Search results

  1. K

    Mchungaji/Nabii akinunua ndege au gari lake binafsi, Waumini hushangilia na kusema Mungu amejibu maombi

    That is how perceive things. Kanisa Katoliki ni kanisa la Roma na wala siyo kanisa la Kikristo . Ndiyo maana haliamini katika wokovu. Pole sana unayefikiri kuna kanisa la kweli ambalo ni affiliated na Roman Catholic Church.
  2. K

    Waziri wa Sheria na Katiba, Prof. Kabudi akana kauli yake

    Mbona huyu profesa anaongea kwa kutoa macho sana? Anataka kulazimisha watu kumwamini? Maajabu kweli kweli
  3. K

    Waziri wa Sheria na Katiba, Prof. Kabudi akana kauli yake

    Hawa maprofesa ni afadhali Lusinde no school. Shame.
  4. K

    Hivi huyu dada Joyce Kiria ana shida gani?

    Sijui ni kwa nini Kileo alichukua mwanamke aliyekuwa ameachwa na mume. Hayo ndiyo madhara. Hata hivyo huyu mwanamke hana malezi mema kutoka kwa wazazi wake. Utadhani alikulia mitaani. Aibu kwa wazazi wake. Kileo rudisha mke wa mtu kwa mumewe.
  5. K

    Usagaji: Watanzania tumefikia hapa?

    Hivi haya yamefanyikia wapi? Humu nchini?
  6. K

    Usagaji: Watanzania tumefikia hapa?

    They know what they are doing.
  7. K

    Humphrey Polepole aongelea Uchaguzi Mdogo katika Kata 43. Asema ushindi wa kata 42 ni salam ya Tsunami inayokuja 2019/20

    Hivi kuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuita huu ni ushindi? Time will tell.
  8. K

    Kailima Ramadhan: Uchaguzi 2015 ulikuwa huru na wa haki, CHADEMA imeshindwa kihalali! Hakuna upendeleo kwa CCM, NEC ni Tume huru

    Kama ilikuwa huru na wa haki ni kwa nini kulikuwa na umwagaji damu? Ni kwa nini mawakala waliondolewa kwenye vituo? Ni kwa nini wafuasi wa Chadema almost kila mahali wameswekwa ndani?
  9. K

    Wanachama wa jinsia moja waandamana Ubalozi wa Tanzania Afrika Kusini kushinikiza serikali kuwaachia wenzao Tanzania

    Hizi ni siku kama zile za Sodoma na Gomora ambapo ulawati was the order of the day. Haya ni machukizo makuvwa mbele za Mungu. Ndiyo maana aliwaangamiza kwa moto.
  10. K

    Watambue madalali wa shetani

    Inaonyesha ni kwa kiwango gani humjui mtumishi wa Mungu Kakobe. Ndiyo maana namuunga mkono mtoa post kwamba SIYO WOTE. Wewe unakurupuka. Onyesha utajiri wa Kakobe. Acha chuki binafsi. No research, no right to speak.
  11. K

    Kwa namna Bunge linavyoendeshwa, nadhani wabunge makini wameona haina haja hata kuhudhuria

    Ni bora haliko mubashàra kwa kuwa unaweza kujikuta ukivunja screen ya luninga yako kutokana na maagizo ya kipuuzi. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. K

    Mkuu wa Majeshi, Jenerali Mabeyo awataka wananchi kutulia wakati vyombo vya ulinzi na usalama vinafanya kazi yake

    Ni ajabu sana kwa mwanajeshi kukaa kisiasa. Kuna haja kubwa kwake kujifunza kwa Mwamnyange Sent using Jamii Forums mobile app
  13. K

    Kura za Magufuli kwa uchaguzi ujao zimeongezeka maradufu

    Kama umelipwa kwa hiki ulichopost ni kwamba fedha hiyo imepotea. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. K

    Uongo wa CHADEMA waanza kuwatokea puani, Lisu alivaa shati la Blue na si Jeupe wakati wa tukio

    Huyu mtoa post ni extremely hopeless. You can not divert people from the reality. Hivi unawezaje kufurahia mtu kuuawa? Ni lazima uwe na ushetani mwingi sana ndani yako. Hata wewe utakufa hata kama siyo kwa kuuawa. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom