Kipigo noma ,hao sugu2 watatuvunja viuno make watakutaimu hujajiandaa na uzazi utapotea,bosi wao kama hataki kuomba msamaha apelekwe tu mahakamani, haki itapatikana huko na kinga yake itaonekana huko.
Achana kutuhangaisha na mambo yako ya kishambi, nenda huko na wewe ukawe mashahidi wa membe wako kwa vile ulikuwepo,akishida 2015 utakabiziwa wizari ya ushabiki.
Sidhani kama ni rahisirahisi ccm kupata 50% kwa uchaguzi wa 2015 kulingana na hali ya maisha ilivyo sasa kwa wananchi[kiuchumi] na kijamii. Wao wateuane tu ila siku itafika,tanzania ya leo sio kama ya enzi hizo,Ukiwaimbia,ukiwanyanyasa na ukiwagandamiza watanzania, wanajua.Watakemea,wataonya na...
Huyo mzee aache tabia za kuwa ,anapotezea waandishi wa habari muda wao,kwa kuongea utumbo,hatutaki kudanganywa kama watoto kwa vitu vilivyo wasi,kama avuta bangi basi aiache make inapeleka pabaya.
Kila binadamu anamapungufu yake,maana hakuna aliye mkamilifu,mwenzetu anapomaliza kazi yake hapa dunia,ni vyema kumpata heshima yake ya mwisho bila kujali ni mabaya au mazuri mangapi ameyafanya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.