Search results

  1. Sky Eclat

    The eyewatering sum Al Pacino, 83, has to pay 29 year old girlfriend Noor Alfallah in child support

    Legal documents detail an agreement that has the 83-year-old Scarface actor paying over $30,000 monthly to support his youngest son. The court's mandate includes an initial sum of $110,000 to be paid upfront by Al, in addition to the recurring monthly payments. Moreover, Al is responsible for...
  2. Sky Eclat

    Miracle of the three Hosts

    MIRACLE OF THE THREE HOSTS In 1384, a priest from Valencia, Spain, went to bring Holy Communion to a dying person. Despite a storm brewing, the priest knew he had to do everything so that this poor soul, who was about to meet God, could go to grace. At the end of his mission and as he was...
  3. Sky Eclat

    Kila kitabu na zama zake, corner sofa ndiyo habari ya mjini leo.

    Corner sofa ndiyo habari ya town, ukiongeza na flat screen ukutani na TV table ya mstatiri. Uzuri wa corner sofa mgeni anaweza kulala mpaka asubuhi omba tu asiwe kikojozi. Kwa kweli ni mfuko tu lakini corner sofa ya ngozi inapendeza na inadumu kwa muda mrefu. Ukiwa na ukuta mweupe blue...
  4. Sky Eclat

    Ustaarabu na umakini unaweza kuipendezesha sehemu ndogo ya kuishi ikupatie mapumziko mazuri zuri

    Nchi zetu za Afrika zimejaliwa ardhi kubwa na ujenzi wetu wengi ni ujenzi usiopimwa. Mijjni uhaba wa ardhi umeshaonekana na kuna watu wanaoweza kubuni makazi ya watu wengi katika eneo dogo. Picha ni chumba kinachoweza kupangishwa na mtu asiye na familia, hiki chumba kinaweza kuwafaa hata...
  5. Sky Eclat

    Mafundi kuweni wakweli katika ufanisi wenu, msihadae wateja

    Picha ya juu ni mchoro wa nyumba tarajiwa na picha ya chini ni fundi alichotoa
  6. Sky Eclat

    Malazi ya bei nafuu kwa wahitaji

    Malazi haya huwa yanalipiwa kwa siku, kitanda kinaweza kuwa €20 kwa siku. Huwasaidia sana wasafiri vijana hasa wanafunzi. Kuna huduma ya maliwato, unaoga vizuri na kupata usingizi wako mnono. Hizi huduma huwafaa sana wale walio na migogoro kwenye ndoa. Baada ya kushindwana na mama...
  7. Sky Eclat

    Watu wa Fiji ni ndugu zetu, mila na tamaduni zetu zinafanana

    Niliangalia kipindi kimoja katika luninga, kilionyesha mila na desturi za watu wa Fiji, kwa kweli wale ni wenzetu kabisa. Inasadikia miaka mingi iliyopita, Rufiji kuna watu walisafiri katika chombo kutumia Bihari. Katika safari ile, chombo kilipaigwa na dhoruba kali na kilipotea baharini. Kwa...
  8. Sky Eclat

    An advise to all employees

    1. Build a home earlier. Be it rural home or urban home. Building a house at 50 is not an achievement. Let all your family have good time in your house, build more memories in your home. 2. Go home. Don't stick at work all the year. You are not the pillar of your department. If you drop...
  9. Sky Eclat

    Choo cha Shima kinachohitaji maji kidogo tu

    Hiji ni choo cha shimo, nje unachimba shimo na unaweka bomba la kusafirishia uchafu. Uchafu unausukuma kwa ndoo ya maji. Ni rahisi kusafisha na uchafu unaoukusanya unaweza kuutupa shambani baada ya muda. Unaweza kuweka utararatibu wa kutapisha shimo kila baada ya miezi mitatu na kumwaga...
  10. Sky Eclat

    Maputo style au Sinza combine

    Kama vile ujenzi wa kuficha paa ulivyo mashuhuri sikuhizi, kwa wengi kuficha paa kunaokoa gharama za mabati. Sinza combine ilikua ni muokozi wa gharama za mabati miaka ya 1990. Ujenzi huu ukianza kuwa maarufu baada ya askari wetu walikokwenda kusaidia harakati za ukombozi za Frelimo huko...
  11. Sky Eclat

    A story about uncle Musa

    UNCLE Musa. After living in the United States for 40 years and at the age of 70, Uncle Musa finally relocated to Salagie, The Gambia this year to live in his 5-bedroom house which took him 10 years to complete. Now in Gambia and in his house, Uncle Musa lives in the living room of the house...
  12. Sky Eclat

    Binadamu tunavyojenga jela zetu na kusababisha vifo vyetu

    Hofu imetutawala kiasi cha kuweka nondo madirishani, ili wezi na wahalifu wasifikie usalama wako na mali zako. Nondo hizi huwa kero wakati hatari ikiwa ndani ya nyumba. Mhalifu anaweza kuingilia mlangoni ikawa shida kwako kutoka. Moto unaweza kuleta madhara mengine, moto wa hitilafu wa nyaya...
  13. Sky Eclat

    Robert De Niro amepata mtoto wake wa saba akiwa na umri wa miaka 79

    Robert De Niro ni mwenye asili ya Italia ingawa alizaliwa katika kitongoji cha Manhattan, New York City. alizalwa mwaka 1943. Kwa sasa anafanya shughuli zake uigizaji Hollywood nchini Marekani. Moja ya sinema alizocheza na kuapata umaarufu mkubwa inaitwa Casino iliyotoka mwaka 1995.
  14. Sky Eclat

    As we’re celebrating the Coronation of King Charles the III, a Welsh artist created a portrait of the King

    A Welsh artist has created a portrait of the King using Marmite on toast, to "raise a toast" to the coronation. Nathan Wyburn wanted to celebrate by creating a piece of art using ingredients from Charles' favourite sandwich, which includes Marmite. The actual artwork took just two hours, but...
  15. Sky Eclat

    92-year-old media mogul Rupert Murdoch is set to marry for a fifth time.

    92-year-old media mogul Rupert Murdoch is set to marry for a fifth time. He recently got engaged to 66-year-old Ann Lesley Smith - just months after his divorce with his fourth wife, Jerry Hall, was finalised. e. He recently got engaged to 66-year-old Ann Lesley Smith - just months after his...
  16. Sky Eclat

    Mtoto kuasiliwa na Jamii tofauti na asili yake

    Nilisoma kisa cha dada mmoja anaitwa Jane, kilichapishwa gazetini wiki mbili zilizopita. Jane ni mchanganyiko wa damu nyeupe na nyeusi. Baba yake ni Mzulu na mama ni mzaliwa wa Uingereza. Mama yake Jane alikutana na raia wa Afrika Kusini miaka ya mwisho wa 60 na mwanzoni mwa 70. Huyu...
Back
Top Bottom