Kama wewe mwanaume rijari utaridhika familia yako ilishwe na wanaume wenzio?
Sasa hiyo ndio serikali yetu haioni aibu wala soni nchi yenye ardhi yenye rutuba kulishwa mahindi ya ngombe toka marekani!! Huku Samia kazi kutalii na Dreamliner na wabunge nao wanataka wanunuliwe ndege yao!! Nchi...
Hii inaonyesha dhahiri weledi mdogo wa watu wanaoongoza nchi hii!
Nchi hii ina wasomi wengi wa kutukuka lakini cha kushangaza ccm inaona ni bora nchi iongozwe na hawa vilaza ili waendeleze wizi wao!
Na wewe ukaamini bila kuchuja! Kwa akili ya kawaida tu kuna transactions ngapi zinafanyika kwa siku moja na kama alivyokuambia katika kila transaction anachukua shilingi 3 zinaingia kwenye line yake!! Huoni kuwa hizo ni hela nyingi sana kiasi kwamba lazima atakamatwa? Kwanza atazitoaje hizo...
Lazima BOT iwe urembo kwani wanachaguana kupeana kazi kwa kujuana na sio kwa weledi!
Hiyo nafasi ya Gavana inapwaya kwani Mpango alishinikiza apewe mtu wa kwao na kuwaacha wachumi wabobezi wenye uzoefu kama Dr. Enos Bukuku!!
At what human and material costs?Ukilinganisha bajet iliyokadiriwa kumaliza mradi na gharama zilizotumika ndio utajua kiasi gani wananchi wamepigwa kwenye huu mradi!’ Na kamwe serikali haitatoa hadharani actual costs za huu mradi!🥲🥲
Huyu Nyanganyi yuko wapi? Namkumbuka kutokana na kashfa ya kivuko cha UNIFLOAT pale ferry! Jamaa alishirikiana na marehemu colonel. Kashmir wakapiga hela kwa kununua ferry MTUMBA!’
Nyanganyi akaja fanya scandal nyingine akiwa Chairman wa ATCL akakodisha ndege hewa ya Kubeba mahujaji akiwemo...
Huyu Muliro sijui kwanini hajastaafishwa? Hafai kabisa kuwa RPC kwani ameshindwa kabisa kuwasimamia ma OCD walio chini yake! Rushwa imekithiri. Kwa polisi kanda maalum na uharifu unawatesa wananchi na yeye yupo yupo tu!! Mrudisheni Mambosasa yeye aliweza Dar.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.