Search results

  1. L

    Mbatia: Ichukieni CCM kwa vitendo

    Mwongo mkubwa huyo. Likija suala la ufisadi, atasema kila mtu ni fisadi ili kumfurahisha Manywele na RA. Useless politician! LONG LIVE KAFULILA!!
  2. L

    Membe be careful, adui yako wa kweli humjui!

    Hakuna kitu hapa, ni ngonjera zilezile za akina Balile na yule Msomali Bashe za kutaka eti Lowassa (B.A. Theatre Arts) aje awe Rais wa Tanzania! OVER OUR DEAD BODIES! ALICHOKIKATAA MWALIMU, HAKUNA MWENYE MORAL AUTHORITY NA INTEGRITY lLEO HII ANAYEWEZA KUBARIKI!
  3. L

    Dr Mwakyembe hapaswi kuhurumiwa, amevuna alichokipanda

    Wewe ni tatizo na huhitajiki uwanjani na kauzi kako ka unakumbuka,unakumbuka,unakumbuka,sema watu wakuelewe,ama wewe ni tunda wa zile shule zetu zilizoanzishwa na kaka ENL kwa nguvu nyingi sana....aibu kwelkweli..Umechosha mkuu?
  4. L

    Dr Mwakyembe hapaswi kuhurumiwa, amevuna alichokipanda

    Wewe ni tatizo na huhitajiki uwanjani na kauzi kako ka unakumbuka,unakumbuka,unakumbuka,sema watu wakuelewe,ama wewe ni tunda wa zile shule zetu zilizoanzishwa na kaka ENL kwa nguvu nyingi sana....aibu kwelkweli..Umechosha mkuu?
  5. L

    Dr Mwakyembe hapaswi kuhurumiwa, amevuna alichokipanda

    Mama,inamaana ndiye mmiliki WA songa gas,inayozalisha megawatt 180....jamaa ni mbaya...
  6. L

    Hivi huyu mwanachama wa CUF Jussa ni mzima kiakili?

    Nyote,nywele zenu kufanana....
  7. L

    Hivi huyu mwanachama wa CUF Jussa ni mzima kiakili?

    Pole,ndio maana unajishika...........
  8. L

    Ujenzi wa Gas-Pipeline kutoka Mtwara-Dar unaanza kuingia nyongo..

    10% itapatikanaje umeme ukizalishwa Mtwara.......hapa ni umimi tu.......
  9. L

    CCM kumtwisha mzigo Lowassa Arumeru Mashariki

    Mimi sikubaliani na hilo,sisi wa arumeru,tunao uwezo wa kupembua mbivu na mbichi,wala msimdanganye Mh.Lowasa kua anachoweza kuchangia hapa,kwanza ameshaonyesha jinsi alivyombinafsi kwa kumshinikiza mkwe wake achukue fomu ya kupitishwa na chama chao.hilo tu lilitosha yeye kutokua tena na uwezo wa...
  10. L

    CCM kumtwisha mzigo Lowassa Arumeru Mashariki

    Jamani mnataka kunihakikishia kua kwa kujua hilo ndio maana ameamua kumuweka mkwe wake......atakua ni mbinafsi na hafai kwa mantiki hiyo. Chama cha Mapinduzi (CCM) kina mpango wa kumbebesha mzigo mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, kwenye mapambano ya kuchukuwa Jimbo la Arumeru Mashariki...
  11. L

    Big up Lowassa kazana uchukue nchi

    Huko mnako mpeleka Lowasa ni upotevuni,Mwalimu alisema,huyu ni fisadi na hafai kuhudumu nafasi yoyote ya umma.Ninyi mkampa kua PM,nini kilitokea??????? Msimdanganye enyi wanafiki kwa Manufaa yenu binafsi,akapumzike,alipofika panatosha si haba.......
  12. L

    Kiini cha Mgogoro ndani ya CCM ni nini hasa? Je wanaweza kupatana?

    Ndugu zanguni,hayo ndio matokeoo ya rushwa,Taifa limewekwa rehani na kundi la wezi,kuna wanaotamani sana kuachana na wenzao kwa vile,aidha wametimiza malengo yao ama dhamiri zao zinawasuta kwa wema wa wale wanaowaongoza(watu masikini,waogo na waungwana wa dhamiri zao).wengine ni miongoni mwa...
  13. L

    Kwani CCM mafisadi ni Rostam, Chenge na Lowassa tu?

    Sio,tatizo Lao ni Uchu WA madaraka,ubinafsi,kisasi,ubaguzi na ukabila.....hay a ndio yanayowaumiza watu hawa wawili.
  14. L

    Kwani CCM mafisadi ni Rostam, Chenge na Lowassa tu?

    Wasubiri kuhukumiwa na enzi,kifo chao kitakua cha aibu kulikoni Gaddafi na wale waliokuwa wamemzunguka,wakati unakuja ambao watajutia sana maamuzi haya mabovu ya kulindana,jamani,labda Kama nchi hii iko ktk sayari nyingine,lakini Kama ni hii hii dunia tuliyomo ndio nchi hii ipo,basi...
  15. L

    Singida yauzwa rasmi kwa mafisadi

    Wanajulikana,ni vinara wa kila ufisadi uliotokea hapa Tanzania,lakini,huwaoni kwenye kesi yoyote....
  16. L

    Singida yauzwa rasmi kwa mafisadi

    Habari za unwell na uwazi nikua Hao wenye Wind east africa niwale wataalamu waliohusika kwenye kuileta Richmond na wakala mtajwa wa Dowans wakiwa na swahiba wake ambaye ni Mkuu wa Benk ya Raslimali...wananchi hawataponeshwa na ardhii yao,ikumbukwe PIA kua hawa ni wahusika waku kwenye zulma ya...
  17. L

    Singida yauzwa rasmi kwa mafisadi

    Jamani sikilizeni,kwa nini sheria hazifuatwi,Hawa Wind East Africa walishapewa lessen kifisadi na pia kupewa na TIC hati maalumu ya msamaha wa kodi,yenye masharti kua ili upewe shurti uwe na hati miliki ya ardhi,wanaohusika bila kujali sheria waliwapa matapeli Hao hati zote hizo....Swali...
  18. L

    Mwakyembe anasikitisha! Walaaniwe wanaohusika!

    Huu ndiyo ujinga wa baadhi ya Watanzania unaoharibu intellectual discourse katika JF. Tunachomekachomeka tu irrelevat issues kwenye serious discussions. By the way, what is so special about CCJ kama si ushamba tu wa kisiasa tulionao?
  19. L

    CHADEMA wawakejeli waasisi wa CCJ; Wasaliti waomba kazi za CDM kuziuza kwa CCM - Mbeya

    Mbona suala la CCJ linawasumbua zaidi CHADEMA kuliko CCM? Wanaodaiwa "kusalitiwa" hawalalamiki, CHADEMA inajiingizaingizaje huko kama siyo kukosa hoja? Hii inafanana kabisa na wana-CCM kulalamikia "maadili" ya Dk. Slaa as a leader of a major political party kumgeuza mke wa mtu kuwa "mchumba" na...
  20. L

    Hongera chegeni, pole mwakyembe!

    Nampa hongera nyingi Dk. Chegeni kwa kuweza kuwatumia Police vizuri hadi kuokoa maisha yake. Nampa POLE "yatima" Dk. Mwakyembe ambaye kila njama dhidi yake haifanyiwikazi na Polisi badala yake anajibiwa na magazeti ya RAI,MTANZANIA na TANZANIA DAIMA bila kukemewa na vyombo husika kwa kuingilia...
Back
Top Bottom