Search results

  1. zombi

    Nimeamua kuwa na Mchepuko. Mke Haeleweki, mawasiliano kila siku na wakwe, mashemeji, mawifi, wa X- Wake

    Imeshaisha hiyo, mwanamke akiwasiliana na ex wake na wewe ukajua na akaendelea maana yake huna Chako hapo, jamaa analinda mfuko wa sukari ulitumbukia baharini
  2. zombi

    Hii ni kwamasingle wote

    Uongo anaambiwa mtu ambaye ni rahisi kudanganyika, sio Kila mtu anaambiwa uongo.
  3. zombi

    MS Project application

    Wataalamu naulizia naweza kupataje MS Project application kwa ajili ya matumizi binafsi, preferably kuanzia Ms project 2016
  4. zombi

    Wakati Waafrika wakiuzwa kama watumwa, Mashehe, Mapadre, wachungaji wa Ulaya, Amerika na Uarabuni walikuwa wapi?

    HAYA mpate muda msome ni hii pia Sent from my Infinix X6820 using JamiiForums mobile app
  5. zombi

    Sidhani kama kuna ukweli kuwa Waarabu walikuwa wakihasi watumwa wanaume

    Fuatilia pia mapendekezo ya PM wa uingereza Sasa hivi kuhusu wahamiaji, halafu fuatilia wale wahamiaji wanaoenda ulaya kupitia bahari ya atlantik Nini kinawapata. Huko nchi za wenzetu karibu zote ukiwa mhamiaji haramu treatment Yako haiwi nzuri kabisa, tafuta taarifa ujiridhishe kwanza. Sent...
  6. zombi

    Sidhani kama kuna ukweli kuwa Waarabu walikuwa wakihasi watumwa wanaume

    Ni upeo tu wa Kila mtu on individual basis, ukitafuta taarifa zinapatikana na ukiwa honest to yourself na Mungu wako, huwezi kuhangaika kupotosha ukweli. Hata sisi waafrika tulishiriki katika kuwauza ndugu zetu vizuri tu ila historia inapiga kimya. wenye makosa makubwa , Wahalifu, mateka wa vita...
  7. zombi

    Sidhani kama kuna ukweli kuwa Waarabu walikuwa wakihasi watumwa wanaume

    Historia ya utumwa watu wamejaribu kuificha sana hasa huku upande wa east Africa wengi hawajui vizuri historia ya utumwa duniani. Ukienda Ghana utapata historia nzuri sana ya utumwa na Kuna jamaa amefanya PhD ya historia ya blacks in America and Latin America amedocument vizuri sana haya mambo...
  8. zombi

    Wakati Waafrika wakiuzwa kama watumwa, Mashehe, Mapadre, wachungaji wa Ulaya, Amerika na Uarabuni walikuwa wapi?

    Ongezea na hii https://www.africaw.com/christianity-and-slavery-the-role-of-the-church Sent from my Infinix X6820 using JamiiForums mobile app
  9. zombi

    Wakati Waafrika wakiuzwa kama watumwa, Mashehe, Mapadre, wachungaji wa Ulaya, Amerika na Uarabuni walikuwa wapi?

    Tusiwe na mahaba na dini zetu both waarabu na wazungu walishiriki vyema kabisa katika biashara ya utumwa. https://www.researchgate.net/publication/333206199_Church_Involvement_in_the_Trans-Atlantic_Slave_Trade_Its_Biblical_Antecedent_vis-a-vis_the_Society's_Attitude_to_Wealth Sent from my...
  10. zombi

    Wakati Waafrika wakiuzwa kama watumwa, Mashehe, Mapadre, wachungaji wa Ulaya, Amerika na Uarabuni walikuwa wapi?

    https://www.researchgate.net/publication/333206199_Church_Involvement_in_the_Trans-Atlantic_Slave_Trade_Its_Biblical_Antecedent_vis-a-vis_the_Society's_Attitude_to_Wealth Sent from my Infinix X6820 using JamiiForums mobile app
  11. zombi

    Ushauri kwa Wakili Msomi Mwabukusi

    Kabisa kabisa, akibaki kuwa wakili na approach ya kudeal na masuala itabadilika. Sent from my Infinix X6820 using JamiiForums mobile app
  12. zombi

    Natafuta mwanamke wa kiislamu wa kuzaa nae

    Subiri DP WORLD waje uchanganye damu, Sent from my Infinix X6820 using JamiiForums mobile app
  13. zombi

    Kwanini Watanzania wengi/Wazazi wanakwepa kutoka out a Family?

    Nilikuwa nasubiria hii comment, kwa Nini huyo muhudumu anakujua jina, mbona huduma inachelewa, huwa ukija mwenyewe huwa ndio inakuwa hivi, [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sent from my Infinix X6820 using JamiiForums mobile app
  14. zombi

    Ukiona mpenzi wako ana wivu kupitiliza jiulize

    Sometimes wivu ni emotional baggage from someone's past. either makuzi yake, experience kutoka watu wake wa karibu, lifestyle yake aliyopitia na mengineyo. Wanawake waliokuwa na tabia za kuchukua wanaume wa watu au waume za watu wengi wana tatizo Hilo, it is very difficult kwa wao kuwa na...
  15. zombi

    Hivi unaweza ukaoa mwanamke hajui kupika?

    Suala kubwa la kujiuliza kwa Nini mwanaume anaoa, je mwanamke kujua kupika ni kwa ajili ya mume peke yake au familia yote? Je Nini faida za mama mwenye nyumba kujua kupika? Kuna majukumu ya mama ndani ya nyumba, na majukumu ya baba ndani ya nyumba, Moja ya jukumu kubwa la mama ndani ya nyumba...
  16. zombi

    Wanawake mnavutiwa na nani humu JF?

    Kufunga pm ni sawa na kublock?, teknolojia hizi, hatari sana Sent from my Infinix X6820 using JamiiForums mobile app
  17. zombi

    Kwanini wanaume tunafurahi maanguko ya wanaume wenzetu?

    Hao unaowazungumzia sio wanaume kamili, wanaume kamili hawaishi hivyo, na wanapeana support kwenye mambo ya msingi kwa dhati kabisa, hao SIMPS unatakiwa kukaa nao mbali na hata hutakiwi kuwadiscuss kabisa, it is a wastage of your time, tumia muda wako kuangalia jinsi gani utaimprove your life...
  18. zombi

    Mwanamke usipoolewa ni aibu

    Hii ni kwa jamii nyingi za kiafrika na some asians, huko ulaya Kuna maisha mengine. mdada, Kuna kitu kinaitwa " woke culture" , ndio tunajaribu kuiiga kutoka western civilization, na imeshaanza ku back- fire. Fuatilia world trends in social lifestyles utaona, kuanzia failure in parenting styles...
  19. zombi

    Mwanamke usipoolewa ni aibu

    Wanaume wanaongea tu,kukumbusha tu,, tatizo ni approach inayotumika. suala liko hivi. heshima ya mwanaume ipo katika means anazotumia kuingizia kipato kwa ajili ya maisha yake ya kujitegemea na hatua inayofuata heshima yake inatokana na jinsi anavyohudumia familia yake na hatua ya juu jinsi...
  20. zombi

    Mshana Jr ndiye mwanaume mwenye mvuto kuliko wote JamiiForums

    Mimi nasoma comments tu, hii sichangii Sent from my Infinix X6820 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom