Search results

  1. A

    Mfanyakazi wangu wa ndani wa kike kakutwa na maambukizi ya UKIMWI

    Hapana umekosea kiasi, ukweli ni kua ukikutwa HIV + na kipimo cha kwanza hua mpimaji anatakiwa kuthibitisha kwa test nyingine ambayo ni sensitive na accurate zaidi na si baada ya miezi mitatu, nimesahau majina ya vipimo hivyo ila confirmation hufanyika kwa kipimo kiitwacho ELIZA, kwa kawaida...
  2. A

    Swali kuhusu Bomu la atomic Hiroshima

    Kwahiyo sasa una 87 na bado unapost mambo humu hongera, unatumia miwani au bado macho yako safi?
  3. A

    ITV na Startimes wanatofauti gani? mbona inaonesha kama wanachukiana?

    nimeelewa, lakini hilonalo litakua na sababu zake. Labda alivyoeleza bujibuji, lakini mwenyekiti nae si kada?
  4. A

    ITV na Startimes wanatofauti gani? mbona inaonesha kama wanachukiana?

    Nimekua mfatiliaji wa vipindi vingi vya itv hasa kipindi cha taarifa ya habari cha saa 2 na saa 5 usiku kwa kutumia king'amuzi cha startimes. Miezi michache iliyopita kulikua na kutoonekana vizuri kwa vituo vya IPP ( ITV na EATV) kwenye king'amuzi cha Startimes, watu waliongea sana na thread...
  5. A

    Mrisho Ngassa: Nimeshindwa kuperformance!

    we nawe unamaanisha nini? Au master=mastar(kiswangish)
  6. A

    Wachaga mnijuze, sijawahi kusikia uchawi kutoka kwenu

    Aah wap walimsumbua sana kaka yangu huko rombo ila wamemshindwa.
  7. A

    Je, Jumatatu ni Siku ya Mapumziko?

    Sio Idd el fitr ni idd el hajj.
  8. A

    Friend of Simba pekee hamtaifikisha timu popote

    Hii timu zama zake zimeshakwisha mbona!
  9. A

    hongera Jaja wa yangu kwa kupigwa na mtibwa 2 kwa 0

    Rekebisha title, yangu ndio nin? Au ndo kuwahisha u.b.a?
  10. A

    Msaada: Wapi nitapata magazeti ya tarehe zilizopita (wiki ya kwanza ya mwezi huu)

    nipo dar ndugu nitajitahidi kufika hapo, nashukuru sana.
  11. A

    Msaada: Wapi nitapata magazeti ya tarehe zilizopita (wiki ya kwanza ya mwezi huu)

    Habari wana jamii. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ninashida na magazeti ya wiki ya kwanza ya mwezi huu. Magazeti yenye ni guardian ama nipashe mimi niko dar. Asanteni.
  12. A

    Hivi Mbagala ni Dar es Salaam?

    kama zako.
  13. A

    Wakwere, Wadengereko na Wazaramo watanipasua kichwa

    Wewe umesoma? Mbona hatakuandika huwezi? Nimesoma coments zako nyingi unambwerambwera tu.
  14. A

    Tahadhari kwa walaji wa Pweza

    yaleyale ya kumiliki magari, degree, nyumba, na kutembea nchi nyingi, hii ndio jf akili kumkichwa unaweza ukajiona hujafanya ktu ukiwafatilia.
  15. A

    Maulidi Kitenge aacha kazi ITV/Radio one

    umeandika kiswahili ama kihaya?
Back
Top Bottom