Search results

  1. K

    Upotoshaji wa Muungano ni Zanzibar na Tanganyika na wala siyo Tanzania Bara na Zanzibar

    Utawasikia hata waheshimiwa, viongozi wa Taasisi za Serikali na Mashirika wakisema "Tunasherehekea miaka 59 ya Muungano wetu wa Tanzania Bara na Zanzibar Kilicho wazi ni kwamba Upande wa Bara hawapendi kutaja jina TANGANYIKA, ni kama vile kwa makusudi au wanaona kama ni aibu fulani hivi. Kwa...
  2. K

    Sikilizeni, hakuna Simba bila Yanga na kinyume chake. Mngejua?

    Mwanzoni mwa kuinukia kujua mpira na kufuatilia ilikuwa naumia sana pale timu ninayoipenda kufungwa au kuwa na habari mbaya kama migogoro na mifarakano. Nimefuatilia kwa muda mrefu mpaka nilipokuja kungundua Kuwa Timu za SIMBA na YANGA ni habari nyengine hapa Tanzania. Kwa kweli nilipata tabu...
  3. K

    Kwanini ACT Wazalendo wasimpinge Rais Mwinyi Zanzibar? Lazima kuna Tatizo

    Mada inajieleza. ACT ni mdau ndani ya Serikali ya Zanzibar. Makamu wa kwanza wa Rais ndie mshauri Mkuu wa Rais ingawa Rais hapangiwi la kufanya sawa. Tatizo linakuja kwenye Dhamira ya kweli ya kile anachohubiri Rais Mwinyi. Haiwezekani katika hali ya mashaka ya kile kilichotokea uchaguzi wa...
  4. K

    Wachezaji wa Simba walikosa umakini, hawajitumi ipasavyo

    Moja kwa moja kwa wachezaji wa Simba na bila kupepesa. Mgunda amejitahidi kuwabadilisha wachezaji watembee, mpira utembee na kuchangamka lakini bado wachezaji wanajisahau. Jana ilikuwa Yanga wanalala mapema. Hebu tazama dakika za mwanzo kasi ya Simba ilikuwa kubwa na kuwalazimisha Yanga kuacha...
  5. K

    Serikali mbili kuelekea moja v/s Serikali mbili kuelekea tatu: Nguvu za kimaslahi v/s nguvu za Kizalendo

    Mwanzoni mwa miaka ya 80 na Mwishoni mwa miaka ya 90, ulikuwa ukihoji chochote kuhusu muungano uliandamwa sana na kuitwa muhaini. Tunakumbuka sakata la Aliyekuwa Rais wa Zanzibar wakati huo Mzee Jumbe la kulazimishwa kujiuzulu na sakata maarufu la kuchafuka hali ya hewa ya siasa Zanzibar...
  6. K

    Mvutano benchi la ufundi Simba: Je, wachambuzi wako sahihi?

    Mara baada ya kumaliza mchezo kati ya Simba v/s Mbeya City, wachambuzi wa Azam Media walubainisha hii nukta, pamoja na mambo mengine ya kitaalamu lakini hili walilibainisha. Kwamba benchi la SSC kuna shida, hasa yanapofanyika mabadiliko ya mchezaji ni kama kuna kutoelewana. Mifano ya kwenye...
  7. K

    Rais Samia umeanza Vyema, Malizia ng'we iliyobaki, tunakupongeza

    Binafsi nakupongeza sana kwa namna ulivyoanza na namna unavyoendelea kuipigania nchi yetu kusonga mbele. Kwa uchache wa maneno umejitahidi katika maeneo haya muhimu. Umejitahidi kuifungua nchi yetu kidiplomasia na kujaribu kuirejesha sehemu yake inapostahili. Tumeona jitihada zako za kwenda...
  8. K

    Tunapima Legacy ya Awamu ya Nne na Tano kwa Uzani: Mfano wa karatasi v/s Chuma

    Mtapima wenyewe. Kanuni ya maumbile ni moja tu. Kilo 1 ya karatasi ni sawa na Kilo 1 ya chuma. Awamu ya Nne v/s Awamu ya Tano i. Kuweka mazingira ya uwekezaji kuwa ya kuvutia v/s...
  9. K

    Mvurugano wa mambo uliopo Tanzania ni matokeo ya kuyumba kwa CCM Kisera

    Kwani hasa CCM inasimamia misingi gani sasa huwezi kupata jibu la wazi. Tuchukue walau huu muda wa miaka 20 iliyopita utaona ukweli wa mambo. Nakusudia kutoka mwaka 2000. Kuanzia mivutano ya Kupata mgombea wa Urais wa JMT na kuvuana magamba na kuasisiwa mitandao kulikiacha chama peupe kabisa...
  10. K

    Matokeo ya Mfumo Dola wa CCM, Tanzania inapotea njia

    CCM ilishachokwa kitambo, Mfumo wa chama kimoja uliathiri vipawa na mawazo mbadala, Mwalimu na wenzake waliunga mkono vyama vingi miaka ya 1992 ili kuruhusu mbadala na kuifungua Tanzania. Miaka 29 baadae tunarudi tena nyuma. Haya ndio madhara ya kukosa mwelekeo. Kutoka vyama vingi vya...
  11. K

    Hatma ya GNU Zanzibar: Karama itaamua badala ya hekima, Chaguzi ndogo zinafichua dhamira

