Search results

  1. tafakari kali

    Naomba ushauri wa kisheria

    Sikuwa eneo la tukio ila nilipofika polisi kimara kijana wangu akanieleza hayo maneno ambayo nimeyaeleza hapo.na Kuhusu kujua amefanya uharifu niliambiwa nilipofika kituo cha polisi, Asante sana kwa ushahuri pia.
  2. tafakari kali

    Naomba ushauri wa kisheria

    Habari wanasheri wa jamvi hili. Naomba ushauri wa kisheria juu ya tatizo langu,ni hivi,mimi nina gari yangu ndogo ambayo nilimpa kijana kwa ajiri ya kufanyia biashara maeneo ya kimara kwa lengo la kujipatia kipato niweze kuendesha maisha, siku moja kijana niliyempa gari alifatwa na jamaa mmoja...
  3. tafakari kali

    sony xperia E3

    Naomba msaada simu yangu aina ya sony xperia e3 kila napopiga simu display inakuwa dark (ina sleep) na nakuwa siwezi kukata simu au kufanya lolote hata kama hakuna kizuizi chochote karibu na sensor yake. Pili nikimaliza kutumia simu haisleep (automatically) pamoja na kwamba nimeiseti sekunde 15...
  4. tafakari kali

    CUF, Kwanini kuleta Mdahalo Bara badala ya Zanzibar?

    majibu mazuri hivi itakuwa saa ngap? na je tv gani itaonesha ? naomba uni PM kama utanisaidia jibu au yeyote mwenye jibu plz
  5. tafakari kali

    CUF, Kwanini kuleta Mdahalo Bara badala ya Zanzibar?

    msaada jamani mdahalo utakuwa lini na wapi na saa ngapi na je utaonyeshwa na tv gani? nisaidieni
  6. tafakari kali

    Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Nipo kituoni hapa stop over bado shughuli ya uhesabuji kura linaendelea na kwasababu hii kura za jimbo kwa ujumla wake bado.
  7. tafakari kali

    Twiga wanaoonekana kwenye mitandao ya kijamii na kudaiwa kuwa ni twiga wa Tanzania, Si kweli

    umejitahidi kutuonyesha kaelimu kako ka tourism ulikokapata pale chuo cha utalii dar eagle clg na kuzawadiwa kachet kako ( na sijui kama kimesajili) Ona kasoro za kutoelewa darasani 1. kama yupo 1 je alijizaa? bila shaka hapana , 2. kama hapana wazazi wake wapo wapi? bila shaka wapo katika...
  8. tafakari kali

    Hotuba za Lowassa kama ndio hizi, Kazi ipo

    alishasema hata piga siasa za matusi na majitaka hizo kaziachasisiemu hapa mo hoja kwa hoja tu kwisha....kwa kuongeza hata kama angekuwa anafika kwenye mkutano na kusimama wima dk 2 na kisha kukaa bila kusema neno bado tungemjazia lundo la kura,yani sisiemu hatuwataki tu hamuelewi. mke ukimchoka...
  9. tafakari kali

    Nakuheshimu Dr Slaa ila nenda tu

    kweli kabisa umenikumbusha hii kitu ...safi
  10. tafakari kali

    Nakuheshimu Dr Slaa ila nenda tu

    maswala ya ubosi yapo kwenu ccm na ndo maana mnatuumiza ,mnapenda sana ubosi matokeo yake nchi imewashinda jamaa anaonyesha kumkubali ili nasi tumkubali,upaswi kuwa na Phd kujua hili ile ni mbinu ya ushawishi na kuonyesha kuwa ubosi ni ujinga unapotafuta mafanikio. mambo ya uboss tunawaachia...
  11. tafakari kali

    Nakuheshimu Dr Slaa ila nenda tu

    naungana nawe watu wengi tulikuwa na woga sana..tulifurahi alipokatwa kwa kuwa tulikuwa tukisika watu wanavyoongea mitaani na wala hatukudhani kama atakuja kwetu..Alipokuja nikajua kazi imeisha
  12. tafakari kali

    Nakuheshimu Dr Slaa ila nenda tu

    we uelewi na huto elewa inaonekana hata mwalimu wako drsan alipata tabu pole ... ila sisi hatuangalii nani kafanya nini? ila nani anamalengo gani juu ya kuwaondoa nyie ccm. binafsi hata aje shetani ilimradi lengo lake ni kuiondoa ccm madarakani nitamsapoti...hapa najenga heshima..na kumbukeni...
  13. tafakari kali

    Nakuheshimu Dr Slaa ila nenda tu

    inakera sana kuona mtu anayelewa malengo ya upinzani naye analeta uponzani ni bora aende tena mapema tu ili tutakapoanza tuwe tumeanza safari yenye uhakika
  14. tafakari kali

    Nakuheshimu Dr Slaa ila nenda tu

    Binafsi namheshimu sana dr Slaa,amefanya kazi kubwa kwa kweli tena iliyoleta mabadiliko makubwa na kukuza upinzani kwa kiwango kikubwa sana akishirikiana na wenzake. Amefanya upinzani uwe na nguvu sana kwa kushirikiana na wenzake. ILA NI LAZIMA AELEWE KUWA KINACHOTAKIWA KWA SASA NA WANANCHI...
  15. tafakari kali

    Dr. W. Slaa anaondoka CHADEMA

    nashawishika maana jamaa hajatokea hata leo pale Rais wa awamu ya 5 Lowasa anapochukua fomu. ila tulimpenda japo binafsi naamini nguvu ya lowasa ni kubwa kuliko yake kwenye kugombea urais. yan mafanikio yapo karibu zaidi kwa lowasa kuliko kwa silaa na hata tafiti mbali mbali zilionyesha...
  16. tafakari kali

    Bongo IT graduates na Inventory system

    inventory system ndo nn?
  17. tafakari kali

    Nguvu na ushawishi wa Lowassa waongezeka maradufu

    mnyonge akisha nyongwa haki yake akapewe mbinguni?
  18. tafakari kali

    Dawati la msaada kwa Samsung Galaxy S & Note

    jamani naomba msaada mi natumka note 1 ..tatizo aina google play(market). hii inaninyima raha maana siwez download app nazotaka zinazopatikana huko. msaada tafadhari.
  19. tafakari kali

    Dawati la msaada kwa Samsung Galaxy S & Note

    jaman naomba msaada mimi natumia samsung note 1 ila aina google play na kunifanya mishindwe kudownload apps nazotaka na kila nikijaribu njia nyingine inaniletea inaleta massege "this browser is no longer supported.na kwa bahati mbaya kwenye simu haipo google play.nifanyaje naomba msaada
  20. tafakari kali

    raia 1 polisi 3

    Habari wana jamvi, Leo ninevutwa kuwa mmoja wa watu wanasema dawa ya moto ni moto. Nasema hivi kwa sababu yanayoendelea sasa hivi katika nchi yetu si mambo ya kuyakalia kimya hata kidogo. Haiwezekani kwa nchi inayojinadi kwa jina la kitovu cha amani wananchi wake wakawa wanapigwa na kuuawa...
Back
Top Bottom