SIRI???? Yaani uozo huu! Ukatili- unatamani ufichwe!? Mtu wa ajabu sana wewe. Ukitaka nchi yako iheshimiwe, jambo la kwanza ni kujiheshimu wewe na watu wako! Utu kwanza. Unakuwa kama wale wazazi wanaowaficha watoto wao vilema majumbani kwa kuona aibu wanawaacha wanateseka weeeee bila msaada!
Mhhhhh! Unawezaje kufanya majumuisho ya namna hii! Kwamba wakatoliki walikuwa wanafaulu mitihani kwa wizi wa mitihani!? Acha hizo Bwana. Ni shule gani ulisoma, ukaona hayo yanatendeka? Kufaulu sio kushinda masaa 24 unasoma. Kufaulu ni tunda la nidhamu na afya njema. Nidhamu ya kusoma kwa masaa...
Kwamba Wizara ya Mambo ya Ndani ambayo ndio inasajili makundi mbalimbali, iangalie kama kanisa la Askofu Gwajima linatekeleza majukumu yake kwa kadri ya masharti ya usajili! Yaani- kuna uwezekano wa kulifungia kanisa kama alivyofanya Kagame kule Rwanda! Musiki Mtamu, tusubiri! Na Gwajima amejibu...
Duh! Sasa na wakati mwingine uache tu kumchambua Marehemu! Huu uchambuzi fikirisha sana- umefanya kazi nzuri,ila mwache apumzike popote alipo! Imetosha!
Inasikitisha kujadili mambo mazito ukiwa na taarifa hafifu. Waziri Msuya alikuwa mbunge wa Mwanga, ni mji mdogo kando ya barabara kubwa ya kutoka Dar kwenda Arusha, SIO mlimani pili swala la umeme sio jambo la kushangaa kwa eneo hili, bwawa la Mungu liko karibu na kituo kikubwa cha kuzalisha...
John the Baptist ni wale wale- anatetea bila utafiti! Hajafikiwa na mikasa kama hii! TRA wakitaka na wanataka kupiga hela, wanamtafuta mmiliki wa kampuni (Managing/Executive Director) na hawataki Auditors/Accountants, wanakuita kwenda kwenye majadiliano- kabla ya majadiliano watakutumia taarifa...
Hizi za ibadani zilikuwa ni za unafiki tena za kiubaguzi! Tena sina uhakika sana kama Asalam Aleykumu ni kwa imani ya Uislamu na ina maana sawa na hizo za wakristo.
Ni unafiki kwa Mwislamu kwa mfano kuwasalimu ' Tumsifu Yesu Kristu' au kwa Mkristo 'Asalam Aleykumu! Ni ubaguzi kwa zile dini...
Idadi ya watu duniani ni karibu ya watu Billion 8 (7.9bn)- kwa takwimu hizi nusu ya dunia walikuwa wanafuatilia! Sio rahisi. Youtube wana viewers wasiofikia 2.5bn duniani. Nadhani statistics sio kwa Bilioni bali kwa Milioni- ambapo bado ni wengi yaani viewers 3.9m ni wengi sana- possible pia...
Hii Nchi inaelekea kubaya sana! Mawakala wa shetani wako kwenye ajira ya viongozi wa kitaifa kujaribu kupotosha ukweli na uhalisia! Leo hii viongozi wa kisiasa ndio wanahubiri dini, kusisitiza sala ilhali wanayoyafanya hawajui kuwa Mungu anawaona. Sasa ona vibaraka wengi wanaingia na kukashifu...
Ni uelewa tu. Tunapaswa kujifunza kinachoendelea kwa majiji mengine duniani-
".....sio lazima kwa taasisi kuwa na eneo lake la kijiografia ambalo ni la kwake pekee- Majukumu mengine yanavuka mipaka kwa mfano huduma za barabara, fire, polisi n.k. Kuna manufaa mengi kiuchumi huduma na mipango...
Kweli tunajitoa ufahamu kiasi hiki!!! Doh! Yaani - nachoka! Tafiti hufanywa sio nje kwenye barafu au jua kali bali kwenye mazingira yaliyothibitiwa! Sasa PhD holder anapofikiria hivi tunakuwa na shida kweli. Kwa namna hio, hata wale wanaofanya tafiti za tiba ya ukimwi au TB huko Sweden na...
Poleni! Sasa napata wasiwasi- mbona mapadre wamekuwa mstari wa mbele kwenda mbele ya haki kwa maambukizi mapya ya ugonjwa wa kushindwa kupumua- pneumonia?
Moshi January hii alikufa Pd Lewanga, Pd Victorin Riziki na huko Bukoba Pd Irenulis Mbahulira na wengine wengi tu wako mahospitalini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.