    Mada inahusika Hili la GNU ni mwiba kwa Watawala. CCM inawakwaza kuitekeleza Katiba inayotaka GNU, huku wakivurugana. Utekelezaji wake unategemea Karama na wala si Lazima. Hekima ni mwiko. Naam. Hii GNu ya Dk Mwinyi mwisho wake unaonekana kwa macho ya karibu. Nia njema au mbaya itaonekana...
  12. K

    Uhafidhina, Deko na kujuana kwa wana CCM, kunamkwaza Rais Mwinyi Zanzibar

    Hio ndio hali inayoendelea. Rais Mwinyi alikuja na nia njema kabisa akitaka kujitofautisha na watangulizi wake. Nia hio ilionekana mapema. Sasa watu wanajiuliza kulikoni ile spidi haionekani kuendana na alichomaanisha hadi sasa kunani? Kwa mujibu wa vyanzo vyetu mbali mbali vya tathmini, Rais...
  13. K

    Rais Samia, kujua ukubwa wa tatizo kutasaidia kuliponya; kundi la wanasiasa liliumizwa sana

    Nianze hapo. Kumeibuka taswira halisi na Kali baada ya kugusia Katiba Mpya na mikutano ya siasa. Ni kama imeficha mema yote uliyofanya Kwa Siku 100 ulizokaa madarakani. Sifa zote ulizopata zimefichwa. Mama yetu mpendwa hio ndio taswira ya ukubwa wa tatizo lililopo. Watakuja makada na washauri...
  14. K

    Kama Rais Samia anaifungua nchi ni nani aliifunga? CCM iombe Radhi

    Siku mia moja za Rais Samia ni pongezi kila kona bila kukoma lakini kuna baadhi ya hiana. CCM inafanya hiana kwa Watanzania na baadhi ya washauri wa Rais wasije kutufanyia hiana. Mama tunamuheshimu sana na kwa kweli kaanza vyema. Tunampongeza kwa hatua alizofanya kwa sasa na hatutonyamaza...
  15. K

    Kama kuna kosa kubwa kwa miongo 3, hili la mfumo wa uajiri kisiasa limezidi

    Nazungumzia mfumo Wetu wa uajiri na siasa zetu za vyama namna lilivyoathiri. Ukweli ni kwamba tumeendekeza siasa ambapo chama kilichoshinda Iwe Kwa haki au mizengwe ndio kinaunda serikali na Kuwa na ushawishi kwenye Ajira zote nyeti. Hatimae kwa takriban miongo mitatu sasa athari iko wazi...
  16. K

    Kwa mara nyingine tena CCM waliiweka rehani Zanzibar Oktoba, 2020. Mara hii ilikuwa too much

    Ilikuwa ni Zanzibar tena kwenye hesabu kali za kuvurugwa na kuvurugika. Mara hii hesabu zilikuwa kali kuhakikisha kinatumika kivuli cha uchaguzi ili kuivuruga Zanzibar na mwelekeo wao wa kudai haki kwenye Muungano na usawa. Kazi ya CCM kwenye hili haijawahi kuwa na makosa tokea kuundwa kwake...
  17. K

    Ujumbe huu unawahusu CHADEMA: Wekeni akiba ya Maneno, msiwahukumu Wazanzibar wala ACT-Wazalendo

    Mada inahusika, Ujumbe huu unawahusu wana mageuzi wa Kweli wa CHADEMA na GT pekee na sio wafia chama na wapiga debe. Kuifahamu historia ya mapambano ya Zanzibar walau kuanzia 1995 hadi sasa Vyovyote iwavyo huwezi kuacha mchango wa Maalim Seif na wanamageuzi wenzake. Tafakarini nguvu ya...
  18. K

    CCM Zanzibar isichanganye hoja ya Maridhiano na Serikali ya umoja wa kitaifa, yumkini haiko tayari kwa Maridhiano

    Hio ndio hali halisi. CCM inajaribu kuhadaa umma eti kwamba Dr Mwinyi yuko tayari kwa maridhiano, sio kweli. Tokea kumaliza kwa uchaguzi wa 2020 ulioacha machungu, simanzi, vilio na dhulma za wazi kile kinachoitwa maridhiano wala hakipo hadi sasa. Hakikuwepo mwanzo na hakuna dalili...
  19. K

    Wapinzani jifunzeni kupitia siasa za Zanzibar, Nawaasa CHADEMA, ACT Wazalendo waende kwa hatua

    Mada inahusika. Hakuna kurudi nyuma na ni muhimu kusoma alama za nyakati kufikia malengo yaliyokusudiwa. SOMO KUTOKA ZANZIBAR. Huwezi kuzungumzia siasa za upinzani Zanzibar ukamuacha Maalim Seif na wenzake na siasa za wakati huo za CUF. Maalim Seif na wenzake walipitia hatua kadhaa katika...
  20. K

    Umuhimu wa Maalim Seif kuingia kwenye GNU ni mkubwa iwapo tu Jumuiya ya Kimataifa itashindwa kurejesha uchaguzi mpya Tanzania

    Haya ni maoni yangu binafsi. Kwanza nianze kusema inaelekea baada ya robo karne ya vyama vingi, sasa kuna mwelekeo mpya duniani. Haiwezekani mfumo wa vyama vingi hadi Leo Afrika ndio sababu ya mauaji na chuki na kwamba walioleta vyama vingi wameshindwa kuweka nguzo imara ili kila taifa...
Back
Top Bottom