Search results

  1. M

    DC Hapi atembelea wananchi Bunju mapema leo

    Mwanzo mzuri, jali hali ya watu wa chini
  2. M

    Nimependa msimamo wa Dr Slaa

    Leo asubuhi katika kipindi cha matukio kinachoendeshwa na Radio one stereo alisikika MH.. Tundu Lissu mwanasheria wa cha cha CHADEMA akisema kuwa Mhe. John Mnyika hajaonekana katika hadhara ya mapokezi ya E.LOWASA kwa sababu alikuwa mgonjwa. Akadai kuwa amemwambia ajitokeze hadhazani ili...
  3. M

    Dr. Slaa na Prof. Baregu kwenda ACT-Wazalendo?

    Nafikiri sio muda wa kutoa matusi kwa mtoa mada ni kujuuliza je ana mantiki hapo? Nionavyo mimi ni kuwa wakati wa watajwa hapo kuonesha ni kweli wanaweza kula uharo/uhalo wao wenyewe huku wanaona kwa akili timamu? Kumkaribisha Mh. E.L sio kosa kosa ni kusahau tunayotamka bila kuwa na ukweli? je...
  4. M

    Dr. Slaa na Prof. Baregu kwenda ACT-Wazalendo?

    Nafikiri sio muda wa kutoa matusi kwa mtoa mada ni kujuuliza je ana mantiki hapo? Nionavyo mimi ni kuwa wakati wa watajwa hapo kuonesha ni kweli wanaweza kula uharo/uhalo wao wenyewe huku wanaona kwa akili timamu? Kumkaribisha Mh. E.L sio kosa kosa ni kusahau tunayotamka bila kuwa na ukweli? je...
  5. M

    Kubadili jina kwa mwanafunzi wa kidato cha tatu

    Utaratibu wake ni kwamba unatakiwa uende mahakamani ukaape kuwa wewe ni mzazi wa huyo mtoto na ungependa abadili jina aitwe nani kisha unaenda na fomu za kiapo katika ofisi za ukaguzi wa shule kanda kuomba kubadili jina ukiambatanisha barua na kiapo cha mahakamani. ukifika ofisi za ukaguzi wa...
  6. M

    Pikipiki za masafa marefu (Cross countries)

    Nunua kinglion uone inavyofanya kazi, naitumia, ina speed meter 180/hr
  7. M

    Tundu Lissu ana deni kubwa jimboni, achukue tahadhari!

    Nani kakwambia Mtwara watu wamepigika, njoo uone watu walivyo na maendeleo mazuri individual, huwezi kulinganisha na Singida hata kidogo. Kuna kila aina ya fursa Mtwara.
  8. M

    Mapenzi Jamani Mapenzi.. uuuuwiii....

    Pole kijana mshawishi ili kama ikiwezekana mfunge ndoa ili kuhalalisha hili jambo endapo kweli una nia nzuri kwake kama yeye atakavyo, Jambo la kumwacha au kuchepuka ni hatari zaidi kwako na kwa afya yako. Endapo unafikiri hauna fedha, fedha haziji siku moja. Funga ndoa maisha yasonge kuliko...
  9. M

    SWALI: Mkoa gani Tanzania ni mzuri kwa kuishi?

    Kwa sasa mikoa ambayo inafaa kuishi ni mtwara na lindi tu. Kuna umeme wa uhakika ambao haukatiki wala hakuna mgao wa umeme, ardhi yake bado ina rutuba ya kutosha yaani katika mikoa hii hawatumii mbolea mpaka sasa kwa mazao yote ukilinganisha na mikoa ya big four yaani mbeya, iringa , ruvuma etc...
  10. M

    CHADEMA kwa hali hii bado mna maono feki ya kuishika dola mwaka 2015!

    Human being is a political animal!!!!!!!!!
  11. M

    Operation Tokomeza Ujangili; Ni Unyama Unaostahili Kuingizwa Kwenye Vitabu vya

    Hakika yalikuwa mateso zaidi ya mateka
  12. M

    Picha za kutisha: Upasuaji wa mtanzania akiwa na madawa ya kulevya tumboni mwake...

    inatisha jamani!!!!! uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Mungu tuepushe na majanga yaha.
  13. M

    Wanafunzi: Tumebakwa mara nne na mchungaji Bryson Mwaikambo

    Eeee Mungu wanusuru waja wako na Mapepo wabaya kama baba HUYU anayejiita Mchunga kondoo wako ilihali anafanya Maovu kwa watoto wadogo wasio na hatia.:amen:
  14. M

    Dr. Slaa: Uchaguzi CHADEMA utafanyika baada kuwa na chama imara

    vipi MACHADEMA mbona mpo kimya, maneno kama Umetumwa na CCM, B7 NK, bado machache sana katika uzi huu!!! siyo kawaida yenu machadema au ndo mwisho wenu umeshafika? NASUBIRI MATUSI YENU SASA.........:amen:
  15. M

    Mwalimu matatani kwa kukodi walawiti wa mwanafunzi wake

    Apewe adhabu kali kwani huyu mwalimu ni joka baya kwa wanadamu wasio na hatia.
  16. M

    Ingekuwa vipi kama chadema ingetawala

    Nc hi ingekuwa imeshauzwa kwa Mabepari tayari zaidi ya sasa.:A S-confused1:
  17. M

    Wafugaji na Wakulima wachinjana Mvomero, 6 wafa

    SERIKALI ICHUKUE ENEO HILO NA KULIFANYA KANDA MAALUMU YA MVOMERO KWA KUIPA VIKOSI KAMA VYA TARIME/RORYA ILI KUIMARISHA USALAMA WA WAKULIMA NA WAFUGAJI KWANI HATA MH. MATHAYO D. AMEONEKANA KUWASHINDWA WAFUGAJI HAO. AMANI ITAWALE DAIMA MVOMERO.:doh::cheer2::laser:
  18. M

    Je, ni sahihi kubadilisha Uongozi wa juu wa chama cha CHADEMA?.

    MACHADEMA VIPI KWANI CHAMA CHENU KINA NINI MPAKA MUONE MGOGORO WENU UNA MACCM NDANI? TATUA HUO MGOGORO KWA BUSARA BILA KUUMIZA WENGINE. :A S-confused1: MACCM jina analopenda kulitumia Mh. mmoja wa jimbo moja huko Singida.
  19. M

    Msichana mhudunu guest ananita tufanye mapenzi

    tutapona kwa msimamo kama wako mkuu.
Back
Top Bottom