Search results

  1. N

    CV ya Naibu Waziri wa Elimu Philip Mulugo: Je inatosheleza kusimamia majukumu aliyopewa?

    Jamaa hana uwezo wa kuwa naibu waziri wakati akiwa mwalimu mkuu na kiongozi wa shule ya southern highland mbeya shule ilikuwa katika shule ambazo zinaongoza kwa wanafunzi wake kufeli pale mbeya na wanafunzi hawana displine,sasa kama alishindwa kuongoza shule je ataweza kuongoza wizara nyeti kama...
  2. N

    Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

    chanzo cha hizo vurugu ni nini mkuu
  3. N

    Jopo la Maaskofu lakutana Mbagala, latoa tamko zito

    Wachungaji Msisahau kuonesha kuchukizwa na hiki kitendo kwa kushinikiza serikali hii legelege kuwakamata hao waislam vichaa na kupewa adhabu kali kama kifungo cha maisha ilikutokomeza mizizi ya udini ambayo ni hatari sana.
  4. N

    Study abroad

    unajilipia mkuu ila kama unahitaji na unauwezo unaweza nitafuta email yangu ni ...lusupathfinder@gmail.com.
  5. N

    Study abroad

    Wanafunzi wanaopenda kusoma india,china,ukraine na malaysia.tunakusaidia kupata chuo,kupata visa na ushauri hadi pale unapo fika chuoni. Kuanzia diploma,degree na kuendelea.ni pm au tuma email lusupathfinder@gmail.com
Back
Top Bottom