Search results

  1. M

    uvccm Tabora vipande vipande

    chama cha mapinduzi mkoa wa tabora kikiwa kinajiandaa kulikomboa jimbo la igunga leo hii kamati ya utekelezaji uvccm mkoa wa tabora kimemsimamisha uongozi katibu wa chipukizi na uhamasishaji uvccm mkoa wa tabora bwana Daniel kazi Muhina hadi pale baraza kuu mkoa litakapoitishwa aidha taarifa...
  2. M

    Nape apita kimya kimya Tabora!

    katika hali isiyotarajiwa katibu mwenezi wa ccm tanzania nape nauye amepita katika mkoa wa tabora kimya kimya akitokea mkoa wa rukwa, nape bila kutarajiwa hata na baadhi ya wana ccm kupata taarifa za nape akiwa tayari kisha pita na kuelekea singida, hali hii imewafanya baadhi ya wadau wa siasa...
  3. M

    UVCCM: Hussein Bashe amjibu Nape kiaina

    very interesting, malecela ana m challenge Bashe kwa kuongelea mambo binafsi kabla hajamaliza na yeye anamshughulikia bashe kwa mambo binafsi, na nilichokiona mdogo wangu malecela nae na hasira nzito inawezekana ni baada ya baba yake kunyukwa vibaya alipoiota ikulu hivyo nae ana fanya lile lile...
  4. M

    Jumuiya ya wazazi mnaipeleka wapi ccm!

    M-bongo mbona walalamika sana au nawe ulikuwa Dodoma nini? na kama kashindwa Bulembo si uchaguzi au, na swala la kuwa alichaguliwa ni mzee we ina kuhusu nini! hata kama huyo hataweza kuhimili mikiki mikiki ya kampeni si ndio bomba ili tuwachape vizuri maana sikio la kufa halisikii dawa...
  5. M

    Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

    sijui watakupa majibu gani maana angekuwa kafariki kiongozi wa serikali tena ambaye angekuwa na mgogoro wa aina yoyote na serikali nadhani JF pasingetosha! hii usitegemee kupata lolote hapa pua zimekalia mdomo, na kwa hoja hii wengi umewashika pabaya nenda kalale kaka!
  6. M

    Sakata la Nape Nnauye na UVCCM

    Hussein wapoteza muda wako bure mi Mfalme juha nimeshamuandaa Beno Malisa na UVCCM wapende wasipende watamchagua
  7. M

    TICTS: The inside story

    Msingahaike sana juu ya kumng'oa karamagi TICTS lemgo langu kuu nim kupumguza ,idomo ya wote wanaomfatafata sana karamagi ili niendelee na mambo yangu ok?
  8. M

    Mfalme Juha !

    Najua mtaendelea kunishangaa sana, prof Msolla kiasi kidogo alishindwa kwenye elimu ya juu na vijana walipiga kelele kidogo si vibaya sana akiendelea kutumikia wabongo wenzangu kwa nafasi hiyo ndogo niliompa swala la kelele kwangu si Ishu mwajua lazima watanzania tujenge moyo wa upendo na...
  9. M

    Mkapa above the law?: Allegations

    Halafu tabia ya kuita mtu fisadi bila ushahidi, ni upungufu wa akili na zaidi ni tamaa tu nyinyi mwategemea mi nikae Ikulu kwa miaka kumi, wakati huu wa biashara huria nitoke bila kitu mna akili nyie, fanyeni kazi acheni wivu anaechagua watu na kuwapa madaraka makubwa ni nani? vyie vipi acheni...
  10. M

    Mfalme Juha !

    Nashukuru sana kwa wote mliochangia hoja yangu mbali na wale walioponda bado nafikiria sana juu ya kuzima midomo ya wote wanaolalamikia bei ndogo ya Tumbaku, Korosho,pamba,kahawa na mazao yote ya biashara njia ya kuziba midomo ya hao ni kuhakikisha kuwa katika misafara yangu yote ya Ughaibuni...
  11. M

    Mfalme Juha !

    Asante mkuu, nimekusoma
  12. M

    Mfalme Juha !

    Nimekuwa msomaji makini wa JF kwa miezi kadhaa, nimesoma michango mingi ya wana forum anuai, hatimaye nami nimeamua kujiunga na JF rasmi naombasana mnipokee na mnipe ushirikiano wa kutosha isipokuwa tu kitu kimoja nitaomba mnivumilie sana kwa jina langu hilo kwani mi ni JUHA kweli kweli, nipo...
Back
Top Bottom