Search results

  1. Z

    2024 uwe mwaka wa Mbowe kuona aibu na kug'atuka. CHADEMA irudi kwa wazalendo kiuhalisia

    Chadema ni chama cha mchongo binafsi wa Mtei na familia yake...
  2. Z

    Umewahi kupata Hasara gani kutokana na Fundi Ujenzi kukosea makadirio ya Vifaa?

    Huyu fundi hujamtendea haki. Cha muhimu wewe hakikisha hujaibiwa materials, zote ziingie kwenye nyumba yako. Lakini mtu kutoka jasho na anaondoka bila kulipwa sio sahihi kabisa na Mungu aliyekupa uwezo wa kujenga hawezi kufurahi. Hao vibarua wamekukosea nini mpaka wafanye kazi bila malipo. Hii...
  3. Z

    Kila nikikumbuka CHADEMA walivyomkashifu Mrema na TLP kushirikiana na CCM nasema moyoni Mungu ni Fundi

    Mbowe ni mjasiliamali tu wa siasa. Ukiona unamuamini Mbowe ujue ushapotea njia...
  4. Z

    Wazazi wake hawanitaki, nifanyeje?

    Wewe umeenda kutambulishwa kama nani? Kwenye jakii zetu mchumba hutambulishwa iwapo anataka kuoa. Kwenye kuoa kila familia wana taratibu zao ambazo unapaswa kuzitafiti na kuzizingatia. Je, wewe lengo lako ni kuoa? Utaratibu wa kuoa kwenye familia hiyo unaufahamu? Kama unaufahamu, umeufuata...
  5. Z

    Ni namna gani naweza kufuatilia kupata Hati ya Kiwanja?

    Utaratibu uko hivi: 1. Unatakiwa kupata kampuni itakayofanya kazi ya kupima. 2. Kampuni hiyo itaenda ardhi kuangalia kwenye ramani iwapo eneo hilo limepangiwa matumizi. 3. Kutokana na majibu yatakayopatikana toka ardhi. Kampuni ya upimaji itaenda ofisi ya halmashauri kuomba kibali cha kupima...
  6. Z

    Plot4Sale Tunauza Nyumba, Viwanja na Mashamba. Tupo Dar

    Hicho kiwanja kimefika sqm 900 kweli? Vipimo vyake vikoje?
  7. Z

    Halima Mdee na wenzake 18 wapanga kuihujumu BAWACHA, washitukiwa

    Wanafeli vipi wakati mgogoro umetamalaki hapo...
  8. Z

    Godbless Lema ukimbizi: Kaingia jela ya kufikirika

    Ukimbizi sio permanent kwenye nchi gani? Hizi nchi ukija kama mkimbizi ukipokelewa it is just a step towards uraia. Usichanganye residence permit na permanent residence. Residence permit can be a long stay visa. By long stay, it means the visa is longer than 90 days. Mkimbizi ana haki ya...
  9. Z

    Godbless Lema ukimbizi: Kaingia jela ya kufikirika

    Basi wewe ndio huelewi. Ukimbizi unatoa haki zaidi kuliko residence permit. Mkimbizi ana haki almost like raia.
  10. Z

    Godbless Lema ukimbizi: Kaingia jela ya kufikirika

    Kupata kibali cha ukimbizi is a long process. Lissu yuko kwenye process ya kuomba kibali cha ukimbizi. Wakati wa kungoja maamuzi ya mwisho, muombaji hupewa residence permit. Hiyo ndiyo aliyokuwa nayo Lissu.
  11. Z

    Godbless Lema ukimbizi: Kaingia jela ya kufikirika

    Tundu Lissu hahitaji matibabu ya muda mrefu ya kuishi Belgium. Matibabu ya kitu gani yanayomlazimisha kuishi Belgium? Vilevile Tundu Lissu hana kiasi cha pesa cha kumfanya epewe residence. Mtu anayepewa residence on the basis of kiasi cha pesa ni kwa misingi kuwa atawekeza na kutengeneza...
  12. Z

    Godbless Lema ukimbizi: Kaingia jela ya kufikirika

    Kibali cha mkazi on what basis?
  13. Z

    Chama cha Madaktari acheni wizi kwenye kutoa leseni za Madaktari wapya

    Chama cha madaktari (MAT) hakihusiki na usajili wa madaktari. Usajili hufanywa kwa mujibu wa sheria chini ya Medical Council of Tanganyika (MCT). You may want to edit your heading if you intend to talk about MCT.
Back
Top Bottom