Search results

  1. BornTown

    Msaada wa ku-unlock sim card ya Vodacom!!

    Wapenda msaada kwenye tuta line yangu ya voda imejiblock, kuna mtu alikuwa achezea cm yangu sijui kaifanyaje kablock sim card inaniambia niweke PUK na mm wala sikumbuki kile kidude chaline kiko mtaa gani mbaya zaidi cm card nilikata so vile vinamba vya nyuma haviko mwenye kuweza kunisaidi plz...
  2. BornTown

    ELIMU BURE OMBAOMBA BARABARANI WA KAZIGANI????

    Wanajamvi naomba kujua ikiwa serikali iliokuwapo madarakani imetangaza kuwa ELIMU NI BURE KUANZIA CHEKECHEA HADI KIDATO CHA NNE. Sasa kinanochonishangaza hawa ombaomba na watoto zao barabarani kutwa wapo yaani saa 12 nanusu asubui kama wanakwenda makazini na wao wanawahi kwenye vijiwe vya taa za...
  3. BornTown

    TANESCO wana tatizo gani kwenye LUKU?

    Wanajamvi, Naomba kuuliza, hivi TANESCO wana tatizo gani na Luku zao? Maana nimenunua umeme wa elfu 40 lakini nimepata tokeni inaonyesha umeme cost 27266.89 total 40000, ina maana service charge imekatwa 12733.11. Wakati huwa nakatwa 3000 kama service charge. Je, ndio tariff mpya za...
  4. BornTown

    Anaomba ushauri kuhusu talaka na haki ya kupata watoto wake!

    Nimeombwa ushauri na rafiki yangu mmoja nimekosa jibu la kumpa issue yenye iko hivi: Ni mkaka wa miaka 40 alikuwa na mahusiano na mdada mmoja wakaja wakaachana kutokana na huyo mkaka kupata mwanamke mwingine ka kipindi cha miezi 3 cha urafiki mpya na huyo mwanamke mwingine wakafunga ndoa...
  5. BornTown

    Garama za kuomba kufungiwa Luku

    Wanajamvi naomba mwenye kujua gharama za kuomba kufunga luku ni bei gani? Ninataka kufunga luku yangu ya kuchangia kwenye nyumba ya kupanga imenishinda. Asanteni
  6. BornTown

    Ewura na Gas za majumbani!

    Jamani hv hawa ewura wanatumia vigezo gani kupandisha bei za gas. Kutoka Tsh.54000 hadi Tsh. 63000 jamani kwa maisha haya elfu tisa mzima kweli hii nihaki?
  7. BornTown

    Mume wangu akila nyama ya mbuzi na kitimoto zamdhuru

    Wana jamvi naombeni ushauri mume wangu akila nyama ya kitimoto na mbuzi anapatwa na viupele vikubwa mgongoni vyeusi na kuwashwa ameacha kula bado vinamtokea vinakuwa kama chunisi ngumu nyeusi na vunamuwasha, alipewa dawa ya kupaka vikakauka na kubakiza dots nyeusi na wakati mwingine vinamuwasha...
  8. BornTown

    Kujamiana kipindi cha hedhi kwa mwanamke!

    Wanajamvi nina rafiki yangu kanijia na hii suala nimekosa jibu la kumpa: Anadai mumewake huwa anamwingilia kipindi akiwa kwenye siku zake za mwezi na kila mkatazapo ugomvi wake ni balsa sasa anauliza kuna madhara yeyote atakayo yapata yeye kutokana na hiyo tabia ya mumewe au mwanaume atapata...
  9. BornTown

    Happy birthday to all my member twins

    Leo ni siku yangu ya kuzaliwa, namshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kunipa pumzi hadi siku ya leo, mengi yamepita amenipigania na wapo wengi humu ndani tumezaliwa siku moja wengine ikiwa ni mwaka mmoja nami wengine eitha ni wadogo ama wakubwa kwangu nichukue nafasi hii kuwatakia kila...
  10. BornTown

    ITV kuomba radhi kwa kuonyesha habari ya Mama aliyenyangwanya Mtoto wake ni haki?

