Search results

  1. P

    Rai ya Zitto Kabwe kuhusu udini Tanzania ulivyoenea

    Zito. kwa nini hali hii wakati huu. Nataka ukubali kuwa umoja uliokuwepo hapo kabla ni matunda ya uongozi uliokuwepo. na udini uliopo ni matunda ya uongozi uliopo. hii ndio maana hasa ya kila zama na kitabu chake. zaidi ya hayo Bwana zito. Umewahi zisikia na kuziona video za Ustadhi Ilunga...
  2. P

    Life after Death: What happens after death?

    yesu akamwambia usiniguse. sijaenda kwa baba. (1) UUMBAJI. udongo + pumzi ya uhai = nafsi hai (mwanzo 2:7) (2) KIFO Nafsi hai - pumzi ya uhai = udongo. (mwanzo 3:19, zaburi 146:4, zaburi 104:29) (3) MTU AKIFA ROHO HAIENDI MBIGUNI. Biblia inasema hivi; mhubiri 9:4-6,10 & mhubiri 3:19-21...
  3. P

    Life after Death: What happens after death?

    (1) UUMBAJI. udongo + pumzi ya uhai = nafsi hai (mwanzo 2:7) (2) KIFO Nafsi hai - pumzi ya uhai = udongo. (mwanzo 3:19, zaburi 146:4, zaburi 104:29) (3) MTU AKIFA ROHO HAIENDI MBIGUNI. Biblia inasema hivi; mhubiri 9:4-6,10 & mhubiri 3:19-21 Kwa kuwa liko tumaini kwa yule aliyeambatana na...
  4. P

    Life after Death: What happens after death?

    nani anakumbuka chochote kilichotokea miezi kumi kabla hajazaliwa ambacho alikisikia alikiona yeye mwenyewe "live". kama hakuna, hiyo ndiyo hali anayokuwa nayo mtu akifa. (1) UUMBAJI. udongo + pumzi ya uhai = nafsi hai (mwanzo 2:7) (2) KIFO Nafsi hai - pumzi ya uhai = udongo. (mwanzo 3:19...
  5. P

    Makao makuu ya CHADEMA hapaingiliki toka Lwakatare akamatwe

    hapana. sio kwa ajili ya kukamatwa kwa rwaka. wanafanya tahadhari dhidi ya wavaa mabomu ya kujitoa muhanga.
  6. P

    Tamko la Maaskofu kuhusu uchinjaji na hali ya mwelekeo wa kisiasa nchini

    msikiti ndo umeleta vita somalia hata wanapigana tangu 1984. msikiti ndo unaleta vita siria pia. unaonaje. kama kanisa lilitoa elimu kwa kuwabagua wahutu, wa rwanda, kwanini halikuwabagua wahutu wa Burundi. kwa nini kanisa hilo hilo halikubagua watanzania kikabila. usisahau wakati wa mjerumani...
  7. P

    Tamko la Maaskofu kuhusu uchinjaji na hali ya mwelekeo wa kisiasa nchini

    sio maneno mazuri hayo. kubali kuwa hivi sasa ndie rais. anapaswa kupewa heshima zote kwa kuwa ndie rais aliepo. hata tungezungumza maneno makali kiasi gani. huyu ndie rais sasa. na apewe heshima yake. tukimlaumu tumlaumu lakini kwa kugha ya staha. ndie rais. kama tunahoja kwa marais wetu hebu...
  8. P

    Tamko la Maaskofu kuhusu uchinjaji na hali ya mwelekeo wa kisiasa nchini

    napenda sana unavyofanya urgument. Hata kama tunatofautiana kimtazamo hatuna sababu ya kutupiana maneno makali. Big up. Nimeiona hii post usiku huu. Nimechoka sana. Nitarudi kesho. Usiku mwema rafiki.
  9. P

    Tamko la Maaskofu kuhusu uchinjaji na hali ya mwelekeo wa kisiasa nchini

    uko sahihi kaka. nilieka hiyo ya siria kwa kuwa jamaa alisema vita ya wenyewe kwa wenyewe rwanda ililetwa na kanisa. tiko pamoja. hata Rwanda ni vita vya ukabila na sio Kanisa.
  10. P

