Search results

  1. P

    Wababa kununua nguzo/taulo za ndani watoto wa kike dhambi

    Wala si dhambi, kimfaacho mtu chake. Juzi juzi nilikuwa katika nchi fulani ya Afrika, nikashuhudia binti wa miaka 22 akimnunulia baba yake nguo ya ndani. Nikamwuliza mara mbili, akasema "ndio, ni ya baba hii"
  2. P

    Unafanyeje ili ndoa yako idumu?

    Binadamu pekee hatuwezi. Kwa Mungu yote yanawezekana. Kila wakati nimehisi, ndoa zingekuwa ni mkataba wa muda fulani hivi, ambao mnaweza kuuongeza. Vinginevyo ni maisha magumu kuliko tulivyofikiri.
  3. P

    Hii ni Siri Yako!!

    Kwani ana mpango wa kuchumpia upande wa pili?
  4. P

    Watoto hawa wana kosa mpaka wasistahili matunzo toka kwa baba zao!?

    Hakuna sababu ya kumwazibu mtoto ambaye hakuwa na uhuru wa kuchagua hatima yake.
  5. P

    Familia inaangamia kwa UKIMWI...

    Wewe ukiathirika kwa namna yeyote ile utaweza ku volunteer kuweka picha yako kwenye hizo kona? Maana si kila anayeathirika ni mzinzi, na kuwa anastahili adhabu na majuto. Na hata kama ni mzinzi, kwanini wapenda kumhukumu mwenzako?
  6. P

    Vicky Mtetema & Flora Nducha wa BBC Waula!

    Kieleweke, Na kuajiriwa kwa Asha Rose Migiro UN ni kwa ajili ya automtic-favor?
  7. P

    Nani ANA FURAHA?

    Naniliu ndio mkao gani huo sasa?
  8. P

    VITUKO VYA Juma Pondamali

    Pondambali hakuwa baunsa bali alikuwa gangwe.
  9. P

    Equations

    good work, but other factors need to be kept constant! l
  10. P

    Je utajuaje kama 'mpenzi' wako anafungulia nnje?

    The Boss, Hayo yote ni dalili tosha ya kuwa tunda linamegwa. Je, kama mimi ndo ninayechelewa kurudi kazini sikuzote kwa sababu ya majukumu, si ndo ntakuwa sijui kabisa kama mwenzangu anamegwa? mana sitamwona anapowahi kwenda kouga, simu hana haja ya kujificha, na labda mtakuwa nimejichokea na...
  11. P

    Jk ndani ya Mo Ibrahim night

    ...na salva pia alikuwepo
  12. P

    Kucheza kimapenzi

    waswahili walisema, kula nanasi kwahitaji nafasi... sasa wenzangu namimi chumba kimoja, kitanda, kabati, stoool, meza na kila kilicho chetu humo humo... hilo kombolela utalichezaje? ukirusha mpira akishindwa daka mara puuu kabati la vyombo, glass mbili meng'emeng'e.
  13. P

    vyuo vyetu vya elimu ya juu, digrii zake ni sawa?

    mpangwa1, kuna utafiti umefanya kwa hilo au walonga tu? Mie nina jamaa yangu alisoma mzumbe ya zamani akapata advanced diploma...akaenda majuu akachukua masta yake moja kwa moja. Mimi nadhani ukitaka kujua kama digrii ni ya ukweli ama la, kaa na wahitimu wa vyuo hivyo kisha uwatathmini kwa...
  14. P

    Wabunge wa CCM Waomba Ushauri Kuhamia CHADEMA!

    Mkuu hujui kuwa wagombanao ndio wapatanao?
  15. P

    Habari hii ni ya kweli, Tafadhali soma

    ..sasa mbadala wa Kikwete ni nani? Naye ana sapoti gani ya watendaji kuanzia wenyeviti wa vijiji, makatibu watendaji, wenyeviti wa serikali za mitaa... watakaokuwa madiwani, wawakilishi wa wananchi na wabunge? it is rather too late to circulate this message (scam) now as the local government...
  16. P

    Uchafu mitaani Dar: Nani alaumiwe?

    inasemekana kuwa kuanzia ada estate, ukija mpaka magomeni, kuelekea kigogo, buguruni hadi vingunguti kwa jinsi miundo mbunu ya majitaka ilivyo, wakazi wa maeneo haya ni kama wanatumia choo kimoja.
  17. P

    Msanii Chiligati na kauli zake zinavyogeuka kama Kinyonga

    Du, ama kweli CCM ina wenyewe, lol
  18. P

    Matatizo ya Mirathi Tanzania Chanzo Chake Nini

    Mkuu hizo data ni za nchi gani?
  19. P

    Matatizo ya Mirathi Tanzania Chanzo Chake Nini

    Napenda kuungana na August juu ya umuhimu wa somo la Uraia hususan kipengele cha Mirathi na haswa jinsi ya kuandika wosia na umuhimu wake kwa jamii. Matatizo mengi yahusuyo mirathi ambayo jamii nyingi hukumbana nazo yangeweza kupungua au kuisha kabisa kama kizazi kinachobaki baada ya mpendwa...
  20. P

    Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

    Hivi hii ultimatum ya Masha inaisha siku gani.... mana kuna weekend na sikukuu kibao mwanzo wa Juma?
Back
Top Bottom