Search results

  1. BonBerry112

    Unafanyaje mpenzi wako aki'FLIRT'?

    guys mi hapo mmeniacha , bado sijapata maana halisi ya flirting moja kwa moja ,kwani inamaanisha nini kwa neno moja la kiswahili..???
  2. BonBerry112

    Binti alotiwa mimba.....

    dingi nae mtata...
  3. BonBerry112

    Women's revenge

    ha ha ha ha ha
  4. BonBerry112

    Bia za Ofa nakunywa tangu jana..

    Simu inaita saa mbili asubuhi mwanawani, jamaa hajarudi home toka jana, waifu on ze line. Ringitoni, sumu ya teja ukonga keko segerea, ah sumu ya teja sumu ya teja. Jamaa anaamua kupokea. Wife: Uko wapi we mwanaume, muhuni mkubwa usiku mzima humkumbuki mkeo kazi kuzurura, mi nimechoka...
  5. BonBerry112

    ha ha ha ha ha sitaki kwenda Mbinguni

    Siku moja ticha wa dini alikuwa anafundisha darasa la 3. Akauliza "wangapi wanataka kwenda mbinguni?" darasa zima wakanyoosha mikono kasoro dogo mmoja tu. Mwalimu akamuuliza "wewe hutaki kwenda mbinguni?" Dogo akasema hataki. Mwalimu akamuuliza "kwa nn?" Dogo akajibu "mama kaniambia...
  6. BonBerry112

    Unawaiteje wanawake ambao awajatulia

    kicheche, changu, vipochi manyoya, etc
  7. BonBerry112

    Duh Mvua nomaaaaa

    hayaaa hyo kali joh..
  8. BonBerry112

    Nyimbo gani utamchagulia x wako siku ya harusi yako?

    daaah, kitu cha ,unikimbie by Amini
Back
Top Bottom