Search results

  1. M

    Uongozi mpya UVCCM: Mwenyekiti ni JUMA SADIFA; Makamu Mwenyekiti ni MBONI MHITA

    Walete, walete, walet hao. Watalimudu vumbi la BAVICHA hao?
  2. M

    CDM yamhenyesha Pinda uingereza

    Na wewe tena umekurupuka! Waziri Mkuu yuko Uk kwa shughuli za kisiasa na amefanya mkutano wa kisiasa na ndio maana amepata audience ya kuueleza aliyoyaeleza.
  3. M

    CDM yamhenyesha Pinda uingereza

    Usirudia tena kukurupuka shemeji!
  4. M

    Munishi: Chadema haiko tayari kuiacha nchi iendelee kuwa chini ya panya by 2015

    Mwenye uwezo wa kujibu hili ni Mbowe mwenyewe ama mama yake huyo Munishi. Mhh, wamefanana kweli kweli hata mie naona.
  5. M

    Mahojiano ya polisi na Sheikh Ponda Issa Ponda

    Matunda ya kuhubiri siasa za udini ndio haya! Mengi mabaya yanakuja
  6. M

    BBC News - Malawi 'refers lake border dispute with Tanzania to AU'

    Ninavyojua, huyu mama ameamua kulishikia hili suala kidedea kwa sababu ndio turufu yake ya kurudi madarakani baada ya huu muda wa mpito kuisha. Anataka kuwaonyesha watu wa malawi kuwa yeye ni jike la ukweli linaloweza kupambana na midume iliyolegealega.
  7. M

    CDM yamhenyesha Pinda uingereza

    Yaani wewe ndo muongo wa kupindukia. Waziri mkuu yuko Londoni na kwa taarifa yako jana kwa macho yangu nimemuona akihojiwa na Salim Kikeke wa BBC kuhusu swala la mpaka wa Tanzania na Malawi. Punguza kukurupuka ndugu. Wewe sasa ndo unapaswa kuwa mkweli.
  8. M

    Mungu wangu, kanisa jingine lachomwa moto huko Yombo

    Tobaeee! je hili ni lingine na lile la Yombo ambalo kuna thread inyoripoti hapa?
Back
Top Bottom