Search results

  1. A

    pccb

    alafu ww kelvin acha upimbi maana ya kuambiwa hvi ni muhimu ili ucwe unazmazma cm yako ya mchina hyo coz mara nyingi huwa unazma kukimbia madeni
  2. A

    pccb

    hahhaahahhaha c unaona nishajua sasa ningeuliza kawaida mngeanza mitusi kama hilo jamaa hapo juu liliosema mitanzania,ok ni hvi dogo aliitwa migration na co pccb alinizngua.wikiend njema
  3. A

    pccb

    mlioomba nafasi za kazi pccb wameanza kuita kwenye interview kuna dogo mtaani hapa kapigiwa jana simu,amesoma IT
  4. A

    Mshahara wa Katibu Muhtasi

    haya tunaomba mshahara wa wakurugenzi wa wizara na katibu wa wizara huwa wanalipwa kiasi gani coz taarifa zako nimezipenda
  5. A

    think more than twice before you decide to join army

    Mbona mnaanza kujielezea humu bila mpangilio wewe kama hutaki jeshi cc haituhusu cha msingi hii ni kurasa ya nafasi za kazi kama wametangaza waambie wadau co mbwembwe nyingi,wabongo bhana.
  6. A

    Msaada wa haraka kwa huyu kijana wa four aliyepata matokeo jana tare 18.02.2013.

    Ushauri wa kupiga cheti IFM au CBE,TIA ni mzuri zaidi kama pesa ipo..
  7. A

    watoto wao wanawaingiza nafasi nzuri BOT. TRA, NHIF n.k, wanatuambia sisi tujiajiri

    Mwanangu hiyo list kuna mwaka walipelekwa kisutu kwa kufoji vyeti huyo mtoto wa mungai hapo alikuwepo ndani ya nyumba na bado wanapiga kazi BOT hao watu,yani hakuna interview iliyonikera kama ya TRA pale msimbaz mwez novemba mwaka jana na desemba pale IFM ya nssf inauma sana ss hawa jamaa...
  8. A

    Tume ya ajira, janga lingine kwa vijana.

    Ila kweli post za account hawakuita hadi leo kimya
  9. A

    Nafasi JWTZ ..

    Ww hakuna cha jkt kujitolea hapa ni jwtz ndio wapo huko unaficha nini cc wenyewe familia nzima wajeda msidanganye watu tafadhali watu wanataka kujua ukweli.
  10. A

    Nafasi JWTZ ..

    Laurence ndugu yangu hayo ninayokwambia ni ya ukweli cdanganyi
  11. A

    Nafasi JWTZ ..

    Jamani hao jamaa walishachukua toka tarehe 17 july mwaka huu watu waliripoti mlale songea kambini ss hvi ni miez mitatu sasa na ilikuwa kimyakimya we subiri watangaze mwaka utaisha huu utaona kimya.
  12. A

    Nafasi za kujiunga na jeshi,jwtz

    Habari wana jf,mbona jwtz walishachukua professional toka july 17 mwaka huu wapo mlale songea na hyo ilikuwa ni kimyakimya na washkaji wawili wapo huko ss hv ni miez mitatu ss ishapita.
Back
Top Bottom