    Wanajamvi jana kwenye taarifa ya habari ya saa 2 usiku kwenye luninga ya ITV waliomba radhi kwa kuwa walionyesha habari ya yule mama aliyenyanganywa mtoto wa miezi 4 na ndugu za mwanaume aliyezaa nae kwenye taarifa ya habari. Mbali na taarifa ya habari yule mama alienda EATV kuomba msaada wa...
  11. BornTown

    TANZIA. RIP Aziz Sheween

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bw. John Haule, anasikitika kutangaza kifo cha Bw. Aziz Sheween, Afisa Mambo ya Nje Mkuu Daraja la I katika Ubalozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, kilichotokea huko Riyadh, Saudi Arabia. Taratibu za kusafirisha mwili wa marehemu...
  12. BornTown

    Xmas Wishes to All JamiiForum Member!!!

    May the miracle of Christmas fill your heart with warmth and love. Christmas is the time of giving and sharing. It is the time of loving and forgiving. Merry Christmas to Everyone
  13. BornTown

    Mpenzi wako wamwitaje!!!!!!!!!!

    Mpenzi wako wamwitaje.... LOVE DICTIONARY HONEY = KIMEO DEAR = WAKUZUGA SWEETY = MSHAMBA MY LOVE = ZEZETA BABY = JINGA DARLING = ***** HUSBAND = BUZI or ATM WIFE = KIPOOZEO
  14. BornTown

    Weekend TAMUUUUUUUUUUUUUUUUU....!!!!!!!!!!

    Wapwaz na Mabinamuz! Jamani week-end hii ni tamuuuuuuuuuu..... kwanza imeangukia mwisho wa mwezi 1. Bar zote leo zitajaa sababu ni mwisho wa mwezi hela ipo ya kutosha2. Gestihausi zote zimejaa sababu hali ya hewa inaruhusu na mfuko umejaa.... kuanzia sasa ukiingia mtaani kutafuta gestihausi...
  15. BornTown

    Happy Birthda to ME na Wanajamvi wote waliozaliwa LEO!

    Leo ni siku yangu ya kuzaliwa natamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa uzima hadi leo hii na pia nawashukuru Wazazi wangu kwa kunilea vyema hadi leo,Asanteni wazazi wangu. Nawatakia Birthday Njema wanajamvi wenzangu wanaokumbuka siku ya kuzaliwa kwao leo!
  16. BornTown

    TANZANIA kutokuwa na NYAMBIZI ni aibu!

    Wanajamvi nimasikitiko yangu kwa nchi yetu hii ya TANZANIA kutokuwa na hata "kanyambizi kadogo tu!" hivi kweli nchi yetu hii inaulinzi gani madhubuti kiasi cha kujiamiki kutokuwa na nyambizi kwa ajiliya usalama wa nchi yetu. Juzi tumekumbwa na na ajali ya meli ya Mv. Spicer tumekosa wazamiaji...
  17. BornTown

    Nashawishika kusema Jimbo la Igunga linakwenda CHADEMA!!

    Hii ni wazo langu binafsi na ninahisi na kushawishika kuwa jimbo la fisadi mvua gamba sasa litakwenda CHADEMA! Sijui kwanini ninawaza hivyo tangu jana ninajiwa na ndoto hii kuwa jimbo la Igunga ninakwenda upinzani kwani wananchi sasa wamechoka na wanaona utetezi wa haki uko wapi. Majimbo...
  18. BornTown

    Malaika wa pekee huyo...

    A little boy said: Mum do you know that our house girl is an angel? Mum: Why do you say that junior? Lil Boy: Because I saw her naked with her hands on the wall shouting oh God I'm coming..... I'm coming...... I'm coming! If not for Dad that was holding her tight from behind she would have...
  19. BornTown

    Elections 2010 Vingunguti na kiwalani hakufai mabom ya machozi yarindima usiku kucha

    Wana Jamvi! Vingunguti na Kiwalani hali ni tete tangu jana usiku hakufai ni vurugu mtindo mmoja Diwani wa Vingunguti (CCM) hataki kuachia ngazi ameshindwa na CHADEMA imechukua kiti cha Udiwani tumekesha na mabomu ya machozi,virungu vya FFU na inasemakana kuna Watoto wawili wachanga wamefariki...
  20. BornTown

    Fuso la mchanga lauwa makondeko

    Wana jamvi nimepata taarifa muda mfupi kuwa FUSO la kubeba mchanga limegonga na kulalia watu waliokuwa kituo cha basi. wenye Taarifa kamili walio karibu na eneo la tukio
Back
Top Bottom