Ndugu zangu wana JF, habari zenu.
Hii kasi ya mshkaji wa mambo ya ndani kwa kweli inamaanisha jambo kubwa sana.
Inaonyesha wazi na dhahiri kabisa kwamba Mwigulu alipwaya na hakuitendea haki nafasi ya waziri wa mambo ya ndani. Hata mh Rais hakukosea kubadilisha safu yake ya ushambuliaji na...
Imetamkwa mubashara hivi sasa kupitia kwa Waziri Mkuu wa Tanzania akihutubia hadhara ya watanzania waliojitokeza kufanya usafi maeneo ya osterbay na masaki hadi coco beach Jijini DSM kuadhimisha siku ya mashujaa waliopigania Nchi yetu hata kupoteza maisha yao.
Waziri Mkuu amesema kuwa Serikali...
Utafiti unaonyesha kuwa kwa kipindi cha miaka miwili na ushee tangu CCM iingie madarakani na kuunda serikali, chama hicho kimezidi kuimarika mara dufu zaidi tofauti na ilivyokuwa 2015.
Utekelezaji wa ilani unaofanywa na Serikali yake, utatuaji wa kero za wananchi, ukaribu wa chama hicho na...
rais Magufuli na serikali yake pendwa ametumbua majipu akiwemo mleta mada hii maana alikuwa anafaidi keki ya taifa kwa wizi na uporaji, amerudisha nidhamu ya utendaji serikalini, ameleta uwajibikaji, anajenga miundombinu ya usafiri na usafirishaji, umeme wa uhakika nk. yaani ukitaka kuandika...
hii mada ni maalum kwa ajili ya upotoshaji, kupandikiza chuki kwa wananchi na kuwakatisha tamaa ya kazi na uungaji mkono serikali yao pendwa ya awamu ya tano.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.