Search results

  1. O

    TANESCO Yaomba kuongeza tena bei ya Umeme kwa 68%

    Yaani watanzania mnashangaza kweli,kupandishiwa gharama za umeme kidogo tu mnaanza kulialia,naiomba serikali sikivu ya ccm ipandishe walau ifike 80% ili Tanesco waweze kujiendesha.
  2. O

    Demokrasia na Maendeleo ndani ya CHADEMA

    Ushauri wa bure,kama chadema hakuna demokrasia huna sababu ya kulalamika nenda chama ambacho kinademokrasia kuna CCM,NCCR,CUF,N.K sioni sababu ya kung'ang'nia demokrasia chadema labda kama una agenda yako ya siri.
  3. O

    Sichagui CHADEMA, nachagua uwezo wa mtu 2015

    Kweli nimeamini wewe ni MTOTO KITAA!
  4. O

    Polisi wapiga mabomu Mbinga,watoto waongoza maandamano

    kama hadi Mbinga wameandamana basi ukombozi wa nchi hii umekaribia
  5. O

    Josephine Mshumbusi unainajisi CHADEMA. Tafadhali na tuchore mstari, tuseme yatosha sasa!

    Tukopamoja mleta mada.Ifike mahala watanzania tusimame katika ukweli bila kujali ni nani anazungumza kwa pamoja tutajenga taifa letu
  6. O

    Viongozi wa juu wa CHADEMA mna ubaguzi na upendeleo

    Napenda kuwa kumbusha viongozi wa CHADEMA kuwa mkoa wa Ruvuma na wilaya zake mmezisahau sana hasa wilaya ya Mbinga ambako kuna wapiga kura wengi sana na ndio mtaji mkubwa kwa CCM, ni vizuri hii wilaya ikaangaliwa kwa umakini. Maana nimesika Mh.mbowe ameenda tena jimboni kwake wakati muda si...
  7. O

    sakata la uhamiaji haramu Latia hofu

    Tunataka watu wafuate sheria sio kuishi kiujanjaujanja,kama niwahamiaji haramu warudi kwao au watafute vibali halali vya kuishi huko.
  8. O

    Mikutano ya CHADEMA yadoda Iramba

    Picha tafadhali
  9. O

    Mkurugenzi wa Bodi ya Kahawa Adolph Kumburu azidi kuonyesha vituko

    Watanzania wenzangu ifike pahala tufanye kazi tuachane na majungu, Mr. kumburu amejitahidi sana kuibadilisha hii bodi ya kahawa kuwa ya kitaalamu zaidi kuliko ilivyokuwa zamani.Kuna tatizo ambalo ni kubwa katika nchi yetu utakuta mtu ni "Form four failure" au" darasa la saba" eti kwa kuwa...
  10. O

    Kenya mmezidi sasa/ made in kenya.

    Hivi wewe hukumbuki kuwa twiga wetu alipanda ndege, bora wao waendelee kufaidika na twiga wao.
  11. O

    Mafanikio Serikali ya CCM ndiyo yatakiweka hai chama 2015

    mkuu tulia wananchi wataamua mkuu
  12. O

    Kamati mpya ya Wastaafu CCM kumuengua Mwigulu Nchemba

    jamani mbona mwigulu ana fanya kazi nzuri sana ya kujenga chama,nashauri wa mwache
  13. O

    Mkutano wa CHADEMA - Mbeya

    Weka picha mkuu
  14. O

    Picha: Nawashukuru sana wanairamba kwa rekodi hii ya jana, Pole sana Dr. Slaa...

    Nilifikiri kwenye mkutano wa Dr.Slaa hakuwepo watu kabisa ,kumbe kuna watu walikuwepo hao waliokuwepo wanatosha kabisa kufikia malengo sio lazima watuwote wapate uelewa kwa wakati mmoja ,hawa waliohudhuria mkutano wa Chadema hao ndio watakao saidia kupeleka habari njema ya ukombozi kwa wengine...
  15. O

    Dk. Slaa kuhutubia Korogwe leo

    Mkuu picha muhimu
  16. O

    Updates: Mkutano Wa CHADEMA Lushoto

    tunashukuru kwa taarifa usi sahau kutupia picha.
  17. O

    Nani kamchagua Dr Slaa kuwa mgombea Urais wa CHADEMA 2015??

    mimi nimemchagua,hapo je una swali jingine?
  18. O

    Mbunge wetu Gaudence Kayombo

    Mbunge wetu wa Jimbo la Mbinga mashariki wakati wa kampeni za uchaguzi wa mwaka 2010,ulituahidi wakazi wa mbinga kuwa utajenga Chuo hapa Mbinga mjini hadi sasa hakuna ulichofanya na hakuna taarifa yoyote kwa wananchi kuwa umefikia wapi kuhusu hili. Tekeleza ahadi zako 2015 sio mbali, usije...
  19. O

    Ombi kwa mwenye kiti wa chadema taifa mh.freeman mbowe

    Napenda kutumia nafasi hii kuomba M4C ipelekwe Jimbo la Mbinga Mashariki, pia nina shauri M4C ipitie maeneo ya fuatayo;KIGONSERA,UTIRI,KITANDA,LUWAITA,KINDIMBA,LITEMBO,MAGUU,TINGI,NYONI,LIPARAMBA halafu mkutano wa mwisho ufanyike Mbinga mjini.
Back
Top Bottom