Search results

  1. L

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Aibu kama iliyoipata Serikali na Mgomo wa madaktari
  2. L

    plugged in but not charging

    Inshu kama hiyo ilisha wahikunikuta katika laptop ya dell illa nilijua tatizo coz wakati huo charger ilikuwa mbali kwaiyo nikatafuta ya haraka coz it was a quick job. nilipata ya HP ila pin zilikuwa zina ingiliana na chamuhimu watu huwa wanaangalia output voltage kwenye stika ya charger, na kwa...
  3. L

    Wazee wote kulipwa pesa ya kujikimu

    Mimi nafikiri kabla ya kuwalipa wangeanza na kuwaomba msamaha ikiwa ni pamoja na kuwapa fedha za matibabu wale wazee walio mwagiwa maji ya upupu pale Serander bridge. Enhee nimekumbuka unajua kipindi kile cha ukoloni wazee waliishi kwa tabu sana ila kwa mapenzi ya mola mpaka leo baadhi bado...
  4. L

    Wanaume kunyimwa makalio ni laana ama bahati mbaya???

    unajua mra ya kwanza nilikuwa sija lisoma jina lako vizuri ila sasa nimeelewa kwanini unaongea utumbo
  5. L

    Elections 2010 Mr II a.k.a Sugu kugombea ubunge Mbeya?

    Dah big up mtu mzima ila naomba spika asije kuomba ushushiwe net kama utaingia na kuanza kusinzia kwenye sofa za mjengoni. kuna watu walikuja na moto mkali kama wa kifuu kumbe dawa yao ilikuwa maji, Waliingia kwa mikwala mingi mwishoe wakaishia na kupozwa kwa ruzuku na sasa wana-sinzia bungeni...
  6. L

    Wanaume kunyimwa makalio ni laana ama bahati mbaya???

    Maaan u need to focus instead of being stupid:mad::mad::mad::mad::mad:
  7. L

    Umeme umegoma kupita kanisani kwa Kakobe

    Dah wajomba hii sasa kali kama imefikia hapo
  8. L

    Nimekamatika Jamani

    Dah Mwana huyo shemu kwa story uliyonipa kama ndio alivyo basi......... nakushauri ununue mguu wa kuku kwanza Any way dini sio inshu kwa maisha ya sasa kama kweli umempenda kutoka moyoni hilo si jambo la kusema tukae chini kulijadili maana upendo wa kweli hauangalii dini wala kabila we...
Back
Top Bottom