Search results

  1. M

    Wafuatao, wanaweza kuvivaa viatu vya Magufuli na vikawaenea

    No. 3 ataleta mabadiliko chanya kwani hana mtandao na wezi.
  2. M

    Hivi kweli Rais ameamua kuziba masikio kuhusu taarifa ya CAG hadi leo kimya kweli CCM hatari kwa nchi

    Wananchi ndio tuuendekeza wizi wa mali za umma kwa kuwachekea wezi. Uchaguzi ujao inatakiwa kuwapiga chini wezi wote bila kuangalia nyuso zao.
  3. M

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali ashitushwa na utitiri wa watu katika ziara za Paul Makonda wakilalamikia kudhulumiwa haki zao na kutekwa kwa ndugu zao

    Dh Kuna kero na dhuluma nyingi miongoni mwa wananchi. Mh. Rais wetu Mpendwa Samia Suluhu Hassan anachafuliwa na viongozi wasio waamini na wabathirifu. Angalia mfano huu https://www.youtube.com/watch?v=ZToGkFXN4yk&t=53s
  4. M

    Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    https://www.youtube.com/watch?v=ZToGkFXN4yk&t=53s
  5. M

    Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    https://www.youtube.com/watch?v=ZToGkFXN4yk&t=53s
  6. M

    Rais Samia: Maharage ana biashara ndani ya TTCL ndio maana nimemtoa

    Kumbe kabla hakujua kuwa ana biashara TTCL?
  7. M

    Hotuba ya Rais Samia yalituliza Taifa na Kukata kiu ya Watanzania juu ya changamoto ya umeme

    Unajipendekeza hadi aibu? Hotuba imeleta umeme?
  8. M

    UTEUZI: Maharage Chande aondolewa TTCL, ateuliwa kuwa Postamasta, Ulanga arudishwa TTCL

    Hakuna jipya, anayeshindwa jukumu angeenda kulea wajukuu.
  9. M

    Uongozi wa Rais Samia umeleta matumaini katika maisha ya Watanzania

    Unadhani kwa kusifia kila kitu ndio unaisaidia Serikali? Hakika hata wao watakudharau. Ongelea ukweli ili wahusika waweze kuyarekebisha na si kusifiasifia kila kitu.
  10. M

    Hivi kwa hatua hii tulipofikishana, kuna uwezekano wa kupewa mbususu kweli!?

    Mwambie ukweli aache kudhalilisha watu kwa udhaifu wake.
  11. M

    Uongozi wa Rais Samia umeleta matumaini katika maisha ya Watanzania

    Huu ni utani kabisa. Umeme hakuna+ Bima ya Afya juu+ DP World+ ripoti ya CAG+Bei ya mafuta na bidhaa zingine juu. Halafu unasema kuna neema? Wewe upo Tanzania kweli?
  12. M

    Kwanini umeme usimuondoshe Rais Samia madarakani?!

    Katiba inasema je kuhusu hilo?
  13. M

    Naomba Serikali iwashughulikie ipasavyo CWT pamoja na Afisa Utumishi wasio na weledi

    Hizi juhudi za kuthibiti ubadhirifu wa mali ya umma ungeelekezwa pia kwenye ile ripoti ya CAG ingefaa sana.
  14. M

    Iringa: Kina cha Maji Bwawa la Mtera chapungua na kuathiri uzalishaji Umeme

    Za chinichini zinasema maji ya Bwawa la Mtera yalifunguliwa kumwagika mwezi machi 2023 ili Bwawa lisibomoko, pamoja na ushauri wa wataalamu kuwa yasifunguliwe, inasemekana wakubwa walisisitiza yafunguliwe yamwagike. Je haya ni kweli? Kama ni kweli nini lengo la wahusika? Na kwanini wasishitakiwe...
  15. M

    Je, Spika mstaafu Job Ndugai, ana sifa ya kugombea kuwa Rais wa Tanzania 2025?

    Mbinu zote za kuiba kura zitathibitiwa kwa uhakika 2025. Waliokuwa wanatumiwa kuiba kura wameona madhara yake baada ya uchaguzi wa 2020.
Back
Top Bottom