Search results

  1. M

    Ukiondoa sababu ya kutoelewana na Reginald Mengi, sijaona sababu ya Prof. Muhongo kung'oka

    "Rushwa rushwa rushwa. Mbowe ananuka rushwa. Zitto ananuka rushwa. Kafulila ananuka rushwa. Mbatia ananuka rushwa. Mnyika ananuka rushwa. Ole sendeka ananuka rushwa. Serukamba ananuka rushwa nk.[/SIZE] This is a political comment shame on you LIZABONI, this was not a war btn opposition and...
  2. M

    Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar

    UISLAMU na UGAIDI nisawa na KOPE na MACHO hauwezi kuvitenganisha hata mjitetee vp. Ni mara ngapi MASHEIKH wenu wana wahamasisha kuua wakristo kwa madai kuwa eti wanawanyonya. Acheni upuuzi nendeni shule. Haujaona au kusikia mafundisho ya SHEIKH wenu ILUNGA, FARIDI na PONDA kuhusu chuki na...
  3. M

    Waziri Muhongo azomewa!

    Profesa CHURA, looks well schooled like Professa LIPUMBA.
  4. M

    Updates: Yanayojiri Mtwara - hali bado tete (Mei 23/24, 2013)

    tatizo halipo kwenye kuhodhi GESI YA MTWARA, tatizo lipo kwenye ufuaji wa gesi hiyo hadi kuwa nishati UMEME. WANA MTWARA wanagoma gesi hiyo isiende kufuliwa DSM bali ifuliwe MTWARA kisha itawanywe mikoa mingine kama umeme, serikali ya CCM inapotosha na kudai kuwa wana MTWARA hawataki gesi yao...
  5. M

    Ukimya wa Mbowe na Slaa juu ya sakata la Mtwara nini tasfiri yake??

    unajua idadi ya vyama vya upinzani tanzania? unajua na majina ya viongozi wake? tumia busara kwenye kupost uasiwe unakurpuka kama gesi inayotoka mtungini.
  6. M

    Gesi ya Mtwara:Ilani ya CCM na Mgombea wao waliahidi nini?

    you are wrong, i am not extrimist, am an activist, your bavicha vs uvccm perspectives has smoged youe brain and thinking therefore u can sense any truth under bvc vs uvccm.
  7. M

    Gesi ya Mtwara:Ilani ya CCM na Mgombea wao waliahidi nini?

    jina lako M23 linahakisi fikra, akili, na mtizamo wako pamoja na xchama unacgokishabikia. mungu awapumzishe maala pema maana msiba wenu umewadia. tatizo halitaruliwi kwa uhongo na usiri balj kwa kulikiri kuwa ni tatizlo na kuli fanyia kazi.
  8. M

    Mlipuko Arusha: Watu 8 wakamatwa, wamo raia wanne wa Saudi Arabia

    Haiwezekani mkristu alipue kanisa msitudanganye kabisa semeni tu ni ustaadhi gani ili tujue tuanzie wapi. Kafir majinuun hao.
  9. M

    Dr. Slaa anasa mikakati na njama za kukihusisha CHADEMA na kutekwa Kibanda

    Best hauwezi kumtelekeza mfanyakazi wako kwa matatizo aliylyapatia. Kazini. Lwakatare bado yu chadema, kapata tuhjma akkwa kazini hivyo chama kitamlinda na kuwa naye mpaka mwisho wa dahari. Kumbuka, yeye ni mtuhuwa, bado hakana tamko la kutbibitizha ka ma ni mhalifu.
  10. M

    Tunduma: Vurugu za kidini zaibuka upya

    habari zilizojiri punde zinasema wakazi wa tunduma mbeya wapo kwenye mapambano ya kidini baina ya WAKRISTO na WAISLAMU kwa sababu za "nani achinje na nani asichinje". Mabomu ya machozi toka kwa polisi, mawe na marungu kwa raia, hiyo ndiyo hali halisi. Tunaomba picha za mnato na za kucheza ili...
  11. M

    Kikwete: Ipo misikiti mitatu jijini Dar-es-Salaam ilinisomea itikafu ili nife!

    you are very coreect, jamaa ni mzushi tu hakuna fact yoyote aliyoitoa kimuondolea kasha ya udini. Wote tunaijua mikanda ya kutangaza mauaki ya kidini na imekiwa ikiuzwa tena hadbarani na hatukawahi lusikia aliteandaa mikanda hiyo, SHEIKH ILUNGA alikamatwa lwanini tusiamini kuwa huyu jamaa ni...
  12. M

    Ridhiwani Kikwete akanusha tuhuma juu yake na kusema ni uhalifu wa mtandao!

    Kaka nadhani umesahau kuwa hii ninchi ya kitu kidogo, nchiya watu wadogo.wenye nguvu wachache ndiyo wanaamua mamboyawe watakavyo.
  13. M

    Wanawake wengi wasomi au wenye kipato kizuri hawadumu kwenye mahusiano!

    marafiki wenye mtazamo huo pia humfanya mwanaume kuingia kwenye ndoa akiwa amejiandaa kwa ubabe! utakuta mwanaume anashauriwa na watu kuwa huyo mwanamke aliyesoma usipokuwa makini atakukalia kichwani. basi akimuoa anakuwa amejiandaa kuwa mkali hata mke akitoa wazo zuri, akifanya kitu kizuri mume...
  14. M

    Ukimya wa upinzani katika Matukio yanayotokea nchini, kulikoni?

    Ndg, CCM haitakiwi kutoa tamko anayetakiwa kutoa tamko ni kiongozi mkuu wa CCM kumbuka kuwa hiki ni chama tawala tulitarajia rais, ambaye ni mwenyekiti wa chama cha CCM. chaajabu kaenda MBAGALA Saa 12 jioni asubuhi kapanda ndege kaenda nchi ya kiarabu(kiislamu) OMAN kutafuta fursa za...
Back
Top Bottom