Search results

  1. Nipisheni

    CHADEMA, hapa Lwakatare alikuwa anamaanisha nini?

    Mwacheni Mungu aitwe Mungu,watanzania wenzangu,video hii sio ya kuchakachuliwa hata kidogo,ukitaka kuisikia vizuri tumieni Head Phone mtasikia kila kitu.Lwakatare hapa lazima utuambie ukweli,mikakati yote hii ni ya nini?Hapa huchomoki na kumbuka kwamba kikulacho ki nguoni mwako.Hapo kuna mtu...
  2. Nipisheni

    Mwakyembe anvyowahadaa Watanzania

    Waziri huyu ambae amekua na tabia ya kujipatia misifa,hivi karibuni amezuia watumishi waliopo chini ya wizara hiyo wasipande daraja la kwanza wanapo safiri na ndege kwa tafsiri kwamba watanzania wengi bado ni maskini. Mwakyembe angekua mkweli wa kutaka kusaidia watanzania asingekwenda kuzindua...
  3. Nipisheni

    Live updates Coastal Union na Yanga Afrika Mkwakwani Tanga.

    Matokeo ni Yanga 2,Coastal 0
  4. Nipisheni

    Mwakyembe unaua bandari yetu

    Watanzania wenzangu,ushabiki tuuweke pembeni,bandari ya Dsm ipo kwenye mtikisiko wa hali ya juu.Kwa Mwakyembe kuna kitu nyuma ya pazia,fuatilia ujue anaeingoza bandari ni nani na mgomba wake ni upi.Arison atapiga kelele lakini kwa bandari atakwama tu.
  5. Nipisheni

    Yanayojiri mkutano wa taifa vijana, Dodoma...!

    Huyo wa kutoa maamuzi magumu ni nani na wote hiyo ndio njia iliyowafikisha hapo walipo.KJ hana huo ubavu.
  6. Nipisheni

    Mwakyembe na uchakachuaji wa ripoti ya bandari

    Njowepo acheni masiala na hili dude Bandari,Mwakyembe aturudishie majembe yetu,kinyume na hapo bandari inatafutiwa mbinu ichukuliwe na watu wachache.Taarifa tunazo kwamba huyo Kipande ni shemeji yake KJ,anatokea pale karibu na Mbwewe ukipita Wami.Tukikubaliana na maamuzi haya ya Mwakyembo basi...
  7. Nipisheni

    CHADEMA waweka bayana msimamo wao juu ya yaliyowasibu ma-Sheikh Ponda na Farid

    Naingiwa na wasiwasi kwa rafiki yangu Maberere kama kweli anaijua sheria au la,dhamana sio kitu cha lazima kutolewa,mahakama imepewa mamlaka ya kutoa dhamana pale itakapokapo kua imejiridhisha katika suala zima la usalama wa muhusika mwenyewe na upatikanaji wa mtuhumiwa atakapokua amehitajika na...
  8. Nipisheni

    Nchimbi: Tupo tayari serikali kukaa pamoja na vikundi/taasisi za kidini

    Itakua ni dhambi kubwa kama mtu angeulizwa kuorodhesha majina ya mawaziri wanafiki haalafu jina la huyu Mheshimiwa lisiwepo.Huyu jamaa ni mnafiki kuliko maelezo na ameusaliti ukristo mchana kweupe,kisa anapalilia huo uwaziri.Uzalendo wake kwa nchi ni big zero.
  9. Nipisheni

    Swali la Shyrose kwa Sophia Simba lazua kasheshe katika Mkutano Mkuu UWT

    Nimefuatilia kwa karibu sana uchaguzi huu tangua hatua za awali na hotuba ya msaidizi wa KJ kama mfunguzi wa mkutano huu.Alichokisema Dr.B ni tofauti na kilicho tendeka hapo Dodoma jana.Nilicho baini kwa chama chetu kikubwa hapa nchini kwamba NO MONEY NO UONGOZI.Ndio kilichotokea jana.
  10. Nipisheni

    Swali la Shyrose kwa Sophia Simba lazua kasheshe katika Mkutano Mkuu UWT

    Kama SS kapita basi EL ni rahisi mtarajiwa wa Tanzania.
  11. Nipisheni

    Zawadi ya upanga aliyopewa Rais Kikwete na sultan wa Oman ina maana kubwa!

    Sio wanajifanya wasomi ni wasomi kweli,unataka kuwalinganisha na nani?Mtu aliyesoma ni mstaarabu,asiyesoma hata siku moja ustaarabu kwake ni mwiko
  12. Nipisheni

    Waziri Nchimbi anaposema waliofanya uharibifu ni wahuni... Anajaribu kupoteza ukweli?

    Nchimbi ni mnafiki tena unafiki wa kutupwa,majibu yake ya kitoto yatamtokea puani.akumbuke kwamba majibu anayo yatoa ni kwa watanzania wasomi wanaojua kutafsiri na sio watanzania wa miaka hiyo.nchimbi nimwambie tu kwamba tumekuchoka na mambo yakoo ya kitoto.lakini kwa upande mwingine simshangai...
  13. Nipisheni

    Maalim SEIF kuunguruma mkutanoni KESHO(Jumapili) DAR ES SALAAM

    Huyu babu anakotupeleka siko kabisa,watanzania tumuogope mtu huyu kama ukoma,na sasa kwa nini tusiamini tanzania sasa ni nchi ya kiislamu?Hivi ni kweli mtu na akili zake anaweza akaruhusu mikutano ktk kipindi hiki ambacho hali bado ni tete?Tunachokitarajia ni nini kama sio kuhalalisha vurugu...
  14. Nipisheni

    Sophia Simba ambwaga Anne Kilango uenyekiti UWT

    Alise.ma hadharani mchana kweupe
  15. Nipisheni

    Kura ya kutokuwa na imani na rais kikwete huu ndiyo wakati wake

    Rais na Pindo wake wanakula tu bata ughaibuni wananchi wao wanahangaika kama watu wasiokua na makwao.Mwenye nchi hebu linda heshima kwa kung'atuka kabla ya kupigiwa kura.Nyepesi tunaomba lianzishe hili huko mjengoni
  16. Nipisheni

    Kashfa ya "degree ya chupi": Mkuu wa wilaya ya Korogwe kizimbani

    Ningekua jk gambo angekua kijiweni.
  17. Nipisheni

    SHeria inasemaje kuhusu kukojolea kitabu cha dini?

    Ama kweli ugomvi wa watoto umewagombanisha majirani.
  18. Nipisheni

    Mukama aibuka, aishambulia CHADEMA!

    Wameisoma namba kwa uamuzi wa mahakama.Jaji wa kesi pia aliuona utumbo huo
  19. Nipisheni

    Mukama aibuka, aishambulia CHADEMA!

    Bora ya Makamba kuliko huyu ambae ccm itasambaratika mikononi mwake
  20. Nipisheni

    Nccr: Kutatua mgogoro wa udini rais akutane na viongozi wa dini. We unashauri nini?

    Mwenye nyumba yuko na Kabus kule Oman,anakula bata,unategemea nini.Ushauri wangu:simpigii kura muislamu yoyote hapa duniani pili:Nashauri Mkapa agombee miaka 15 badala ya kumi.
Back
Top Bottom