Baada ya miaka Mitatu ya kesi kupinga uteuzi wake EA Court of justice wamthinitisha rasmi Lady Justice Sauda Mjasiri Kuwa Judge wa mahakama ya Rufaa ya EA.
Hukumu hio imetoa precedence kuhusu suala la Umri.
Kila mtanzania yupo salama kuishi popote anapotaka. Ukitaka akuhakikishie usalama wako peke yako hilo baki tu huko huko kama hao wamekuhakikishia usalama wako.
Serikali haiwezi kuchukua dhamana hio halafu chadema waje wakudhuru wapate sababu.
Baki yu huko kula posho
Awali ya yote Maandishi anasemekana ni mmoja ya vijana wa Makonda ambao walikua wakitumiwa kuteka na kupoteza Watanzania. Maaruf wakijulikana kama Wasiojulikana.
Huko nyuma wakiwa CUF akijjita ati msaidizi wa Maalim Seif wakati uongo. Nafasi ya Makamo wa Rais Zanzibar ni ya Kikatiba Hakuna...
Wanataka katiba mpya kwa bunge gani?
Watu wa maana wote wanetoka chadema.
Na hawana lolote la maandamano wakitishwa kidogo tu wataufyata.
Wanamjaribu.
Ukweli Watanzania sasa wanataka kujenga nchi yao na uchumi hawana habari na vyama vurugu.
Kila mtu anatafuta fursa.
Chadema wanajua Mama...
SGR ya Tanzania ni mtihani mkubwa kwa Samia. Imefilisi mifuko yote ya Hifadhi pamoja na fedha za Mashirika ya umma.
Mapato ya Serikali hayatosho kuendeleza mradi kwa wakati.
Mtihani mwengine ni kwamba hii reli haina manufaa yoyote na BANDARI ya Dar !
Shujaa alijenga hii reli ili Wasukuma waje...
Inashambulia watoto na raia. Hamas wapo salama kabisa
Wayahudi huua zaidi raia ili kutia uchungu na chuki lakini hawapigani na majeshi
Hata walipo pambana na Hisbollah walibaki kuharibu Mji wa Beurut badala ya kupigana na wanamgambo hao wa Hisbollah
Na kila siku zikienda Hamas wana gain nguvu zaid
Hio 4.5trillion ni ndogo kwani inahusu Misaada tu.
Kwenye Mapato ya pamoja ya muungano Zanzibar wanatakiwa wapate 4% kisheria lakini hawajahi kupewa 4% badala yake hupewa 2% tu.
Kuna ajira katika wizara ya muungano makubaliano ni Zanzibar wapate 21% lakini wanapata ajira zisizo zidi 1%
Thamani...
Mbowe kachanganyikiwa sana. Majuzi akiongea nyumbani kwake kwa aloita hotuba kwa Taifa alisema amemuandikia baria Rais Samia kumuomba wakutane kuongea mambo ya nchi. Leo anatoka povu wakati Samia amekubali kukutana na vyama vya siasa.
Upumbavu tu
Documents au voucher za matumizi ya kununua ndege na ujenzi sio national security issue. Alikua anaficha ufisadi na wizi.
Matumizi aliokua akificha ni pesa za kodi za Walipa kodi wa Tanzania. Sio pesa zake au baba ake .
Prof Assad:Nilipoomba nyaraka za ununuzi wa ndege, SGR na Bandari ya Bagamoyo alikataa kunipatia
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/Prof-Assad%3ANilipoomba-nyaraka-za-ununuzi-wa-ndege%2C-SGR-na-Bandari-ya-Bagamoyo-alikataa-kunipatia.1858118/
Hata ikibidi wazungumze basi sio lazima maalim awe VP.
Act wazalendo watafute yule wanae muona kuwa anafaa kuwa mrithi wake.
Maalim yupo 77 sasa abaki kuwa mwenyekiti wa Act kukijenga chama zaidi.
VP waitoe hio nafasi kwa Dkt Faki aliekua mgombea mweza wa Membe au Othman Masoud aliekua...
Aaweza kwenda bungeni under protest huku akiwa na msimamo wa chama chake bungeni.
Hii ya kupiga picha na bashiru au kwenda Dodoma kuspishwa Magufuli au kusema aliomba ubunge peke yake inaonekana wazi hajitambui na hana msimamo au kanunuliwa tayari au hio nafasi alipewa tu kwa malengo maalum ya ccm
Lazima diplomasia iendelee. Na uhusiano wa Marekani na Tanzania hakuujenga Magufuli. Hivo kwa lugha nyepesi mahisiano na Watanzania yataendelea lakini kina makonda bado hawapati visa na list itaingezeka soon
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.