPF kuhusu fao la kujifungua

    LAPF ,GEPF,PSPF NK.Imeunganishwa na Kuitwa PSSSF. Kuna mabadiliko Makubwa ya Sheria Kwa waatumishi wa Kudumu,WA Muda Maalim na Watumishi wa Muda.
  17. steyn

    Nimechoka sana na maisha

    Mbinguni hawaingii watu wanaopitia Njia hiyo,Kwa hiyo hupati pumziko Hilo unalotumainia. Maisha ni ulipo,Sasa upo katika hilo Kesho utakuwa mahali pengine. *Hata Inzi akiaacha Upuuzi angekuwa anatengeneza Asali,Badilika haraka sana*
Back
Top Bottom