Search results

  1. M

    Anahitajika mtaalam wa Kutengeneza chakula cha mifugo.

    Tuna tegemea kuwa na Kiwanda kidogo cha kuzalisha chakula cha mifugo aina mbalimbali, tunahitaji mwenye ujuzi na awe na uzoefu huo kwa kazi husika. Kwa yeyote mwenye ujuzi huo namkaribisha Pm au email; godfreycyp@yahoo.com
  2. M

    Anahitajika secretary

    Anahitajika secretary kazi ya mwaka ila inaweza kuwa inaongezwa muda. SIFA -ajue computer vizuri -awe mchapa kazi kuna wakati ofisi inafungwa saa 12. -Awe mwepesi kujifunza -Awe mwaminifu -Aweze kufanya kazi kama team na wafanyakazi wengine . -umri kuanzia 18–45yrs Maombi yatumwe...
  3. M

    Ushauri: Nina mtaji wa milioni 200 nataka kufanya biashara ya kuuza magari

    200 siyo nyingi mkuu Ukiipata hata wewe utaona hivyohivyo kwenye kuizungusha , Na usichoke kutafuta maarifa na usizarau mawazo ya watu hata kama hana pesa , wewe mwenyewe utachekecha walicho kushauri.
  4. M

    Biashara ya kuuza unga wa mahindi uliosagwa kutoka mikoani na kuleta Dar

    Siyo kweli wengi tu wanapeleka. Ila kama ilivyo kwenye biashara yoyote kuna magumu yake mfano leo mahindi ya Tanga Dar tsh 500–550/ 1kgs yakiwa Dar, ukifanya ulinganifu na wewe umesema Ruvuma 540/1kgs utaona hapo tayari ushindani wa bei unaanza kukuengua. Kikubwa fanya utafiti wa kina utapata...
  5. M

    Masikini anazaa watoto wengi na kushindwa kuwahudumia

    Habaria moja ya mtu mmoja huko kilimanjaro ana watoto 12, hana nyumba na watoto hapeleki shule. Anaomba kusaidiwa kulea watoto na kusoneshewa. Kuna mahali serikali itamke ukomo wa kuzaa kulingana na uwezo vinginevyo baadhi wanatesa watoto. Wenye watoto wengi wanaamini wenye watoto wachache...
  6. M

    Natafuta duka wanalouza masweta

    Uhitaji ni Pcs ngapi?
  7. M

    Nimemuajiri mtu ndani ya mwezi 1 kaanza kuniibia

    Mwenzio anaomba Ushauri wewe unaleta ramli kuwa kaiba serikali! Acha kukariri unaona kila mtu mtaji anaupata kwa kuiba?
  8. M

    Business Partners wanahitajika: Biashara ya Maziwa Fresh & Mtindi

    Pia unaweza geuza wazo lako ukasema inatafuta mteja wa kumuuzia maziwa kwa jumla na ukaweka bei unaweza pata wateja wakutosha, kikubwa bei kuwa rafiki na ubora
  9. M

    Natafuta duka wanalouza masweta

    Masweta ya shule au ya kawaida?
  10. M

    Waliowahi kuchukua mkopo kwenye taasisi yoyote na kufanikiwa kukuza biashara bila tatizo tushirikishane

    Kukopa ni jambo jema kama unakopa kwa lengo la kuongeza faida kwenye biashara yako na kweli umeona huo uhitaji na hesabu inakupa majibu kuwa unahitaji kiwango fulani ili uweze kutengeneza faida zaidi. Usikope tu kwakuwa unakopesheka na wakati biashara yako haihitaji ongezeko la mtaji, mwisho...
  11. M

    Biashara ya hardware kwa mtaji wa mil.7

    Siyo kukatisha tamaa ni wazo zuri , hilo genge lina leta faida ya haraka na unatumia mtaji mdogo. Nilipatia mtaji kupitia huko naiheshimu sana
  12. M

    Kukuza mtaji wa biashara ya kompyuta

    Uwe unanunua bidhaa kwenye maduka kama mawili au matatu, jitahidi force mzunguko wako . Mwenye duka akiona unakwenda kila siku kununua pc 2 kila siku atapata imani ya kukukopesha na cha nyongeza ukiwa mwaminifu utakataa mwenyewe mizigo
  13. M

    Biashara ambayo hautokaa upate hasara

    Kama unamaliza chuo ndipo unaanza kufikiria kuhusu maisha utakuwa umechelewa, matokeo yake ndiyo hayo ya kukosa hata hela ya kupanga chumba. Unasoma ili uelimike , ukiona upo kwenye hatuo hiyo jua huja elimika . Hata ukipata kazi huwezi leta matokeo chanya kwenye kampuni.
  14. M

    Biashara nzuri ni ya uzalishaji, si ulanguzi

    Hapo inategemea malengo ya biashara kama kwaajili ya kupata hela ya kula leo sawa ila kama unataka kukuwa kuwa mkubwa ni bora kuwa mzalishaji. Kikubwa kuchagua nini cha kuzalisha kitafutie upekee kita kupa matokeo Mazuri.
  15. M

    Biashara nzuri ni ya uzalishaji, si ulanguzi

    Sasa huo ni uvivu wa kufikiri kila kitu afanyiwe, hapana siyo sawa. Wa kufanyiwa kila kitu hawezi kuwa mfanya biashara
  16. M

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Njano madogo au mapana na unahitaji kiasi gani?
  17. M

    Tujuane wadau wa biashara, ulipo na bidhaa zako

    Dar es salaam Duka la simu na accessories
Back
Top Bottom