Search results

  1. M

    "if you are stand for nothing,you will fall for anything"

    Leo wana JF katika pitapita mitandaoni nimekuta hiii quote "if you are stand for nothing,you will fall for anything" nikaitafakari kwa mapana kwangu mie binafsi na taifa langu Tanzania.Je nini mimi binafsi nimesimamia na je nini Tanzania imesimamia? majibu kuhusu mimi binafsi nimejijibu na...
  2. M

    plz nisaidie kama unaweza, then issue ikitiki. mi ntakutoa

    Leo nimepata huu ujumbe(plz nisaidie kama unaweza, then issue ikitiki. mi ntakutoa ) kama private message heading na body viko sawa Nahisi hili ni bomu.
  3. M

    Mac OS

    Nahitaji Mac Os operating system kwa Apple netbook! Mwenye link ya kudownload tafadhali.
  4. M

    JK atoa kafara MSOGA

    Ndani ya wiki hii kuna jamaa yangu mmoja anakaa maeneo ya MSOGA kaniambia kwamba JK alikuwa anatoa kafara/tambiko kwa kuchinja Mbuzi pale MSOGA nyumbani kwake. my quote: Hii wana JF mimi inanidhihirishia jamaa (JK) ni maji ya shingo
  5. M

    Elections 2010 Ushindi wa Mrema Vunjo waongezeka kwa asilimia 4

    UTATA katika ujumlishaji matokeo ya kura umezidi kuongezeka baada ya matokeo ya uchaguzi wa ubunge wa Jimbo la Vunjo yaliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi (NEC) kutofautiana na yaliyotangazwa awali na msimamizi wa uchaguzi. Kutangazwa kwa matokeo mapya ya jimbo hilo kumefanyika katioka kipindi...
  6. M

    Elections 2010 Nyerere

    wana JF mnaonaje mimi nikimtuhumu nyerere hafai kuitwa BABA wa Taifa . Maana yeye hakuunga mkono wapinzani na suala la kuunda Katiba mpya
  7. M

    Elections 2010 OBAMA na JK

    wana JF mimi najiuliza utakuwaje uhusiano wa JK na Obama baada ya uchaguzi. Maana katika Afrika Obama amemsifia sana JK.
  8. M

    Elections 2010 mbulu Marmo kashindwaaa

    ITV sasa wanaripoti Marmo kashindwaaaa habari ndo hiyo
  9. M

    Elections 2010 Waangalizi washinikiza kutangazwa Mnyika na Mdee

    Sasa hivi kwa shinikizo kutoka kwa waangalizi ni kwamba Mnyika kashinda ubungo na pia mdee kashinda Kawe habari ndo hiyo
  10. M

    Elections 2010 wapi Kawambwa?

    wana JF vip kuhusu Bagamoyo? Mwenye data tafadhali
  11. M

    Elections 2010 Bagamoyo

    wana JF vip kuhusu Bagamoyo? Mwenye data tafadhali
  12. M

    msanii wetu

    Leo nilikuwa namsikiliza JK. kuna sehemu amenihuzunisha sana pale nilipomsikia anaimba JK:"Daraja Daraja Daraja " hicho kibwagizo kimenionyesha huyu mtu ni Msanii wa bongo flavor ila kakosea njia na kuingia kwenye siasa na ndio maana anaendesha nchi kisanii
Back
Top Bottom