Search results

  1. NGANU

    Vitabu vya English o level.

    Ngugu naombeni aliye na vitabu vya kiingereza soft copy vya o level anisaidie please. Kikiwemo the black hermit. Natanguliza shukrani.
  2. NGANU

    Swali kwa Walimu wote nchini

    Ikiwa tsh milioni 10 ni hela ya MBOGA kwa TIBAIJUKA. Je, mshahara wa mwalimu kwa mwezi, Tibaijuka angeweza kununua nini? Tiririka mwalimu ili uone kama upo sehemu sahihi.
  3. NGANU

    CCM yalazimisha kupita bila kupingwa Wilayani Meatu

    Katika hali isiyotarajiwa katibu wa kata wa CCM amepeleka pingamizi kwa msimamizi wa uchaguzi ngazi ya kata ili wagombea wote wa CHADEMA waondolewe kwa kuwa hatambui chama kinaichoitwa CDM kilichowadhamini wagombea wake. Hii imetokea katika kata ya NKOMA.
  4. NGANU

    Mpiga kura unavyo vitu hivi

    Siku ya uchaguzi serikali za mitaa unatakiwa kuwa na kitambulisho kimoja kati ya hivi; ->kitambulisho cha mpiga cha uchaguzi mkuu, ->kitambulisho cha kazi, ->hati ya kusafiria, kadi ya benki, kadi ya bima ya afya kitambulisho cha shule, au leseni.
  5. NGANU

    Wenzangu na mimi kesho ndo siku ya mwisho kulipa ada ya mtihani kidato cha nne.

    Kesho ndo siku ya mwisho kulipia ada ya mitihani ya kidato cha iv hivyo kama hujalipa ilipe hiyo kesho ili kuepuka faini
  6. NGANU

    Je!, adhabu aliyopewa refa Martin Sanya INAMTOSHA?

    Wadau yule refa aliyechezesha mechi ya YANGA na COASTAL amefungiwa kuchezesha kwa muda wa mwaka 1, adhabu hii inatosha?
  7. NGANU

    BINTI WA MIAKA 12 KUOLEWA ni haki kweli.

    Vipi binti mwenye miaka 12 anaruhusiwa kuolewa? Sheria inasemaje kuhusu hili. naomba mawazo yenu ili kumsaidia bint huyu
  8. NGANU

    RAIS WA uefa na washauri wake WALITUMIA VIGEZO GANI KUPATA TIMU BORA YA MWAKA 2012.

    Najiuliza RAIS na WASHAURI wake walitumia vigezo vipi kuipata timu bora ya UEFA ya mwaka 2012.mnaojua vigezo nijuzeni.
  9. NGANU

    (Ajira mpya) Kachukua hela ya kujikimu na kuacha kazi.

    Mwalimu kaacha kazi eti mazingira magumu kwa kuwa kwao ni mtoto wa mwisho,na huku hela ya kujikimu kachukua.Hiyo ikoje
  10. NGANU

    Naomba kuingia ndani.

    Kama kuna nafasi humo ndani naomba mnipoke.
Back
Top Bottom