WanaJf, nikiri kuwa mimi ni mwanachama wa CHADEMA ambapo nilikuwa kiongozi wa chama ngazi fulani siku za nyuma ila kwa sasa siyo kiongozi. Napenda kutoa mchango wangu mdogo kuhusu swala la Mh, Zitto Zubery Kabwe ambaye ni kiongozi wetu wa chama na Mbunge wa kigoma kupitia CHADEMA.
Mi binafsi...
Kama tuliamua kuungana ni bora tukaungana bila kujali eti nchi moja itamezwa. Muungano mzuri ni muungano wa Zanzibar kuwa mkoa wa Tz. Hata hivyo, kama ni kuogopa kumezwa basi kila nchi iwe na serikali yake, vitu vizuri lazima viwe na gharama sio kama serikali yetu ambayo vitu vya kipumbavu ndio...
Serikali yetu inapenda sana kuchezea amani yetu halafu eti wanahimiza kuiombea nchi yetu amani. Mungu humsaidia anayejisaidia, haiwezekani ukamwona nyoka anakuja kukuuma we ukasimama eti unafumba macho unamwomba mungu akusaidie badala ya kukimbia ili mungu akusaidie. Serikali yetu inapanga...
Wanajf, nakiri wazi kuwa mi ni kiongozi wa CHADEMA ngazi ya kata. kwakuwa mi ni kiongozi wa CHADEMA na kwa kuwa chama changu kimepengekeza serikali tatu namimi kama kiongozi ni halali kutetea msimamo wa chama changu kwani ni maamuzi ya vikao halali vya chama hivyo kwenda kinyume ni kukiuka...
Ndugu zangu wanajf, natamani siku moja kuiona Tanzania mpya itakayo heshimu haki za binadamu, itakayokuwa na uchaguzi wa haki na huru, itakayo kuwa na vyombo madhubuti vya usalama vyenye uwezo wa kubaina matukio kabla ya kutokea na pale yakitokea utatuzi wa kudumu unapatikana.
Natamani kuiona...
"
"
yaani we udini ni kuangalia uwingi wa dini fulani serikalini!. mbona hufanani na great thinker. kwa hiyo unataka ajira zitolewe kwa udini bila kujali fani au uzoofu wa mtu. sisi tunaposema udini tunamaanisha upole wa kikwete kushughulikia maswala yanayohusu udini na baadhi ya watumishi...
Wanajf wa CHADEMA, juzi niliona waraka wa katibu mkuu wa BAVICHA kamanda, Deogratias Munishi unaoelekeza muundo mpya wa CHASO ngazi ya mkoa . Huu waraka unaelekeza kuwa CHASO mkoa utaongozwa na viongozi watatu ambao ni:
(a) Mratibu wa CHASO Mkoa
(b) Mratibu Msaidizi wa...
Wnajf, kamati tendaji ya BAVICHA ilipowatimua Juliana Shonza na wenzake mwenyewe sikukubaliana na maamuzi hayo hadi nikafikia hatua ya kutafri kauli ya mh. Mbowe kuwa "Shonza afanye maamuzi ya kikubwa" kama kauli ya kumtaka akate rufaa kwa uongozi wa chama ili wamrudishie uanachama wake...
Wana JF,
Napenda kujadili hii hoja ya kufutwa kwa kamati ya bunge ya hesabu za mashirika ya umma (POAC) kwa sababu mazingira ya kufutwa kwake yana utata pamoja na kamati ya ulinzi. Kufutwa kwa POAC kwa harakaharaka naona kama ni maandalizi ya EPA nyingine kuelekea 2015.
Nasema hivyo kwa...
Mwenyekiti wangu, wanachadema hatuko tayari tena kuona maccm yakijichagua bila kuchaguliwa halafu viongozi wa dini wanakufuata eti wanakushauri uwe na subira. Chaguzi zijazo liwalo na liwe lazima wananchi waruhusiwe kuchagua viongozi na sio kuchaguliwa na tume ya uchaguzi kwa maelezo ya haya...
Wanajf, tunapoanza mwaka nimeona nizungumzie mwenendo wa bunge letu tukufu yaani bunge la kumi chini ya spika Anna Makinda [Bi Kiroboto]
Baada ya uchaguzi mkuu wa 2010, wengi tulitarajia bunge la kumi lingekuwa na mchango mkubwa kwa maendeleo ya taifa letu kutokana na kuongezeka kwa idadi ya...
Wanajf, mnyukano uliokuwa ukiendelea hapa jf kati ya ZITTO na BEN umetufundisha mengi. Tukiamua kuhukumu kwa kutumia maelezo yaliyotolewa bila kuona vithibitisho waliosema wanavyo, ni kuwa BEN ameeleza vizuri tofauti na wengine walionesha wazi kuwa wanawachuki na viongozi wa chama hasa Dr Slaa...
mpaka hapo tunaelekea kupata majibu sahihi bado tunasubiri ushahidi. ila mwampamba ameonyesha bifu na uongozi wa chama kwani naona kama anawatukana vile!!!
Yaliyotokea mwanza (Nyamagana na Ilemela) ni matokeo ya CDM kupokea wanachama wa CCM wenye uchu wa madaraka wanaoikimbia ccm pale wanaposhindwa kwenye chaguzi.
Wanahamia CDM wakiwa hawajui hata sera na itikadi za chama na bado wanakuwa na mitizamo na malengo yaleyale ya CCM.
Kwakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.