Search results

  1. B

    Majibu ya Dr. Masau wa THI kwa maswali mbalimbali

    GT, aminia mjomba, ni yeye huyo mwenyewe ndiyo MoD aliyewafungia siyo tu hao bali mimi pia: tena mara mbili nikiwa kama Nyama Hatari na BabaAsofuPasko na mara zote kwa kutoa hoja za kumkosoa mhusika! Na nadhani baada ya hii posting usiashangae nikafungiwa mara ya tatu! Mnafiki mkubwa tena hovyoo!
  2. B

    Majibu ya Dr. Masau wa THI kwa maswali mbalimbali

    Sawa, binafsi nimeshafikia uamuzi kwamba tuhuma zote nzito alokuja nazo Kuhani dhidi ya Dr. Masau si sahihi tokea pale Kyomo alivyotoa hoja pamoja na ushahidi mzito kuonyesha kwamba Dr. Masau kweli alisomea na kuhitimu vilivyo fani ya Upasua Moyo Texas Heart Institute; achilia mbali kauli...
  3. B

    Majibu ya Dr. Masau wa THI kwa maswali mbalimbali

    Inatosha baba! Naona jinsi ulivyomkalia kooni Mzee Kuhani inaonyesha wazi una personal vendetta dhidi yake. Kumbuka kwamba Mzee Kuhani ni binadamu pia na anaweza kukosea kama ulivyo wewe! Utakumbuka jinsi ulivyopotosha wana JF mara kadhaa humu ndani lakini watu hatukuchuulia kama "big deal" au...
  4. B

    US Election Coverage 2008

    Susuviri, I have no doubt at all that you know more about these kinds of issues than I'd ever bother to pursue or follow up myself on the internet and media. I respect your opinion, and wouldn't agree more with you that we all ought to engage in decent objective debating and avoid use of name...
  5. B

    US Election Coverage 2008

    Who are you trying to fool now, Monkey Supporter? You just claimed above that "Mr. Braun" did what he did because Obama happens to be Black. This is what you wrote earlier: Now what exactly made you arrive to that kind of conclusion when in the article we are told that: "I can't stand Obama,"...
  6. B

    US Election Coverage 2008

    Lets face it Monkey Supporter: the fact of the matter is Obama the Black beat Caucasian Clinton in the actual vote tally to win the Democratic Presidential Nomination. Thats it and thats that. Nobody gives a hoot if fringe clowns like "Mr Braun" call Obama a slave and despise him for simply...
  7. B

    US Election Coverage 2008

    Thats what Obama would call "intellectual laziness". But at any rate you were at least smart enough to figure out that whatever it is that "a lot of people" might have against Obama, its all to be found inside the head of one bigoted "Mister Braun" (and his equally narrow minded ilk). Having...
  8. B

    Gene variations make Africans more susceptible to HIV

    Aaahh! Finally I get to spy Monkey Supporter doing what Monkey Supporter enjoys doing best, namely arguing and peddling the latest pseudo-scientific racist mumbo jumbo, thinly-veiled as legit top-notch research "findings" about the inherent nature of so-called human racial differences...
  9. B

    US Election Coverage 2008

    Hey Monkey Supporter, who's the true son of a slave between you and Obama? Because the last time I checked (and its safe to claim), hardly anyone in Obama's immediate African family ever did leave Kenyan soil on board a slave ship bound for the Americas. On the other hand (and funny enough)...
  10. B

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    If anything, the lack of slightest relevance of what you've now posted above in relation to your original claims about Chenge is proof positive that reason and rationality aren't among your strongest mental attributes. Kwa kifupi sioni ni namna gani hayo yote uliyoanika hapo juu yanahusiana...
  11. B

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Simply superb Kuhani Mkuu! :D Its been long coming to finally hear a genuine voice of reason and rationality instead of the usual gossip, half truths and cheap sensationalizations peddled by individuals basking in their own self glory.
  12. B

    CHADEMA yaiiga ODM kuhusu Sera ya Majimbo

    Unajua wachangiaji wenye fujo kama wewe lazima wawepo kila wakati. Kila topic unataka u-dominate wewe hadi umefikia kujijibu mwenyewe? Duuh! Unaboa bana kila tukifungua mada tunakuta umetujazia hilo lipicha lako la Obama.
  13. B

    CHADEMA yaiiga ODM kuhusu Sera ya Majimbo

    Wewe jmushi1, why are you so aggressive and uptight in your communication style? Rambling on and on and answering your own posts like a mad possessed man!! Watu wanakuogopa bwana. Chill negro! Be cool!! Huu siyo mtihani au mashindano ya nani anajua zaidi. Damn!
  14. B

    CHADEMA yaiiga ODM kuhusu Sera ya Majimbo

    Kwa kifupi ninachojaribu ku-argue hapa ni kwamba sera ya majimbo ielekezwe kwenye kufua (kwa maana ya ku-harness) nguvu mwanana ya ukabila kwa manufaa ya maendeleo ya Wananchi waishio kwenye majimbo hayo. Na ukabila, kama tunavyofahamu ni natural instinct na jadi ya binadamu wote popote duniani...
  15. B

    CHADEMA yaiiga ODM kuhusu Sera ya Majimbo

    Unajua siyo kosa lako jmushi1, kwani inaonekana kama mtu haja-drop buzz-words kama CCM, fisadi, Zitto, CHADEMA na kadhalika kwenye postings zake basi kwako binafsi mtu huyo hajazungumza lolote la maana.
  16. B

    CHADEMA yaiiga ODM kuhusu Sera ya Majimbo

    Vyema kabisa. Lakini kuna tofauti muhimu na ya wazi kati ya undugu wa damu na ule wa ndoa/ukoo/ukabila/dini/rangi/utaifa na kadhalika, au siyo?
  17. B

    CHADEMA yaiiga ODM kuhusu Sera ya Majimbo

    Mzee wa "Space 1900" Mkandara, labda ni rephrase swali langu la hapo juu kwa kukuuliza ifuatavyo: jee kuna madhumuni gani haswa yanayofanya binadamu duniani kote kuthamini na kutilia maanani dhana za familia, ukoo, ukabila na hatimaye utaifa (in descending significance) katika mahusiano yote...
  18. B

    CHADEMA yaiiga ODM kuhusu Sera ya Majimbo

    Jee, ni tafsiri gani hizo "kubwa" za "Undugu" unazodai kuwepo? Tafadhali naomba utufafanulie zaidi tena kwa mifano madhubuti.
  19. B

    CHADEMA yaiiga ODM kuhusu Sera ya Majimbo

    Huo "undugu" unaozungumzia nadhani ni purely relative concept inayotokana na haswa propaganda za TANU ikafuatiwa na CCM (ambapo, kama ukikumbuka enzi hizo, ilikuwa kawaida na policy kwenye matangazo ya vifo kwenye RTD kusema "Ndugu fulani" anasikitika au "tunasikitika" kutangaza kifo cha...
  20. B

    CHADEMA yaiiga ODM kuhusu Sera ya Majimbo

    Hapa najaribu kukuonyesha jinsi nguvu ya "undugu" (and by extension "ukabila" au "ethnicity "- albeit through closely related concepts of extended family and clanship) ilivyo na uhalisi na uhalali usiopingika katika mahusiano yote ya binadamu.
Back
Top Bottom