    Tamko la Maaskofu kuhusu uchinjaji na hali ya mwelekeo wa kisiasa nchini

    ushahidi upi waupleke kuliko uliopo sasa. mmerusha mpaka mitandaoni. ushahidi wa kutosha ulishapelekwa. unakataa nini kwamba hamtulazimishi kula nyama mlizochinja ninyi. si mnasema ninyi ndio wenye haki kuwachijia watu wa dini zote kwa kuwa kwenu ni ibada. kwa nini mlimchinja mchungaji. ushahidi...
  11. P

    Tamko la Maaskofu kuhusu uchinjaji na hali ya mwelekeo wa kisiasa nchini

    kuchinja ni ibada kwa waislam. ukinilazimisha kula nyama ilochinjwa na muislam maanaa yake unanilazimisha kushiriki ibada ya kiislam. NINI KIFANYIKE Sio kutengana mabucha. hapana. kinachopaswa kifanyike ni kwamba, zijulikaane. hii ni bucha ya mkristo na hii ni bucha ya waislam. mimi mnunuzi...
  12. P

    Tamko la Maaskofu kuhusu uchinjaji na hali ya mwelekeo wa kisiasa nchini

    Ni hilo tu ndo umeliona. kwa uelewa wako aya hiyo ulioinukuu kwenye biblia inazungumzia tafsri ya haki au inazungumzia namna mtu anvyohesabiwa haki. swali langu niiuliza kama kuua mtu asie na hatia ni haki. haki ni nini. ulichojibu hakijibu swali langu, na tena kimsingi aya hiyo haimaaninshi...
  13. P

    Tamko la Maaskofu kuhusu uchinjaji na hali ya mwelekeo wa kisiasa nchini

    mimi ni miongoni mwa watu nilokasirishwa sana na kitendo cha marekani kuingia Iraq. wakati fulani nikawa hata namlaani bushi. mimi ni mmoja wa watu ambae sikufurahishwa hata kidogo na namna saadam hussein alivouawa japo yeye aliua waislam wenzake. sikupendezwa kabisa na namna binladen alivouawa...
  14. P

    Tamko la Maaskofu kuhusu uchinjaji na hali ya mwelekeo wa kisiasa nchini

    NAIJIBU MOJAMOJA KAMA HAPO MWANZO (1) swali lako linauliza. "Sasa Kanisa linajibu mapigo ya Ilunga ama ya serikali " BU NI KWMBA. Inajibiwa serikali ambayo haikumkakata Ilunga tangu atoe vitisho vya mauaji mpaka leo hajakamatwa. alitoa mafundisho ya kuua mapadre na kweli padre kauawa. (2)...
  15. P

    Tamko la Maaskofu kuhusu uchinjaji na hali ya mwelekeo wa kisiasa nchini

    Haki ni nini. Kuua watu wasio na hatia kama walivouawa sept 11 ni haki? Ilunga anatangaza waislam muue wapadre na maaskofu. Hiyo ndiyo haki.? mauaji yanayofanywa na boko haramu ndiyo haki? kumuua padri mushi bila kosa hiyo ndiyo haki? kuwachinja binadamu kama kuku na kuiweka kweney...
  16. P

    Tamko la Maaskofu kuhusu uchinjaji na hali ya mwelekeo wa kisiasa nchini

    KRIS JUVE Siwzi kukurudishia Matus uliyotukana. mimi ni mkristo, na dini yangu inanifundisha kutokulipa kisasi wala kutukana wala kuua mtu mwingine. Kisasi namwachia mungu ambae atakulipa kwa kila neno ulilotoa. Maana imeandikwa, Mtu mwema katika akiba njema hutoa mema; na mtu mbaya katika...
  17. P

    Tamko la Maaskofu kuhusu uchinjaji na hali ya mwelekeo wa kisiasa nchini

    SIKILIZA POLITE. NAPENDA KUSHUGHULIKIA HOJA MOJA HADI NYINGINE. (1) Kwamba tamko la maaskofu limejaa uchochezi wa Mauaji na vitisho. hebu tuambie ni sehemu ipi katika tamko lile yametajwa mauaji ya aina yoyote. mimi sijaona mahali popote palipotamkwa mauaji. maaskofu wamesema MAOMBI NDIO...
  18. P

    Lwakatare Video: Metadata Information Can Easily Reveal Secret

    Definition Metadata (metacontent) are defined as the data providing information about one or more aspects of the data, such as: Means of creation of the data Purpose of the data Time and date of creation Creator or author of the data Location on a computer network where the data were created...
Back
Top Bottom